TMA yasema mvua za vuli zitachelewa kunyesha
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha kuchelewa kwa mvua za vuli na kusema hata zitakazonyesha, zitakuwa ni za wastani au chini ya wastani katika maeneo mengi ya nchi katika…
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha kuchelewa kwa mvua za vuli na kusema hata zitakazonyesha, zitakuwa ni za wastani au chini ya wastani katika maeneo mengi ya nchi katika…
Rais wa Marekani, Barack Obama amevunja mkutano wake na Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Ufilipino. Hapo awali Obama amesema kwamba angemuuliza kiongozi huyo…
Waziri wa haki nchini Gabon, Seraphim Moundounga amejizulu kulalamikia utata ambao umegubika matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo wiki moja iliyopita. Waziri huyo amemuonya Rais Ali Bongo ambaye…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa atasimamia kwa nguvu zote masuala yote yanayohusu maendeleo, kudumisha Muungano wa Tanzania Bara na…
Naibu Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jafo amepata ajali eneo la Katela Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe Mbeya. Ajali hiyo imehusisha gari dogo aina ta Corola iliyokuwa ikotokea Mbeya kwenda…
Serikali ya Somalia imesitisha kwa muda ndege zote zinazoingiza miraa kutoka taifa jirani la Kenya na kuingia nchini mwao. Biashara hiyo ina thamani ya mamia ya mamilioni ya madola kila…
Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi wa kituo kipya kikubwa cha kuzalisha umeme unaoanzia mkoani Iringa hadi Shinyanga. Asilimia 99% ya ujenzi huo umekamilika na kiinategemewa…
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imetenga eneo la biashara la Kariakoo Jijini Dar es salaam kuwa Mkoa Maalum wa Kodi kutokana na kuwa kitovu cha biashara hapa nchini. Mkurugenzi wa…
Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama ameiagiza Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kutoa taarifa haraka kuhusu…
Nchi za Marekani na China ambazo kwa pamoja huzalisha gesi chafu ya kaboni duniani kwa 40% zimekubali change mkono makubaliano yaliyopo kwenye mkataba wa hali ya hewa uliosainiwa kwenye mji…
Mgombea wa urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amezuru kanisa moja la watu weusi mjini Detroit katika jaribio la kuchukua kura za watu walio wachache kutoka kwa…
Umoja wa Mataifa umesema lazima zifanywe juhudi zaidi za kulinda uhuru wa vyombo vya habari nchini Somalia baada ya waandishi wa habari 30 kuawa katika miaka mine iliyopita. Shirika la…
Serikali mkoani Dodoma inatarajia kufanya operesheni ya kuwaondoa watoto wa mitaani, ambao wamekuwa kero kwa wapita njia na wateja wanaokula hotelini, ambao huwanyang’anya chakula na hata vinywaji wateja. Mkuu wa…
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amewalaumu mahakimu wanaoruhusu maandamano dhidi ya serikali ambayo yanandelea nchini humo. Mugabe amesema mahakimu wanadharau amani, na akawaonya kutothubutu kuonesha dharau wanapofikia uamuzi. Wafuasi wa…
Waziri Mkuum wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kufanya linalowezekana ili kupunguza msongamano wa watu wanaofika katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kupata matibabu. Waziri mkuu amesema…
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameviagiza vyombo vya dola kufanya doria katika bahari ya India ili kudhibiti uvuvi haramu ambao umekuwa ukiathiri uchumi wa mkoa wa Pwani na taifa zima…
Baraza la Usalama la umoja wa mataifa (UN) limetoa wito kwa wagombea wakuu na wafuasi wao nchini Gabon kujizuia kufanya fujo na badala yake kutatua mzozo wa sasa kupitia njia…
Kampuni ya Acer imezindua laptopu ya kwanza ilio na kioo kilichojipinda tofauti kabisa na laptopu za hapo awali za kampuni hiyo. Kmpuni hiyo imesema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha kucheza michezo…
Vikosi vya usalama nchini Gabon vimevamia makao makuu ya chama cha mgombea urais aliyeshindwa Jean Ping. Bwana Ping amekiambia kituo kimoja cha redio kutoka Ufaransa RMC kwamba amekimbia mafichoni kufuatia…
Waziri wa fedha na mipango nchini, Dr Philip Mpango ameagiza kuondolewa kazini kwa wafanyakazi wanne wa mamlaka ya mapato Tanzani (TRA) katika kituo kidogo cha Forodha cha Manyovu kilichopo mpakani…
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limesema kuwa limebaini kundi kubwa la vijana walio chini ya umri wa miaka kumi na minane kutumika katika matukio ya wizi pamoja na uporaji wa…
Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika ya shirika la fedha duniani IMF, Abebe Selassie amesema kwamba kushuka kwa bei ya mafuta katika miaka miwili iliyopita imesababisha nchi nane za Afrika…
Rais Mpya wa Brazil, Michel Temer amesema nchi yake inaingia katika enzi mpya ya matumaini baada ya kuondoshwa madarakani kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dilma Rousseff. Rais Temer ametoa…
Serikali imewataka waganga wa tiba asili nchini kuhakikisha wanapata vibali kutoka Baraza la Tiba Asilia kabla ya kupeleka matangazo yao katika vyombo vya habari. Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya…
Fujo zimezuka katika mji mkuu wa Gabon, Libreville baada ya tume ya uchaguzi nchini humo kumtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi. Mgombea wa upinzani…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango akichukua nafasi ya Dkt. Servacius…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kisitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike nchi nzima kesho Septemba Mosi yaliyopewa jina la UKUTA. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema kuwa wamefanya mazungumzo…
Jukwaa la Wahariri nchini 'TEF' limepinga uamuzi wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo baada ya kuvifungia vyombo vya habari viwili vya Radio 5 ya Arusha na…
Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki ambaye alilazwa kwa ajili ya matibabu nchini Afrika Kusini kwa kipindi cha wiki moja ameruhusiwa kuondoka hospitalini hapo. Taarifa kutoka kwa familia yake ilisema…
Shirika la viwango Tanzania TBS limekamata mabati elfu 57 yaliyo chini ya kiwango yaliyoingizwa nchini kutokea China na mfanyabiashara wa bidhaa hiyo jijini Dar es Salaam. Afisa Viwango na Mkaguzi…