Juba: UN kuiwekea Sudan Kusini vikwazo vya silaha
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limesema linajiandaa kuiwekea Sudan kusini vikwazo vya silaha, ikiwa itajaribu kuzuia kupelekwa kwa wanajeshi wa ziada wa kulinda amani nchini humo. Rais…
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limesema linajiandaa kuiwekea Sudan kusini vikwazo vya silaha, ikiwa itajaribu kuzuia kupelekwa kwa wanajeshi wa ziada wa kulinda amani nchini humo. Rais…
Waziri wa elimu nchini Sweden, Aida Hadzialic amejiuzulu wadhifa wake baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha gari huku akiwa amelewa. Bi Aida Hadzialic, ambaye ni waziri wa elimu ya…
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Zambia yanaonyesha mgombea wa chama kikuu cha upinzani, Hakainde Hichilema anaongoza kwa ushindi wa kura chache. Takwimu za Tume ya uchaguzi zinaonyesha…
Wakuu 70 wa chama cha Republican wamesaini barua na kuituma kwa mkuu wa kamati ya kitaifa ya chama hicho wakimtaka aache kusaidia kampeni za mgombea urais kupitia chama hicho, Donald…
Serikali ya Uganda imekiondoa kwenye maktaba za shule za nchi hiyo kitabu ‘LOVE LESSONS’ kilichoandikwa na mwandishi maarufu wa vitabu vya watoto wa Uingereza Jacqueline Wilson. Waziri wa maadili wa…
Serikali ya Tanzania kupitia kwa wizara ya habari, utamaduni sanaa na michezo imelifungia gazeti la kila wiki la MSETO kwa tuhuma za kuchapisha habari za uongo. Waziri wa wizara ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameutaka uongozi wa mkoa wa Mwanza kuhakikisha kuwa watu waliopora mali za Chama cha Ushirika cha Nyanza (NCU), wanapatikana na…
Mahakama nchini Kenya imetoa uamuzi kwamba polisi wa utawala waliwateka nyara wakili Willie Kimani, mteja wake na dereva wa texi na kuauwa, tukio ambalo lilisababisha maandamano nchini Kenya dhidi ya…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewatangazia walimu wa mkoa wa Dar es Salaam kuanza kusafiri bure kwenye treni baada ya kuingia makubaliano na Shirika la Reli…
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohamed Mpinga amesema jeshi hilo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi kavu SUMATRA wameanza mchakato wa kumtafuta mtoa…
Jeshi la polisi limefanikiwa kumtia nguvuni tabibu Juma Mwaka, maarufu Kama Dokta Mwaka, baada ya kumsaka Kwa siku kadhaa bila mafanikio. Jeshi la polisi lilikuwa likitekeleza agizo la Naibu…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewapiga marufuku mawakala wanaotoza faini za kuegesha magari vibaya katika kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo hadi hapo yatakapotengenezwa…
Vikosi vya mapigano vinavyounga mkono serikali ya Libya vimesema vimedhibiti makao makuu ya wapigani wa dola la kiislam (IS) katika mji wa Sirte. Vikosi hivyo vikiongozwa na wapiganaji wa mji…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili mfanyabiashaa Mohamed Mustapha na mwenzake Samwel Lema wanaodaiwa kuiibia serikali shilingi milioni saba kwa kila dakika, kesi hiyo imetajwa…
Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya amemsimamisha kazi aliyekuwa mkuu wa chuo cha Maendeleo ya Jamii, Bunamhala Bw. Ramadhani Said katika Halmashauri ya mji wa…
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha wananchi wanakuwa na usafiri wa uhakika katika kuondoa msongamano wa magari mjini. Profesa Mbarawa amesema hayo katika…
Upinzani nchini Venezuela wamekasirishwa na viongozi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wakati wa kukusanya kura za maoni za kumwondoa madarakani Rais Nicolas Maduro. Wapinzani wamesema kuwa ni muhimu…
Naibu Waziri wa Ofisi ya makamo wa Rais anayeshughulikia muungano na mazingira, Luhaga Mpina ametoa wito kwa taasisi za muungano zinazofanya tafiti za kisayansi kufanya tafiti hizo kuwa za tija…
Hakimu mmoja nchini Brazil ameruhusu maandamano ya amani ya kisiasa wakati wa michezo ya olimpiki inayoendelea mjini Rio, Brazil. Maamuzi hayo yamekuja baada ya waandamanaji hao kufukuzwa katika viwanja mbalimbali…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kwamba Serikali ina mpango wa kuanzisha usafiri wa majini ambao utakuwa ukianzia Posta mpaka Mbagala. Usafiri huo mpya wa Boti…
Mkuu wa jeshi la polisi la Uganda, Jenerali Kale Kayihura anatarajiwa kufika kizimbani leo kujibu mashtaka ya kuwatesa na kuwanyanyasa wafuasi wa upinzani. Mashataka haya yana uhusiano na kile kinachoitwa…
Umoja wa mataifa (UN) umetaka kusitishwa kwa haraka mapigano yanayoendelea katika mji wa Alleppo nchini Syria. Umoja huo umesema kuwa kumekuwepo na mapigano makali baina ya majeshi ya serikali na…
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imetakiwa kuhakikisha inafutata sekta ya ushirika na kuwachukulia hatua kali watendaji wote waliohujumu ushirika na kusababisha machungu kwa wanaushirika ili iwe fundisho kwa wengine.…
Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Republican, Donald Trump anazidi kuwekwa kwenye wakati mgumu wa kushinda uchaguzi wa mwezi Novemba baada ya wataalamu wa masuala ya usalama wa chama…
Inasadikiwa kuwa takribani watu 100 wamekufa mwishoni mwa wiki kwenye mapigano baina ya polisi na waandamanaji yaliyotokea kwenye miji mbalimbali nchini Ethipia. Kwa mujibu wa shirika la Amnesty International matukio…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amemteua Hassan Abbas kuwa mkurugenzi wa Idara ya habari ( MAELEZO). Waziri Nape Nnauye: Akimtangaza Hassan Abbas kuwa mkurugenzi mpya wa…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teckonolojia, Profesa Joice Ndalichako anatarajiwa kufungua kongamano la tano la Sayansi na Teknolojia na ubunifu linaloandaliwa na Tume ya taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)…
China imeonya kwamba huenda uhusiano wake wa siku zijazo na Uingereza ukatatizika ikiwa mradi wa mabilioni ya dola wa ujenzi wa mtambo wa nyuklia hautaendelea. China inatarajia kudhamini theluthi moja…
Shirika la ndege Marekani la Delta limetangaza kusitisha na kuchelewesha safari zake baada ya kutokea matatizo ya mfumo wa komputa wa ndege zake kote duniani. Delta imesitisha tena safari baada…
Mgombea Urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amebadilisha mwelekeo wa kampeni zake na kujikita kwenye masuala ya uchumi baada ya wiki ngumu ya kuanza kampeni za uchaguzi.…