MO ashinda tuzo ya ‘Choiseul’
Mohammed Dewji maarufu kwa jina la 'MO' amefanikiwa kushinda tuzo kutoka Taasisi ya Choiseul ya nchini Ufaransa kama mfanya biashara kijana ambaye anasaidia kukuza uchumi wa bara la Afrika. Dewji…
Mohammed Dewji maarufu kwa jina la 'MO' amefanikiwa kushinda tuzo kutoka Taasisi ya Choiseul ya nchini Ufaransa kama mfanya biashara kijana ambaye anasaidia kukuza uchumi wa bara la Afrika. Dewji…
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewapa siku sitini wakurugenzi wa halmashauri na wale wa hospitali za umma nchini wawe wamewalipa posho za wauguzi za kununua…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana kuchunguza ni kwa nini Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma, Antonino Kilumbi…
Watu sita wameuawa baada ya watu wenye silaha kushambulia mtaa mmoja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya. Gavana wa jimbo la Mandera Ali Roba ameandika kwenye Twitter kwamba watu 6…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili kwa kuwa amekwenda kwenye kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro. Waliosimamishwa kazi ni Mweka Hazina Evance Mwalukasa, Mwanasheria wa halmashauri hiyo, Sembele Siloma…
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limeunda mfumo wa kutunza taarifa za wanafunzi wa Shule za Msingi (PReM), ambao utasaidia katika uandikishaji wa wanafunzi wote na kupewa namba maalumu, ambayo itamtambulisha…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya ukaguzi wa kushitukiza katika sehemu ya kukagulia mizigo na abiria ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere…
Mkazi wa Machimbo Yombo jijini Dar es Salaam, Salum Njwele (34) maarufu kama Scorpion, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashitaka ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kumtoboa…
Jumuiya za Vijana wa Chama cha Wananchi ( CUF) katika mkoa wa Dar es Salaam, wameibuka na kulaani tabia ya inayojiita Kamati ya Uongozi ya chama hicho inayoongozwa na Julius…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 1.37 mwezi Septemba mwaka huu na kufanya fedha zilizokusanywa katika kipindi cha miezi mitatu ya mwaka mpya wa fedha wa 2016/2017 kufikia…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameahidi kuzungumza na mwenzake wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene ili kuhakikisha halmashauri…
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila ametupilia mbali shutma kwamba amesogeza mbele tarehe ya uchaguzi ili aendelee kung'ang'ania madarakani. Rais Kabilla amewaambia waandishi wa habari jijini,Dar es…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itachukua hatua kuhakikisha kuwa waliohusika na mauaji ya watafiti wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Selian Arusha (SARI) wanakamatwa na kufikishwa kwenye mikono…
Watu zaidi ya 21 wamekufa katika Kata ya Pinyinyi wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kwa ugonjwa wa ajabu wa kutapika damu. Mtendaji wa kata hiyo, James Mushi amebainisha kuwapo kwa ugonjwa…
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kuandika makala ya kupotosha na kusababisha hofu kwa jamii. Kubenea,…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Polisi nchini kuimarisha ulinzi…
Tanzania imetajwa na Benki ya Dunia kuwa miongoni mwa mataifa machache duniani ambayo yamefanikiwa kupunguza pengo kati ya matajiri na maskini. Kwenye ripoti ya benki hiyo kuhusu usawa duniani, Tanzania…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Angela Kairuki amekanusha tetesi kuwa serikali itaanza kuhakiki watumishi wa umma wanavyotumia mishahara yao. Waziri huyo amelazimika kutumia akaunti …
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema atafuatilia ili ajue ni kwa nini bidhaa za gypsum (jasi) zinazoagizwa kutoka nje ya nchi hazitozwi kodi zinapoingizwa nchini.…
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, George Mbijima amemtaka Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, Mriro Jumanne kumuweka rumande Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama, Bruno…
Waathirika wa tetemeko la ardhi katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wameiomba serikali iwaongezee mahema ili waepuke adha ya kunyeshewa na mvua. Wamesema kutokana na mvua kubwa yenye upepo mkali…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amempongeza Balozi Prof. Joram Biswaro kwa kuteuliwa kuwa Mwakilishi Maalum wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika na Mkuu wa…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, CP Simon Sirro leo amepokea msaada wa hundi ya Shilingi 50,000,000 kutoka mfuko wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)…
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu. Amepokelewa na viongozi mbalimbali wa nchi akiwemo rais John Magufuli, makamu wa Rais…
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya Iramba Mkoani Singida na kukagua huduma za Afya katika Hospitali…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu…
Tume huru ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo sasa utafanyika Novemba mwaka wa 2018 na wala sio mwaka huu kama ilivyotarajiwa.…
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema hawamtambui wala hawamtaki katika umoja huo aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu wadhifa huo, kisha kuutengua na kurudishwa…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jeshi hilo limemkamata mtuhumiwa ‘Scorpion’ aliyehusika katika matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha eneo la Buguruni…