Taliban yashambulia mji wa Kabul
Shambulizi la bomu limetokea katika viwanja vya makazi ya wakandarasi wa kigeni nje ya mji mkuu wa Afghanistan, Kabul karibu na kikosi cha anga nchini humo kilichoko karibu na mji…
Shambulizi la bomu limetokea katika viwanja vya makazi ya wakandarasi wa kigeni nje ya mji mkuu wa Afghanistan, Kabul karibu na kikosi cha anga nchini humo kilichoko karibu na mji…
Wafuasi wa upinzani wamekusanyika mjini Kinshasa, Jamhuri ya Demokrasia ya Congo kupinga uwezekano kuwa uchaguzi wa rais huenda ukaahirishwa nchini humo. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanywa Novemba mwaka huu, lakini tume…
Rais wa zamani wa Brazil, Luiz Inacio Lula da Silva, atakabiliwa na mashtaka ya kuzuia utekelezaji wa haki. Stakabadhi kutoka mahakama moja ya Brasilia zinaonyesha kuwa Lula ameshtakiwa pamoja na…
Serikali ya Sudan Kusini imesema kwamba haijaandika barua inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikiamrisha jeshi la taifa hilo kumkamata aliyekuwa makamu wa rais Riek Machar akiwa hai ama akiwa amefariki.…
Hillary Clinton amekubali rasmi kuwa mgombezi wa Urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic, huku akisema wakati wa kupambana na mpinzani wake sasa umeanza rasmi. Alitoa wito kwa wanachama wote…
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemtumia ujumbe maalum Rais Dkt. John Magufuli akishukuru kwa jitihada za serikali ya Tanzania za kusaidia kupatikana kwa amani katika nchi hiyo. Ujumbe huo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund Board) Dkt. James Munanka Wanyancha. Rais Magufuli…
Jaji wa mahakama ya juu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Chantal Ramazani amekiri kuwa alishinikizwa na majasusi na wakuu wake katika idara ya mahakama kumpata na hatia kiongozi wa…
Nchi ya Uturuki imevifungia kufanya kazi vyombo vya habari nchini humo, kufuatia jaribio la Mapinduzi lililoshindikana mapema mwezi huu. Zaidi ya magazeti 45 na vituo 16 vya Televisheni vimeamriwa kufungwa…
Rais wa Marekani, Barack Obama amemsifu mgombea urais kupitia chama cha Democratic, Hillary Clinton na kusema ndiye anayefaa zaidi kuwa rais mpya wa Marekani. Akihutubia katika kongamano kuu la chama…
Chama Cha Demokrasia na Maendeneleo (CHADEMA) kimetangaza kwamba septemba mosi mwaka huu ni siku ya mikutano ya hadhara nchi nzima. Chama hicho pia kimezindua Operesheni UKUTA (Umoja wa Kupambana…
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Iringa imetoa hukumu ya kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha Television cha chanel Ten, Daud Mwangosi. Mahakama hiyo imemuhukumu…
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa…
Basi la Kampuni ya Usafirishaji ya UDA lenye namba za usajili T 696 CVP limegonga treni katika eneo la Kamata Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakati basi…
Mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu (SUMATRA) imetangza kumfikisha mahakani mkurugenzi mtendaji wa mradi wa mabasi yaendayo kasi (UDART), David Mgwasa kwa kile ilichoeleza kutoza nauli kubwa zaidi…
Shirika la viwango nchini, TBS limefungua ofisi za kanda katika mikoa ya Arusha, Mwanza na Mbeya ili kudhibiti mianya ya uingizaji wa bidhaa hafifu nchini unaofanywa na wafanyabiashara wasio waaminifu.…
Kikosi cha usalama cha Nigeria kwenye mji wa Ogun uliopo kusini magharibi mwa Nigeria, wamemkamata mchungaji mmoja kwa kumfunga mtoto wake kwa mnyororo na kufuli. Mchungaji huyo anayeishi karibu na…
Nchi ya Sudan Kusini imewaua wanajeshi wake 2 kwa kuwapiga risasi baada ya kupatikana na hatia ya kuwauwa wanandoa wawili ikiwa ni kisa cha kwanza cha mauaji kulingana na vyombo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Samuel M. Nyantahe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC). Taarifa ya Katibu…
Mahakama kuu kanda maalumu ya Iringa leo imeendelea na kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten mkoani Iringa, Daud Mwangosi, inayomkabili askari wa kikosi…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema atakuwa wa kwanza kuhamia Dodoma kutokana na agizo la viongozi wote kuhamia mkoani humo. Waziri mkuu ameyasema hayo katika…
Watu wawili wamefariki na wengine 16 wamejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi baada ya kutokea shambulio kwenye klabu ya usiku katika mji wa Florida nchini Marekani. Shambulio hilo limetokea katika mji…
Serikali nchini Uturuki imetoa vibali vya kukamatwa kwa wanahabari 40 kufuatia jaribio la mapinduzi lililotokea mwezi huu nchini humo. Miongoni mwa wanahabari hao ni mchanganuzi mashuhuri nchini humo, Nazli Ilicak…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dk John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya siku ya mashujaa nchini ambapo kitaifa yanafanyika mkoani Dodoma. Akiongea na…
Nchi ya Kenya kwa mara ya kwanza imeanza kuuza magari yanayotumia nishati ya umeme badala ya nishati ya mafuta. Magari hayo hayatumii mafuta hata kidogo hii ikiwa na maana kwamba…
Tume ya vyuo vikuu nchini TCU, imevizuia vyuo sita kufanya udahili wa wanafunzi kwenye muhula mpya wa masomo wa 2016/2017. TCU imechukua hatua hiyo kutokana na vyuo hivyo kutokidhi viwango…
Kiongozi wa upinzani nchini Gambia, Ousainou Darboe amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kutokana na makosa yanayohusiana na maandamano yaliyokuwa yanaipinga Serikali ya nchi hiyo mwezi Aprili mwaka huu. Kiongozi…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema katika kipindi cha miezi mitatu imevuka malengo ya ukusanyaji wa mapato ambapo imekusanya Sh bilioni 117.66 sawa na asilimia 99.5 ya malengo yaliyowekwa.…
Mgombea urais kupitia chama cha Republican, Donald Trump amepitishwa na chama hicho kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu nchini Marekani utakaofanyika Novemba mwaka huu. Trump amepata uungwaji mkono na wajumbe kutoka…
Zaidi ya majenerali 85 na maamiri wa jeshi nchini Uturuki wapo ndani wakisubiri hukumu yao kuhusiana na mpango wao wa mapinduzi ulioshindikana nchini humo wiki iliyopita. Waliokamatwa ni pamoja na…