Watu 50 wauawa wakimpinga rais Kabila mjini Kinshasa
Watu 50 wameuawa wakati wa mandamano ya kumpinga rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila hapo jana mjini Kinshasa baada ya polisi kufyatua risasi. Upinzani umevilaumu vikosi vya…
Watu 50 wameuawa wakati wa mandamano ya kumpinga rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila hapo jana mjini Kinshasa baada ya polisi kufyatua risasi. Upinzani umevilaumu vikosi vya…
Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi amepiga marufuku wananchi kuuza ardhi kwa wawekezaji wa kigeni bila ya ruhusa ya Serikali. Waziri huyo ametoa agizo hilo katika…
Chama cha Christian Democrats cha Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel kimepoteza viti vingi katika mji wa Berlin kufuatia kura zilizopigwa kwenye uchaguzi wa majimbo nchini Ujerumani. Chama cha Mrengo wa…
Mlipuko umetokea jijini New York, katika eneo la Chelsea, Wilaya ya Manhatan ambapo watu 29 wamejeruhiwa na hakuna aliyepoteza maisha. Polisi wanashuku huenda mlipuko huo ulisababishwa na kifaa cha kilipuzi…
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine watano kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakiwa wamejikinga mvua chini ya mti katika kijiji cha Ntundu, Kata ya Busangi katika Halmashauri ya…
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi leo amechangisha zaidi ya Sh. 1.5b katika matembezi maalum yaliyofanyika kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay jijini Dar es Salaam…
Mgombea urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donard Trump amesema walinzi wa Bi Clinton wapokonywe silaha walizo nazo ndipo watu waone kitakachomtokea Bi Hillary Clinton. Bwana Trump alikuwa akizungumza…
Kikosi maalum cha kupambana na ujambazi wa kutumia silaha cha polisi kanda maalum ya Dar es salaam kimewakamata watuhumiwa watano kwa makosa ya ujambazi wa kutumia silaha katika maeneo mbalimbali…
Mahakama ya Rufaa leo imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam (RCO) Kamishna Msaidizi wa Polisi, (ACP) Abdallah Zombe, na maofisa wenzake wawili. Hata hivyo, mahakama hiyo…
Idara ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, imeomba viwanda vinavyozalisha vifaa vya ujenzi, watoe msaada wa kuzalisha vifaa maalum vyenye nembo Kagera na bei ndogo ili kuwezeshe waathirika wa tetemeko…
Mgombea Urais kupitia Chama cha Democratic nchini Marekani, Hillary Clinton amerejea kwenye mbio za kampeni baada ya kuugua homa ya mapafu. Akiongea na mwandishi wa habari akiwa kwenye ndege kuelekea…
Mahakama ya Rufaa leo inatarajia kutoa uamuzi wa rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam (RCO) Kamishna Msaidizi wa Polisi Abdallah Zombe na maofisa wenzake watatu.…
Madereva wa malori wa Tanzania waliotekwa na waasi wa kundi la Mai Mai katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo. Taarifa…
Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini 'TATOA' kimeripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi…
Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Human Rights Watch limeituhumu Kenya pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi (UNHCR) kwa kutofuata sheria katika kuwarejesha wakimbizi Somalia. Shirika…
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imesema kuwa haihusiki kumtafutia mnufaika wa mkopo ajira badala lake inahusika kumpatia mwanafunzi mkopo na akishamaliza muda wa masomo atatakiwa kurejesha mkopo wake.…
Rais wa zamani wa Brazil, Luiz Inacio Lula da Silva amefunguliwa mashtaka ya rushwa na wizi wa fedha wakati akiwa rais wa nchi hiyo ambapo amefunguliwa mashtaka hayo pamoja na…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), George Simbachawene amewapa somo wakurugenzi wapya walioteuliwa hivi karibu na kuapishwa jana mjini Dodoma. Waziri huyo amewataka…
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amesema kuwa tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi wizara yake pamoja na kamati ya ulinzi mkoa na wilaya zinaimarisha ulinzi katika…
Waziri wa nchi ofisi ya rais, utumishi na utawala bora, Angela Kairuki amesema serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na madaktari, matabibu pamoja na wauguzi nchini. Ameyasema hayo bungeni…
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kutoa Vitambulisho vipya vya Taifa vyenye saini kwa wananchi wote waliokamilisha taratibu za usajili na utambuzi na kuchukuliwa alama za kibaiolojia (Alama za…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amerudisha pesa zilizotumiwa kukarabati nyumba yake binafasi jinsi ilivyoamriswa na mahakama. Msemaji wa wizara ya fedha amethibitisha kuwa pesa hizo zimepokelewa katika wizara hiyo.…
Ripoti ya kamati ya bunge nchini Uingereza imekosoa hatua ya Uingereza na Ufaransa kuingilia kati na kusaidia kuondolewa madarakani kwa Kanali Muammar Gaddafi nchini Libya mwaka 2011. Kamati hiyo ya…
Mwenyekiti wa Umoja wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni Binafsi nchini Tanzania (CEO round table), Balozi Ali Mufuruki, amesema uchumi wa Tanzania haujatetereka kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya…
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Emmy Hudson amesema wataanza kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano bila ya malipo katika ofisi za kata pamoja…
Waziri wa habari Sudan Kusini, Michael Maquei Lueth amesema kuwa serikali haitajibu madai ya ripoti mpya inayodai kuwa viongozi wa nchi hiyo wananufaika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe…
Mgombea urais wa chama cha Democratic nchini Marekani Hillary Clinton amefuta mkutano wake wa kampeni jimbo la California baada yake kuugua. Bi Clinton amechukua hatua hiyo baada ya kugunduliwa kwamba…
Tetemeko lingine la ardhi limetokea tena usiku wa kuamkia leo huko Kagera kwenye Manispaa ya Bukoba ambalo limewafanya baadhi ya wananchi kulala nje kuhofia usalama wao. Taarifa zilizotoka mkoani humo…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo ameongoza ibada ya sikukuu ya Eid Al Hajj katika viwanja vya Mwembe Yanga wilaya ya Temeke jijini Dar es…
Takriban Mahujaji wa kiislamu milioni 1.5 wamekusanyika nchini Saudi Arabia chini ya ulinzi mkali, kabla ya kuanza rasmi ibada ya hijja ya kila mwaka. Magari yamepigwa marufuku ya kukaribia msikiti…