Mbunge wa CCM apokea mishahara hewa
Sakata la watumishi hewa sasa limefikia pabaya baada ya msako wa watu wanaolipwa fedha bila kuwapo kazini kumkumba Mbunge Makete (CCM), Profesa Norman Sigalla ambaye alikuwa mkuu wa Wilaya ya…
Sakata la watumishi hewa sasa limefikia pabaya baada ya msako wa watu wanaolipwa fedha bila kuwapo kazini kumkumba Mbunge Makete (CCM), Profesa Norman Sigalla ambaye alikuwa mkuu wa Wilaya ya…
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi inatarajia kuvifanyia uhakiki vyuo vyote vinavyotoa shahada nchini vya umma na vya binafsi kuanzia kesho. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga, Emmanuel Mkumbo (41) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kumtishia kumuua kwa…
Serikali imesema imetenga Sh bilioni 70 kwa ajili ya kukabili ukosefu wa dawa nchini, huku ikitangaza kujenga kiwanda cha dawa mkoani Simiyu. Hayo yamesemwa na makamu wa Rais, Samia Suluhu…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muunagno wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Charles Tizeba kuifanyia marekebisho makubwa Bodi ya Korosho na menejimenti yake baada…
Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo ameongoza waombolezaji na viongozi wa serikali na vyama vya siasa kuuaga mwili wa aliyekuwa Meya Mstaafu wa Jiji la Dar…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amesema anatamani wakuu wa wilaya za mkoa wa Dodoma wasihamishiwe maeneo mengine hadi pale azma ya serikali kuhamia Dodoma itakapokamilika kutokana na kufanya…
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema inatambua na itaendelea kuhakikisha watu wenye ulemavu wasio na uwezo wa kugharimia huduma za matibabu wanapatiwa msamaha wa matibabu…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Bakari Mohammed kuhakikisha hospitali ya wilaya hiyo inakusanya…
Said Ally aliyetobolewa macho maeneo ya Buguruni Sheli amekabidhiwa Bajaji mbili na kiongozi wa Bohra dunia Dk. Syedna Mufaddal Saifuddin ikiwa kama msaada wake kwa kijana huyo. Kitendo hiko cha…
Mkurugenzi wa Idara ya Petroli wa Ewura, Godwin Samweli amesema kuwa mamlaka hiyo itaanza kutoa bei kikomo kwa gesi ya kupikia inayotokana na zao la mafuta ya petroli, utaratibu unaotarajia…
Mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi, leo utaagwa na viongozi wa kitaifa pamoja na wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kwenye…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki ameitaka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) kuhakikisha wanasajili mtumishi yeyote hata kama hana…
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amewataka baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), walioshirikiana na wenzao wa Mamlaka ya Mapato (TRA), kupitisha makontena zaidi ya…
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameandika historia ya aina yake kwenda Dodoma kufanya ziara, ambapo ametumia njia ya barabara na kufanya mikutano kadhaa katika mikoa yote ya njiani ya…
Serikali imetoa vigezo vitakavyozingatiwa katika utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo wa 2016/2017. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Stella…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema serikali yake ya Awamu ya Tano inataka kuona mambo yanafanyika na kutoa matokeo bila kupoteza muda na kwamba angependa…
Bomba la gesi asilia kutoka mkoani Mtwara hadi jijini Dar es Salaam lililokamilika ujenzi wake mwaka jana limekabidhiwa rasmi kwa Kampuni ya Tanzania ya Kusambaza Gesi (GASCO). Aidha baada ya…
Mahakama imetupilia maombi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyofunguliwa na David Kafulila akipinga ushindi wa Husna Mwilima wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Kusini, safari hii uamuzi ukitolewa…
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wafanyabiashara wenye leseni za kuingiza simu nchini, zinazotolewa na mamlaka hiyo, kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Kampuni ya Samsung ya kurejesha simu za kisasa za…
Samaki Mkubwa aina ya Nyangumi amekutwa akiwa amekufa katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Bandari ya Kilwa, Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi. Ripiti kutoka eneo la tukio zinasema…
Vikao vya Kamati za kudumu za Bunge vinatarajiwa kuanza Jumatatu wiki ijayo mjini Dodoma, vitapokea maoni ya miswada mbalimbali ikiwemo Muswada wa Huduma za Habari wa mwaka 2016 na taarifa…
Halmashauri nchini zimetakiwa kuhakikisha zinahuisha mipango mikakati yake kwa kuzingatia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) katika mipango yake ya maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amewataka wakuu wa mikoa na wa wilaya kupita darasani kukagua wanachofundisha walimu ili kuhakikisha…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo anatarajia kuanza ziara ya siku 4 mkoani Dodoma. Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Mkoa wa Dodoma imesema…
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli amesema kuwa serikali itashirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha kuwa wazee na watu wenye ulemavu wanapata huduma za…
Serikali imesema kuwa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2016, zimezindua jumla ya miradi 1,387 yenye thamani ya shilingi bilion 494.8 na mingine imeanza kutoa huduma kwa wananchi wa Tanzania…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Qian Keming. Katika…
Kampuni ya Samsung imesema gharama ya kuacha kuuza simu yake ya mpya Galaxy Note 7 zitakuwa zaidi ya £4.4bn ($5.4bn). Kampuni hiyo ya Korea Kusini tayari imepunguza matarajio yake ya…
Mkuu wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Glorius Luoga amewaagiza polisi kuwakamata Ofisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Mji Tarime, George Ogutu na Mkuu wa Shule ya Sekondari Tarime, Marwa Matiko…