Dkt Kolimba apokea msaada wa chakula kutoka Burundi
Naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Susan Kolimba amepokea msada wa chakula kutoka kwa waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi, Leontine Nzeyimana. Msaada huo…
Naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Susan Kolimba amepokea msada wa chakula kutoka kwa waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi, Leontine Nzeyimana. Msaada huo…
Dawa ya kwanza duniani ya kutibu ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto inatarajiwa kuzinduliwa leo jijini Nairobi nchini Kenya. Kwasasa watoto hutumia dawa zinazotumiwa na watu wazima ambazo hugawanywa kusagwa…
Wakala wa Majengo nchini (TBA) umesema unatarajia kuanza ujenzi wa nyumba za kisasa katika eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam Septemba 29 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa…
Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Taban Deng Gai amekiri kuwa machafuko yaliyoibuka miezi ya hivi karibuni yamezorotesha uchumi kwa kiwango kikubwa hali iliyopelekea taifa hilo kuwa katika hali ya…
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, sera, bunge, kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu, Jenista Muhagama, amewaagiza wadaiwa wote wa shirika la hifadhi ya jamii NSSF, kulipa madeni wanayodaiwa mara moja…
Kampuni ya Samsung imechelewesha uuzaji wa simu aina ya galaxy Note 7 nchini Korea Kusini kwa sababu kampuni hiyo inahitaji muda zaidi wa kuzirudisha simu kama hizo ambazo zilikuwa na…
Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo la kutaka madai sugu ya walimu katika Jiji la Arusha yalipwe ndani ya siku 14 limezaa matunda, kwani madai yao yote…
Makampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan Africa Power Solutions (PAP) Tanzania Limited, yameungana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupinga uamuzi uliotolewa hivi karibuni na Mahakama ya…
Kamati ya Utendaji ya Taifa ya Chama cha Wananchi (Cuf), imeandaa ajenda ya kumfikisha Profesa Ibrahim Lipumba mbele ya Baraza Kuu la Uongozi wa chama hicho ili ajieleze na kujitetea…
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewashukuru viongozi na waumini wa Kanisa la Anglikana na madhehebu mengine, kwa kuendelea kuliombea Taifa na kudumisha amani ma utulivu.…
Mtandao wa Yahoo umethibitisha kuwa wadukuzi wamedukua taarifa za zaidi ya watumiaji milioni mia tano katika akaunti zake za watumiaji. Hata hivyo Yahoo imesema inaamini kuwa shambulio la kimtandao la…
Aliyekuwa mke wa Marehemu mzee Nelson Mandela, Winnie Madikizela-Mandela amekosoa vikali uongozi wa chama tawala cha taifa hilo ANC. Winnie ambaye alipigana vita dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini humo…
Shirika lisilo la Kiserikali la Speak Up for Africa limemtunuku tuzo, rais mstaafu, Jakaya Kikwete, kutokana na uongozi wake wa kisiasa na utetezi wake kwa makundi ya jamii yaliyo katika…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua mhandisi Emmanuel Karosso kuwa mwenyekiti wa kampuni ya ndege nchini (ATCL) kuanzia Septemba 15 mwaka huu. Kabla ya…
Serikali imesema kuwa ujenzi wa daraja refu kuliko yote nchini la Salender unatarajia kuanza juni mwakani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema hayo jana baada…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amepokea hundi za thamani ya Sh milioni 140, vifaa vya ujenzi na vyakula vya thamani ya Sh milioni 32.5 kwa…
Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha miaka miwili. Katika hafla ya kuwaapisha walimu hao jijini Dar es Salaam, Kaimu…
Ujenzi wa Hospitali na Chuo Kikuu cha Sayansi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila umemalizika Agosti 31 mwaka huu na inatarajiwa kuanza kutoa huduma ifikapo Januari mwakani. Akizungumza na waandishi wa…
Askari tisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamefikishwa mahakamani wakituhumiwa kwa mauaji ya mkazi mmoja wa Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora. Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Samson…
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, imemtaka Gavana wa Benki Kuu (BoT), Benno Ndulu na Mwendeshaji wa benki ya FBME, Lawrence Mafuru wafike mahakamani kujieleza jinsi watakavyotekeleza amri iliyoitaka…
Waasi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamesema kiasi cha watu mia moja wameuawa katika maandamano ya kuipinga serikali, katika kipindi cha siku tatu zilizopita. Ofisi ya Rais…
Mahakama kuu kitengo cha biashara, imetoa siku saba kwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP, Reginald Mengi kuwasilisha hati ya kiapo kujieleza kwa nini asifungwe jela kwa kushindwa kutekeleza hukumu…
Watu 13 wamepoteza maisha na wengine 11 kujeruhiwa kwenye ajali ya basi la Super Shem lililogongana na daladala linalofanya safari zake Nyegezi na Shilima kwenye eneo la Hungumalwa mkoani Mwanza.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya mfuko wa Pensheni wa LAPF, Prof. Hasa Malawa kuanzia leo Septemba…
Marekani imesema ndege za kivita za Urusi zilihusika kushambulia msafara wa misaada nchini Syria siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya wakazi wa mji wa Aleppo. Maafisa wa Marekani wamesema…
Makao makuu ya vyama vitatu vya upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yamechomwa moto katika mji mkuu wa Kinshasa huku mili miwili ilioungua ikipatikana ndani yake. Mashambulio hayo yanajiri…
Umoja wamataifa (UN) umesitisha misafara yote ya misada nchini Syria baada ya malori ya Umoja huo kushambuliwa na ndege za kivita karibu na mji wa Aleppo hapo jana. Msafara huo…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza fedha zilizookolewa katika malipo ya posho zisizo halali kwa madiwani zitumike kuwalipa madeni walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani humo.…
Balozi wa Japani nchini, Masaharu Yoshida amesema kuwa Serikali ya nchi yake ipo tayari kukarabati shule zilizoharibiwa na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera na kusababisha maafa makubwa. Pia imeomba…
Watu 12 wamefariki na wengine tisa kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya New Force kupinduka katika eneo la Ilongwe kata ya Kifanya, Mkoani Njombe na kupelekea vifo hivyo pamoja…