Serikali kupunguza kodi kwenye viwanda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali inajipanga kuondoa utitiri wa kodi mbalimbali zinatozwa kwenye viwanda kama hatua ya kuviwezesha viwanda vingi nchini…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali inajipanga kuondoa utitiri wa kodi mbalimbali zinatozwa kwenye viwanda kama hatua ya kuviwezesha viwanda vingi nchini…
Tume iliyoundwa na Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakar Zubeir kufuatilia mali za Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) imekabidhi ripoti ya awali kwa mufti huyo huku ikiainisha baadhi ya mali za…
Wafuasi wa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad walipigana hadharani katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.…
Shirika la umeme nchini TANESCO limesema kuwa bei ya umeme itapandishwa kwa watumiaji wakubwa na halina mpango wa kupandisha bei za umeme kwa watumiaji wadogo kama inavyosemwa. Mkurugenzi Mtendaji wa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, amesema Rais Edgar Lungu wa Zambia anatarajiwa kufanya ziara rasmi ya siku tatu nchini kuanzia Novemba…
Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania imetangaza kufukuza wafanyakazi wote wa shirika hilo waliojihusisha na ubadhirifu wa Sh bilioni 13 kupitia wizi wa mafuta ya magari…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema kuwa sababu ya kuvunja bodi ya mamlaka ya mapato TRA kutokana na mamlaka hiyo kuweka mabilioni ya fedha katika…
Video ya foleni ndefu ya magari Kusini mwa Jimbo la California nchini Marekani huku wengi wakisema huenda ndiyo foleni mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani. Video hiyo ilipigwa kwa kutumia helikopya…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuanzia sasa hatoweka sahihi kwenye nyaraka yoyote itakayopelekwa katika ofisi yake kabla ya kupeleka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na…
Rais Mstaafu wa awamu ya pili nchini Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amesema amefurahishwa na utenda kazi wa Rais John Pombe Magufuli katika kipindi cha mwaka mmoja toka achukue madaraka. Mwinyi…
Aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Democratic, Hillary Clinton ameongoza wingi wa kura zaidi ya milioni mbili dhidi ya Donald Trump wa Republican katika kura za kawaida. Rais Mteule Trump…
Rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema iliyokatwa na mawakili wake itasikilizwa Jumatatu ijayo katika mahakama kuu kanda ya Arusha. Rufaa hiyo itasikilizwa na Jaji Fatma Masengi ya kuomba…
Mwenyekiti wa Soko la Mbande wilayani Temeke, Mukiwa Hassani ameomba kupigwa risasi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ikiwa itathibitika amekula fedha za vizimba katika…
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani amesema Serikali imedhamiria kufufua na kuyawezesha mashirika yake yote kufanya biashara na kuzalisha faida ili kujitegemea na kuachana na utegemezi…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za vuli zinazoendelea kunyesha nchini ni mvua ambazo kama wananchi hawatachukua tahadhari za haraka zinaweza kuleta madhara makubwa. Hayo yamesemwa na…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa hatoanzisha uchunguzi mwengine kuhusu barua pepe za Hillary Clinton ili kumsaidia kujiuguza. Mshauri mkuu wa Trump, Kellyanne Conway amesema kuwa Trump hatotekeleza…
Agizo la Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli la kuweka mashine za kisasa za kukagua mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam umetekelezwa banadarini hapo. Mradi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemuapisha kamishna wa polisi Diwani Athuman Msuya kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Kagera. Hafla ya kuapishwa kwa kamishna…
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) leo amerejeshwa tena rumande kwa mara nyingine baada ya kukosa dhamana kwa mara ya tatu mfululizo. Ombi hilo la dhamana lilikuwa la tatu…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul, Makonda amewataka wazazi kuwalea watoto wao katika maadili mema ili wasiingie katika matukio ya kihalifu yanayoendelea katika jiji la Dar es Salaam.…
Mke wa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump, Melania, na mwanae Barron hawatahamia ikulu ya White House mjini Washington DC Januari mpaka atakapomaliza shule jijini New York. Bw Trump amesema…
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameigiza TAKUKURU mkoani humo kuhakikisha inawakamata na kuwafikisha mahakamani wale wote waliokula fedha shilingi 448.9 za mradi wa machinjio katika shamba la Manyara…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Kwa kushirikiana na Ubalozi wa China hapa nchini imeandaa semina Kwa ajili ya Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China kuhusu utoaji elimu juu ya kutambua mambo…
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania na amiri jeshi mkuu, John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na makamu mwenyekiti wa kamisheni kuu ya ulinzi la jeshi la ukombozi wa…
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema leo anafikishwa mahakamani kwa maombi ya dhamana baada ya kusota mahabusu tangu akamatwe mkoani Dodoma Novemba 3. Lema anayekabiliwa na tuhuma ya kutoa…
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa wamewakamata watu watatu wakijihusisha na biashara ya uuzaji wa shisha katika wilaya ya Kindondoni. Sirro amesema kuwa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa ataanza kuwastaafisha watumishi wa umma wasiowajibika huku akidai katika ofisi yake ni wakuu wa idara wanne pekee ndio wanaofanya…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlojia, Profesa Joyce Ndarichako amesema kuwa wanafunzi wa St. Joseph walioamishiwa katika chuo kikuu cha Dodoma kurudia mwaka kwa kile kilichobainika kuwa na ujuzi na…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ataunda kikosi kazi kitachoshirikisha Jeshi la Polisi kukabiliana na uvuvi haramu wa mabomu unaofanywa na wavuvi katika pwani ya Kigamboni.…
Wakazi 250 katika kijiji cha Namonge katika Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, hawana sehemu ya kuishi baada ya nyumba zao kuharibiwa na kuezuliwa mapaa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha. Akizungumza…