Mchakato wa ujenzi wa vyumba vya figo waanza
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imeanza mchakato wa ujenzi wa vyumba vya upasuaji kwa ajili ya kutoa huduma ya upandikizaji wa figo nchini. Taarifa hiyo…
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imeanza mchakato wa ujenzi wa vyumba vya upasuaji kwa ajili ya kutoa huduma ya upandikizaji wa figo nchini. Taarifa hiyo…
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la saba huku ufaulu ukiongezeka kwa asilimia 2.52 lakini kumetokea na udanganyifu kwa baadhi ya shule. Baadhi ya waliohusika na…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo ametoa siku 14 kwa wakuu wa wilaya za mkoa huo kuhakikisha wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga) wanafanya biashara kwenye maeneo yao…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeamua kushusha chini zaidi madaraka kwa wanachama wake katika ngazi ya familia kwa njia ya kuanzisha mabalozi wa nyumba kumi kama ilivyo kwa Chama…
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la saba huku ufaulu ukiongezeka tofauti na mwaka uliopita. Ufaulu huo wa mtihani wa Darasa la Saba umeongezeka kwa asilimia…
Aliyekuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda Mjini mwaka 2015, Lucy Msoffe amekiri kufanya makosa ya kuandika idadi ya wapigakura wakati wa kutangaza mshindi wa nafasi ya ubunge.…
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Seleman Manoti, kifungo cha miaka miwili jela kwa kupatikana na hatia ya kujifanya afisa wa usalama wa Taifa. Mahakama imetoa hukumu hiyo bila mshitakiwa…
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wamekamata lori lililokuwa likisafirisha mbao zilizovunwa kinyume cha sheria baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema. Lori hilo lenye namba za usajili…
Maofisa watatu wa Benki ya Maendeleo (TIB) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni tano…
Raia wawili wa China Wang Young Jing (37) Chen Chung Bao (35) wamekamatwa na jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa makosa ya utekaji nyara jijini Dar…
Mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Mwenda Saidi (40), amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Mwanzo Kinondoni, kwa madai ya kutishia kuua watoto kwa sumu. Msoma mashitaka, Rukia Liganduka, amedai…
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido, Juma Mhina ameamuru polisi wa wilaya hiyo kumkamata na kumweka ndani mtendaji wa kata ya Gelai Lumbwa, Paulo Lucas, kwa kutuhumiwa kutumia vibaya…
Tembo wanaotoka katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wameendelea kuleta kero kwa wananchi wa vijiji vya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, vinavyopakana na hifadhi hiyo. Tembo hao wanaleta fujo kwa…
Wazanzibari 40,000 wamefungua kesi mahakamani kupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) na Rashid Salum Adiy kwa niaba ya wenzake…
Serikali imesema kuwa takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha maambukizi miongoni mwa makundi maalum na yale yaliyo katika hatari zaidi ya kuambukizwa VVU yapo juu. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,…
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu, Profesa Norman Sigalla amekitaka chuo cha Usafirishaji (NIT) kuboresha idara ya ukaguzi wa magari kwa ajili ya kukijengea uwezo wa kufanya kazi hiyo.…
Serikali ya Gambia imesema kuwa itajiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC kama ilivyofanya nchi za Burundi na Afrika Kusini. Hatua hiyo imekuja kutokana na madai kuwa ICC hushughulika…
Kampuni ya Apple imeripoti kushuka kwa mapato yake ya mwaka kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2001. Matokeo ya robo ya mwisho ya mwaka wa fedha nchini Marekani imethibitisha mwenendo…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema kitendo kinachofanywa na walimu cha kuwarekodi wanafunzi wanapofanya makosa na kusambaza kwenye mitandao ya…
Mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump amesema mpango wa mpinzani wake Hillary Clinton kuhusu kutatua mzozo Syria utaanzisha vita kuu ya tatu ya Dunia. Trump amesema Marekani inafaa…
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) ina mpango wa kurejesha nyumba 71 zilizouzwa kwa wafanyakazi bila kufuata utaratibu. Taasisi hiyo imetoa siku 60 kwa wafanyakazi 457 ambao hawakulipa…
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameitaka Bodi mpya ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kusimamia Menejimenti ya Mamlaka hiyo katika Idara ya Utawala na…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kutafuta fedha za mafunzo kwa ajili ya wahadhiri wa vyuo vikuu nchini ili kuziba pengo la wahadhiri…
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Bosco Ndunguru, kulipa malimbikizo yote ya mishahara ya miezi 22 yanayofikia Sh 660,000 ya…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka amepiga marufuku uingizaji migomba na mazao yake kutoka Msumbiji kwa kuwa nchi hiyo imekumbwa na ugonjwa unaoshambulia zao…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amepongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Mazingira, ikiwa ni pamoja na azma…
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mhandisi Hamad Massauni amesema kuwa ajali za barabarani zimepungua kwa asilimia 10 ambapo katika kipindi cha miezi sita vifo vimepungua kwa asilimia…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kudumisha uhusiano na ushirikiano wa kihistoria kati ya Tanzania na India. Makamu wa Rais ametoa…
Vijana wawili wamekamatwa baada ya kumfanyia kampeni mgombea urais nchini Marekani, Donald Trump katika ubalozi wa Marekani mjini Kampala nchini Uganda. Wafuasi hao wa Trump waliambiwa na maafisa wa polisi…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James ameshindwa kuhudhuria kikao cha kamati ya kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) na kusababisha kushindwa kupitia hesabu za Mfuko wa…