Raia wa Cuba waanza kumuaga Fidel Castro
Raia wa Cuba wameanza kutoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi mwanamapinduzi wa taifa hilo Fidel Castro aliyeaga dunia siku ya Ijumaa akiwa na umri wa miaka 90. Milolongo mirefu…
Raia wa Cuba wameanza kutoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi mwanamapinduzi wa taifa hilo Fidel Castro aliyeaga dunia siku ya Ijumaa akiwa na umri wa miaka 90. Milolongo mirefu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli jana alimuandalia dhifa ya kitaifa mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Lungu iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Dhifa hiyo…
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Luhaga Mpina amesema mawaziri walioteuliwa na Rais John Magufuli si waoga na wanatekeleza wajibu wao ikiwa ni pamoja…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza operesheni mpya walioipa jina la 'Kata Funua' kwa ajili ya kujiimarisha vijijini zaidi. Opreresheni hiyo imetangazwa na mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameitaka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kumhamisha Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dk Aziz…
Rais wa Zambia, Edgar Lungu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli wamesema wataifanyia mabadiliko Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kutokana na kushindwa…
Ikulu ya White House imesema hakuna ushahidi wowote wa kuashiria kwamba kulikuwa na wizi wa kura katika uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika tarehe 8 Novemba. Afisa wa habari wa ikulu…
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu. Badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato…
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeendelea na kazi ya kuwaondoa wadaiwa sugu katika nyumba za shirika hilo zilizopo maeneo ya Kijichi jijini Dar es Salaam walioshindwa kulipa…
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema leo dhamana yake imegoma tena katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha na kurudishwa tena rumande. Mbele ya Jaji Fatma Masengi aliyekuwa amepangwa kusikiliza Rufaa…
Maelfu ya watu nchini India wameandamana kupinga hatua ya serikali ya nchi hiyo kusitisha matumizi ya noti za rupia 500 na 1,000. Watu wameendelea kukaa foleni katika benki wakitaka kubadilisha…
Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo mkoani Mtwara kimesitisha uzalishaji kutokana na gharama za uendeshaji kuwa juu. Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda hicho Harpeet Duggal amesema wapo kwenye mazungumzo na serikali…
Mwandishi wa habari wa KTN kutoka Kenya, Joy Doreen Biira amekamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa usalama nchini Uganda. Biira amekamatwa pamoja na wengine watano kwa tuhuma za kupiga picha…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa atavunja nyumba zinazotumika kufanyia biashara ya ngono maarufu kama uwanja wa fisi zilizopo Manzese na badala yake atajenga viwanda…
Kundi maarufu linaloipinga serikali ya Cuba limesitisha maandamano yake ya kila wiki kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka kumi na tatu kufuatia kifo cha Fidel Castro ambaye wao…
Kesi ya mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema inatarajia kusikilizwa leo katika mahakama kuu kanda ya Arusha ili kujua hatima ya dhamana yake katika kesi hiyo ya uchochezi inayomkabili.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli jana amewapokea marais wawili, Edgar Lungu wa Zambia aliyewasili kwa ziara ya kiserikali na Idriss Deby wa Chad aliyekuja kikazi.…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameanza ziara yake katika wilaya Kinondoni ambapo asubuhi ya leo amezungumza watumishi wa wilaya hiyo pamoja na kutoa baadhi ya maagizo.…
Cuba inaadhimisha siku tisa za maombolezo kufuatia kufariki kwa Fidel Castro, anayejulikana kwa siasa zake za kimapinduzi na aliyetawala taifa hilo. Mwili wake, utachomwa hadi kuwa majivu kama alivyotaka, katika…
Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump amemtaja Fidel Castro kama nduli na mdhalimu aliyewatesa watu wake kwa miongo kadhaa na kuwa ameacha kumbukumbu yenye machungu mengi kwa watu wa Cuba.…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene amesema kuwa ameagiza fedha zilizotolewa kwa kaya zisizokuwa na sifa katika mpango wa kunusuru…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Cuba, Raul Castro kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba Fidel Castro.…
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete amewapoza wahitimu wa fani ya ualimu akisema wasikatishwe tamaa na tatizo la ajira katika sekta hiyo kwa kuwa ni suala la…
Shamba lililokuwa linamilikiwa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, lililopo Mabwepande limefutiwa hati zake na umiliki umerudishwa kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ambayo itafanya utaratibu wa kupima viwanja na…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka watendaji wote wa Kata kuwa na taarifa zote za miradi ya maendeleo vinginevyo atawachukulia hatua stahiki. Makonda amemtolea mfano Mkuu…
Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo amewatunuku Cheo cha Luteni Usu wahitimu 194 wa mafunzo ya Jeshi la Wananchi (JWTZ). Hafla ya kutunikiwa vyeo hivyo…
Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki akiwa na umri wa miaka 90 kifo chake kimetangaza na mdogo wake Raul Castro. Amefariki usiku…
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Hamadi Masauni anatarajia kuongoza kampeni ya kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika kukabiliana na ajali Tanzania unaolenga kupunguza ajali hasa kipindi hiki cha…
Rais mstaafu wa awamu ya tatu ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Benjamini Mkapa, amewataka viongozi wa vyuo vikuu nchi nzima kukutana kwa lengo la kujadili…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametoa wiki moja kwa Hazina kuwalipa wastaafu waliokuwa watumishi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) ambao hawajalipwa stahiki zao kipindi…