Wanafunzi watakaofaulu masomo ya Sayansi Dar kusoma bure
Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imeamua kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha nne watakaofanya vizuri katika masomo ya sayansi na kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano na sita. Mkuu…
Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imeamua kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha nne watakaofanya vizuri katika masomo ya sayansi na kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano na sita. Mkuu…
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Mifugo imesema itahakikisha utaratibu wa kusambaza pembejeo za ruzuku za mbegu na mbolea unatekelezwa vizuri, ili kuwafikia wakulima kwa wakati. Aidha, serikali imesema…
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametetea hatua ya nchi yake na kuwaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Sudan Kusini. Rais Kenyatta amesema kuwa…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara yake inakusudia mpaka Juni 2017 iwe imetoa takribani hati laki nne, hivyo kushauri kasi katika upimaji ardhi. Ametoa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama amewataka wabunge kutotumia lugha zinazoudhi bungeni kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha kanuni…
Mke wa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, Neema Lema (33) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kuunganishwa katika kesi ya mume wake ya kumtukana Mkuu…
Watahiniwa 408,442 wamesajiliwa na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne unaotarajia kuanza leo hadi Novemba 18, mwaka huu. Akizungumzia maandalizi ya mtihani huo, Katibu Mtendaji…
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema itawapokonya mikopo baadhi ya wanafunzi ambao uhakiki utawabaini kuwa hawakuwa wanastahili kupewa mikopo waliyokopeshwa. Utaratibu huo utawagusa wanafunzi wapya…
Tetemeko la ardhi limetokea tena maeneo ya katikati mwa Italia, mahali ambapo watu 300 waliuwawa mwezi Agosti mwaka huu. Idara ya Seisomologia nchini Italia inakadiria kuwa tetemeko hilo lilikuwa lenye…
Kampuni ya teknolojia ya Apple imeongeza bei ya laptop na kompyuta zake nchini Uingereza kwa pauni 100. Siku ya Alhamisi ,kampuni hiyo ilizindua laptopu za Macbook Pro zikiwa na bei…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Jenerali Mstaafu George Waitara kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa). Taarifa iliyotolewa jana na Katibu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajia kuanza ziara nchini Kenya. Ziara ya Magufuli nchini humo inakuja wakati ambapo uhusiano wa mataifa hayo mawili…
Mgombea urais wa Marekani kwa chama cha Democtaric, Hillary Clinton amelitaka shirika la kijasusi la FBI litoe maelezo zaidi kuhusu yaliyomo kwenye barua zake pepe walizonazo FBI. FBI limesema wanazitumia…
Chama cha ACT Wazalendo kimejibu mapigo ya kauli zilizotolewa na Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher ole Sendeka huku kikieleza kuwa kinakaribisha uchunguzi juu ya mali na madeni za…
Raia nchini Ivory Coast leo wanapiga kura ya maoni kuhusiana na upatikanaji wa katiba mpya ya nchi hiyo. Rais wa nchi hiyo Alassane Ouattara amesema kwamba italisaidia taifa hilo kusonga…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation – DCI), Diwani Athuman Msuya. Kwa…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetekeleza agizo la Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho la kuwalipa mishahara na haki zao nyingine zinazofikia Sh milioni 609…
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva ameitaka serikali kubadili muundo wa tume hiyo ili iwe na ofisi na watumishi katika kila halmashauri nchini na…
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefanya operesheni ya ukaguzi wa dawa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini na kufanikiwa kukamata dawa bandia za aina…
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imewataka watoa huduma za afya na wafanyabiashara za dawa nchini kuzirudisha TFDA dawa za Malaria pamoja na dawa za Vijiuasumu (Antibiotic) zenye thamani ya…
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inakusudia kuimarisha elimu ya msingi na mjumuisho ili kuona malengo ya kujua kusoma na kuandika kwa…
Serikali ya awamu ya tano imetakiwa kuchunguza akaunti za viongozi wa Kamati za Bunge waliokuwa wakisimamia mashirika ambayo yamebainika kuwa yalikuwa yanajihusisha na vitendo vya ufusadi. Kauli hiyo imetolewa na…
Kaimu Rais wa Ab Dhabi, Mohamed bin Zayed Al Nahyan ameahidi kuendelea kuimarisha uhusiano baina ya nchi hiyo na Tanzania katika kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Ahadi hiyo ya…
Wananchi wa vijiji vya Kiwege na Mlilingwa wilayani Morogoro wameomba kurejeshewa zaidi ya ekari 20,000 walizozitoa kwa wawekezaji ambao wameshinda kuziendeleza. Wakazi wa vijiji hivyo wamemuomba waziri wa Ardhi, Nyumba…
Waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametakiwa kuendeleza mashamba yake mawili ndani ya siku 90 la sivyo Serikali itafuta hati ya umiliki wake. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,…
Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameamua kujibu kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii katika siku za karibuni. Kupitia akaunti yake…
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umefungwa kwa muda baada ya mtu aliyekuwa na kisu kujaribu kumshambulia afisa wa usalama karibu na ubalozi siku hapo jana. Lakini mtu huyo aliuawa kwa…
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kupitia kikosi chake cha Usalama Barabarani kimekusanya zaidi ya Sh milioni 690, kupitia tozo za makosa ya usalama barabarani. Kamanda wa Polisi wa…
Mgombea mwenza wa chama cha Republican katika uchaguzi mkuu nchini Marekani, Mike Pence amenusurika kifo baada ya ndege iliyombeba kupata ajali uwanja wa ndege. Ndege hiyo iliteleza na kuvuka barabara…
Mfalme wa Morocco, Mohammed VI wa Morocco jana amewasili visiwani Zanzibar ambako akitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara katika ardhi ya Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa…