Watafiti wauawa kwa kuchomwa moto mkoani Dodoma
Watafiti wawili na dereva mmoja wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Selian (SARI) jijini Arusha wameuawa na kisha miili yao kuchomwa moto katika kijiji cha Iringa Mvumi wilayani Chamwino…
Watafiti wawili na dereva mmoja wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Selian (SARI) jijini Arusha wameuawa na kisha miili yao kuchomwa moto katika kijiji cha Iringa Mvumi wilayani Chamwino…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amesema ni wakati wa wananchi wa Dodoma kufurahi kwani tangu walipoahidiwa kuletewa Serikali mwaka…
Serikali imeombwa kudahili zaidi wanafunzi wa fani ya utoaji dawa ili waweze kusaidiana na wafamasia katika utoaji wa dawa sahihi kwa wagonjwa. Akizungumza katika kongamano la wafamasia, Rais wa Chama…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa jana amehamia rasmi mkoani Dodoma ili kutekeleza agizo la Serikali ya awamu ya tano kuhamia mkoani humo ambako ndiyo makao…
Kaya 6,249 katika Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, zitanufaika na ruzuku kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika kipindi cha Septemba hadi Oktoba, mwaka huu. Mratibu wa Tasaf wilayani…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na wadau wengine kushirikiana kwa hali na mali kuhakikisha wanadhibiti bidhaa hafifu na duni zinazoingizwa na zinazotengenezwa…
Watu wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya tembo na pembe za swala vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni…
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw. Andrea Tsere ametoa agizo la kukamatwa kwa wananchi wa kitongoji cha Ngalawale wilayani humo kwa kususia kikao cha mkuu huyo wa wilaya. Akizungumza katika…
Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira ya Zanzibar imesema imedhamiria kuimarisha maabara za Mamlaka ya Majisafi na Salama Zanzibar (ZAWA) kwa ajili ya kutoa huduma kwa kuzingatia ubora unaokwenda…
Mahakama moja nchini Kenya imemhukumu mshukiwa wa ugaidi kifungo cha miaka 80 jela. Abdi Rizzack muktar Edow kwanza alihukumiwa kifungo cha miaka 20 jela alipopatikana na hatia ya kufadhili na…
Kesi ya kutoa lugha chafu inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima inatarajiwa kuendelea kusikilizwa Oktoba 27, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anahamia mjini Dodoma leo ikiwa ni sehemu ya kutekeleza ahadi ya Serikali ya awamu ya tano ya kuhamia Dodoma. Julai…
Serikali imesema ina mpango wa kufunga mfumo mpya maalum kwa ajili ya kuratibu na kudhibiti mwendo wa magari nchini ikiwa ni sehemu ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la ajali…
Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka amesema amekabidhiwa tuzo nchini Marekani, lakini amekataa kupokea fedha zinazoambatana na tuzo hiyo ambazo ni Dola za Marekani 100,000 (zaidi ya Sh milioni…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imewasilisha marekebisho ya Katiba ya Zanzibar ya 11 ya mwaka 1984, ambayo yatatoa nafasi na kumpa uwezo Rais wa Zanzibar, kuchagua wajumbe wa Baraza…
Bunge la Marekani limepiga kura ya kupinga kura ya turufu ya Rais Barack Obama ya muswada ambao unaruhusu kufunguliwa mashtaka dhidi ya Saudi Arabia kwa mashambulizi ya ugaidi yaliofanyika Septemba…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewapa mwezi mmoja watumishi wa umma ambao hawajaripoti kwenye kituo chao cha kazi katika Wilaya mpya ya Kibiti, mkoani Pwani kufika mara moja na kuanza kazi.…
Polisi mkoani Kagera inamshikilia aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa, Amantius Msole na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Bukoba, Kelvin Makonda kwa tuhuma za kufungua akaunti bandia ya kusaidia waathirika…
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa bado anatambua yeye ni mwenyekiti halali wa chama hicho. Lipumba amesema atampokea Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mabarawa kuwafukuza kazi mara moja watendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania(ATCL)…
Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Msingi Ukingwamizi, Une Thom kutumikia kifungo cha miaka 32 jela. Thom (32) amehukumiwa kifungo hicho baada ya mahakama…
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, John Magufuli amezindua ndege mbili za Serikali kwenye hafla iliyofanyika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Saalam.…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imesema, Oktoba 10, mwaka huu itatoa uamuzi wa maombi ya mke wa aliyekuwa bilionea jijini Arusha, marehemu Erasto Msuya, Miriam Msuya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea msaada wa Shilingi Milioni 545 kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi kwa ajili ya kusaidia…
Rais wa Gabon Ali Bongo ameapishwa kwa muhula wa pili wa miaka saba kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata ambapo watu kadhaa waliuawa. Kuapishwa huku kunafanyika siku tatu baada ya mahakama…
Papa Francis amekutana na kufanya mazungumzo ya faragha na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye makazi ya Papa Francis yaliyoko jijini Vatican. Kwenye…
Rais wa Jamhuri ya Muunga wa Tanzania, Dkt John Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili za Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) zilizonunuliwa kwa kutumia kodi za wananchi. Katibu Mkuu…
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad leo amefanya mkutano na wanachama wa chama hicho katika eneo ya Vuga kisiwani Unguja kwa ajili ya kuzungumzia mustakabali…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imemhukumu mwanamgambo wa Kiislamu raia wa Mali, Ahmad Al Faqi Al Mahdi kifungo cha miaka tisa jela. Al-Mahdi ameshtakiwa kwa makosa ya…
Naibu waziri wa mambo ya ndani, Hamad Masauni amelitaka jeshi la polisi na wasimamizi wa sheria kutofumbia macho wanaovunja sheria za barabara nchini ili kupunguza ajali. Naibu waziri, Masauni amesema…