Wizara ya Afya yakanusha kuwepo kwa virusi vya ugonjwa wa Zika
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekanusha taarifa za kuwepo kwa vurusi vya ugonjwa wa zika nchini. Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekanusha taarifa za kuwepo kwa vurusi vya ugonjwa wa zika nchini. Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya…
Katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amemtangaza Amina Mohammed kuwa naibu wake. Guterres ametangaza uteuzi wa wanawake wengine wawili kwa nyadhifa za juu katika Umoja wa…
Ali Juma Ali ameptishwa na CCM kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge, Jimbo la Dimani katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Januari 22 mwakani. Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Vuai Ali Vuai…
Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu, NIMR imethibitisha kugunduliwa kwa virusi vya Zika nchini Tanzania. Mkurugenzi wa NIMR, Dkt Mwele Malecela amesema kuwa virusi hivyo vimepatikana mkoani Morogoro, na…
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imewakamata wasichana 13 kutoka nchi za Nebal na India wenye umri kati ya miaka 18 na 26 ambao wameletwa nchini kinyume cha…
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo mpaka muda huu bado anashikiliwa na Jeshi la Polisi na hajafikishwa mahakamani mpaka sasa kama sheria inavyotaka. Melo alifanyiwa mahojiano jana usiku kwa…
Watu watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 73 jela kila mmoja na mahakama ya wilaya ya Serengeti kwa kosa la kupatikana na hatia ya kuingia kwenye hifadhi ya mbuga ya wanyama…
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea magari 58 kutoka kwa Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu…
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amewaomba radhi viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani nchini kwa lolote ambalo aliwakwaza wakati akitekeleza majukumu…
Jaji Mkuu Mohammed Othman Chande amesema ndani ya mwaka mmoja wamepokea malalamiko 71 kuhusu mawakili yakiwamo ya kutoa siri za wateja. Amesema hayo jana katika hafla ya kuwaapisha mawakili wapya…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, leo anatarajia kukiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar. Kwa mujibu wa…
Kijana Said Mrisho aliyetobolewa macho na Scorpion leo amefika mahakma ya Wilaya ya Ilala kutoa ushahidi wa kesi yake dhidi ya Scorpion akiwa kama shahidi namba moja. Said Mrisho ametoa…
Raia wa Uingereza, Michael Sandfgord amehukumiwa kifungo cha miezi 12 kwenda jela kufuatia jaribio lake la kutakata kumuua rais mteule wa Marekani, Donald Trump. Michael Sandfgord mwenye umri wa miaka…
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amekiri kwa kusema kwamba aliwahi kuua washukiwa wa uhalifu mwenyewe alipokuwa meya wa Davao nchini humo. Duterte alikuwa meya wa mji wa Davao kusini mwa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kesho anatarajia kukutana na kufanya mazunguzo na wafanyabiashara wadogo wadogo ili kujua sababu ya kutokuwa tayari kwenda katika maeneo waliyopangiwa. Makonda…
Serikali imezindua Mpango Kazi wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto unaolenga kushirikisha wadau katika jitihada za kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na watoto nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezindua ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa moja kutoka eneo la Shimo la Udongo Kurasini hadi Polisi Ufundi. Barabara hiyo…
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemtaka yeyote anayeona kuwa kauli iliyotolewa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako imetishia maisha yake…
Kesi ya mfanyabiashara wa jijini Dar es Salaam, Ndama Shaaban Hussein almaarufu Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe leo imeahirishwa tena kutokana na upelelezi kutokamilika. Keis hiyo imeghairishwa katika Mahakama ya…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wameanza mkutano wa halmashauri kuu ya taifa ya Chama hicho ikiwa ni kikao cha kwanza kwa Rais Magufuli toka achaguliwe kuwa mwenyekiti wa CCM. Picha…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amesema biashara zake zitasimamiwa na kuendeshwa na wanawe wawili atakapochukua majukumu ya urais. Wanawe hao ni Donald junior na Eric, ambao tayari wamekuwa wakitekeleza…
Uongozi wa chama cha wananchi (CUF ) mkoa wa Kusini Pemba umesema hawaitambui ziara ya Profesa Ibrahimu Lipumba kisiwani humo. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa ulinzi na usalma wa…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kuhusu miili iliyookotwa pembezoni mwa mto Ruvu wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Waziri Mkuu…
Mzee Athuman Mchambua (76) ambaye ametoa tangazo la kutafuta mke wa kuoa, amesema anaamini atafanikiwa lengo lake kabla mwaka huu kumalizika. Amesema hadi sasa ameshapokea simu za wanawake wa mikoa…
Jumuiya ya Ulaya na Marekani zimeweka vikwazo dhidi ya maofisa wakubwa wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kuhusika na mauaji ya waandamanaji waliotaka Rais Joseph Kabila kuachia madaraka. Jumuiya…
Wagombea watatu wa nafasi ya kinyang’anyiro cha ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani Zanzibar, wamepitishwa katika hatua ya awali na mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo hilo.…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ametoa shutuma mpya kupinga madai ya ujasusi nchini Marekani kuwa wadukuzi nchini Urusi waliingilia uchaguzi wa Marekani. Trump aliuliza kuhusu ni kwa nini madai…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo ataongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakachofanyika jijini Dar es Salaam. Kikao…
Mkuu wa mkoani wa Mbeya, Amosi Makalla amesema kuwa uchumi wa wananchi unaweza kukua kwa haraka endapo baadhi ya watumishi wa umma ambao si waadilifu wataepuka vitendo vya rushwa. Makalla…
Serikali ya Rwanda imetangaza tarehe ya uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Agosti mwakani. Kulingana na tangazo lililotolewa baada ya kikao cha baraza la mawaziri uchaguzi huo utafanyika tarehe 4 Agosti,…