Sekta ya madini kuchangia asilimia 10 Pato la Taifa
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema hadi kufikia mwaka 2025, sekta ya madini nchini inapaswa ichangie asilimia 10 kwenye Pato la Taifa. Katika kipindi cha mwaka 2015…
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema hadi kufikia mwaka 2025, sekta ya madini nchini inapaswa ichangie asilimia 10 kwenye Pato la Taifa. Katika kipindi cha mwaka 2015…
Shirika la ndege la Etihad limepokea hati ya uthibitisho wa kuwa na hadhi ya nyota tano, kutoka kwa taasisi ya Skytrax ambayo inajihusisha na utafiti wa ubora wa huduma za…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk Augustine Mahiga amesema suala la mageuzi katika Umoja wa Mataifa ni muhimu. Amesema wameomba Afrika ipewe viti viwili…
Mkuu wa Shule ya Sekondari Shinyanga Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Marxon Paul amevuliwa madaraka kutokana na tabia ya ulevi na kushindwa kusimamia taaluma. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya…
Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii imetoa muda wa wiki moja kwa wadau wa habari kuhakikisha wanawasilisha maoni yao kwa ajili ya kuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea msaada wa mabati 100 yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni mbili kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Lindi, Hamida Abdallah. Msaada huo…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Lindi (LUWASA), Mhandisi Adam Alexander. Hatua hiyo imekuja kufuatia kosa la matumizi mabaya…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa Rais Magufuli amemuhakikishia kuwa yeye ndiyo mkuu wa mkoa wa Arusha. Hatua hiyo inakuwaja baada ya kuenea kwa taarifa kwenye mitandao…
Donald Trump na Hilary Clinton ambao ni wagombea urais nchini Marekani wamechuana tena katika awamu ya tatu na ya mwisho ya mdahalo mjini Las Vegas. Katika mdahalo huo wawili hao…
Maofisa 14 wa utumishi wa Halmashauri za Momba, Tunduma, Mbozi na Ileje katika Mkoa wa Songwe wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuzalisha watumishi hewa na kuisababishia serikali hasara ya mamilioni…
Jumla ya watu sita wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi katika eneo la Mbezi kwa Yusuf Makondeni katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kaimu…
Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama ameuomba uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuwasaidia kutengeneza viti na meza kwa ajili ya walimu baada ya kukamilisha madawati.…
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam itaanza kusikiliza hivi karibuni kesi ya Bodi ya Baraza la Wadhamini la CUF dhidi ya Jaji Francis Mutungi baada ya kuisajili…
Aliyekuwa makamu wa rais Congo, Jean-Pierre Bemba amepatikana na hatia katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC ya kuwahonga mashahidi. Mapema mwaka huu Bemba alipatikana na hatia ya uhalifu wa…
Watu 4 wamepoteza maisha na wengine 22 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria aina ya Coaster linalofanya safari zake Mbeya na Chunya kupinduka katika Kijiji cha Majimazuri, Wilaya ya…
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesikitishwa na kitendo cha kutoelewana kati ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema. Zitto kupitia…
Biashara zimefungwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Kinshasa na hakuna magari barabarani kufuatia wito wa upinzani kwa watu wakae ndani ili kushinikiza uchaguzi mkuu nchini ufanyike Novemba…
Jaji David Maraga ameapishwa kuwa Jaji Mkuu mpya wa Kenya baada ya kustaafu kwa jaji mkuu wa awali Dkt Willy Mutunga. Jaji Maraga atakuwa jaji wa pili kuhudumu nchini Kenya…
Kampuni ya Songoro Marine Transport Boatyard imeihakikishia Serikali kuwa meli mpya mbili za mizigo zinazoendelea kujengwa katika Bandari ya Itungi wilayani Kyela mkoani Mbeya zitakuwa zimekamilika ifikapo mwishoni mwa mwezi…
Rais wa Marekani, Barack Obama amemshutumu mgombea Urais nchini humo kupitia chama cha Republican Donald Trump kwa madai anayotoa kwamba kuna hila dhidi yake zinazofanywa katika uchaguzi nchini humo. Amesema…
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemfutia shtaka linalomkabili Salum Njwete 'Scorpion' baada ya upande wa mshtaka kuomba shitaka hilo liondolewe mahakamani kwa sababu hawana nia ya kuendelea na kesi. Kutokana…
Nchi ya Burundi imekuwa taifa la kwanza kujiondoa rasmi katika mkataba wa Roma unaosimamia mahakama ya kimataifa uhalifu wa kivita (ICC). Hatua hiyo inajiri baada ya rais wa taifa hilo…
Shirika la Viwango nchini (TBS) limefafanua kuwa halijaanzisha tozo mpya kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango (TBS), Dk Egid Mubofu amesema…
Mtoto aliyetambuliwa kwa jina la Isack Ernest (16) anayetuhumiwa kuwa miongoni mwa vijana wa kikundi cha uhalifu cha ‘panya road’ amezinduka katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Temeke,…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira kuongeza kasi ya kuwaelimisha wananchi kuhusu sheria ya ardhi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Emmanuel Mkumbo. Taarifa ya Ikulu jijini Dar es Salaam…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemchagua Mhe. Naghenjwa Kaboyoka Mbunge wa Same Mashariki (Chadema) kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo. Tangu kuundwa kwa Kamati hiyo…
Kesi iliyofunguliwa na Mbowe Hotels Ltd dhidi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) imefutwa na mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Sivangilwa…
Mwenyekiti wa Kijiji cha Iringa Mvumi Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Albert Chimanga na watu wengine 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini, wakikabiliwa na mashtaka ya mauaji…
Mahakama ya katiba Katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo imeidhinisha ombi lililozusha mzozo la tume ya uchaguzi kuahirisha uchaguzi wa Novemba ili orodha ya usajili wa wapiga kura iwekwe sawa.…