Waziri Muhongo astopisha bei mpya ya umeme
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesimamisha bei mpya ya ununuzi wa umeme zilizotangazwa na mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Mamlaka ya Udhibiti…
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesimamisha bei mpya ya ununuzi wa umeme zilizotangazwa na mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Mamlaka ya Udhibiti…
Tume ya Ushindani nchini (FCC) imeteketeza bidhaa mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 500, ikiwemo vifaa vya umeme kwa ajili ya transfoma. Bidhaa hizo zikiwemo vifaa 1850 vya…
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amempongeza Vladmir Putin kwa kutowafukuza wanadiplomasia wa Marekani licha ya Marekani kufanya hivyo kujibu madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani. Trump alituma ujumbe katika…
Watu watano wamefariki na wengine sita kujeruhiwa baada ya kudondokewa na mwamba wa mawe katika mgodi wa zamani wa Resolute uliopo Nzega, Tabora. Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Godfrey Ngupulla…
Mji wa Auckland nchini New Zealnd ndio mji wa kwanza duniani kuukaribisha mwaka mpya wa 2017. Polynesia na visiwa vya Pacific ikiwemo Samoa, Tonga na kiribati pia viliukaribisha mwaka mpya.…
Serikali imepiga marufuku taasisi yoyote ya serikali kutoa taarifa inayohusu sakata la Faru John kwakuwa suala hilo lipo chini ya ofisi ya waziri mkuu na imeshaundiwa timu ya wataalam kulifuatilia…
Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi la polisi Dar es Salaam limewakamata jumla ya watuhumiwa 13,626 na kuwafikisha mahakamani kwa makosa mbali mbali…
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema Tanzania imebaki kuwa miongoni mwa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara Barani Afrika, ambazo uchumi wake unakua kwa kasi. Dk…
Shirika la Ndege la Etihad kupitia Kitengo chake cha Uhandisi (Etihad Airways Engineering) kwa kushirikiana na Lental Textiles AG wamezindua maabara ya kipekee ya kwanza Mashariki ya Kati kwa ajili ya wateja…
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlamgosi amesema kuwa mamlaka hiyo imeongoza bei bei ya umeme kwa asilimia 8.5. Ngalamgosi amesema kuwa…
Kassim Salum (18) mkazi wa Buguruni amehukumiwa kwenda jela maisha kwa kosa la kuiba simu aina ya Tecno yenye thamani ya shilingi 110,000 pamoja na kujeruhi. Kesi hiyo ilichukua miaka…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuwalinda watoto wa kike nchini. Amesema hayo wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi…
Rais wa Marekani, Barrack Obama ameamuru kutimuliwa kwa wanadiplomaisa thelathini na tano wa Urusi kufuatia tuhuma za Urusi kuingilia kati uchaguzi wa Marekani kupitia njia ya mtandao. Makazi ya wanadiplomasia…
Kesi ya mkurugenzi mkuu wa Jamii Forum, Maxence Melo imehairishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi Januari 26 mwakani kutokana upelelezi kutokamilika. Maxence Melo anashtakiwa kwa makosa matatu…
Watu zaidi ya 50 wamekufa na wengine wameachwa bila makazi baada ya mafuriko makubwa kutokea kusini magharibi mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Mvua kubwa iliyonyesha maeneo hayo imesababisha kufurika…
Kundi la waasi nchini Syria limesema litakutana na maafisa wa Urusi na wale wa Uturuki kuzungumzia swala la kusitishwa kwa mapigano huko Syria. Kundi hilo Ahrar al-Sham limesema tayari limefanya…
Halmashauri ya wilaya ya Kindondoni imelipwa kiasi cha shilingi milioni 687 na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel ikiwa ni deni la kodi ya pango zilizokuwa zinazodaiwa na manispaa…
Watu saba kati ya 12 wamefikishwa mahakamani mkoani Morogoro kwa kosa la kumjeruhi kwa kumchoma mkuki mdomoni na kutokea shingoni mkulima Augustino Mtitu siku mbili zilizopita. Watuhumiwa hao wamefikishwa katika…
Kesi ya rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ya kupinga kunyimwa dhamana imeshindikana kusikilizwa leo baada ya upande wa Jamhuri kukata rufaa ya kupinga kuongezwa muda kwa notisi…
Stara Sudi ambaye ni mke wa Said Mrisho aliyetobolewa macho na Scorpion leo ametoa ushahidi mbele ya mahakama ya wilaya ya Ilala kwenye kesi ya unyang'anyi inayomkabili Scorpion. Mke huyo…
Marekani imekanusha madai kutoka kwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan kuwa nchi hiyo imeisaidia kundi la wapigaji la waasi wa Islamic State (IS). Msemaji wa serikali Mark Toner amesema…
Rais wa Zanzibar na mweneyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameipongeza Serikali ya Cuba kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika miradi ya maendeleo. Dk amekutana na kufanya…
Bunge nchini Cuba limepitisha katazo la kuzuia majengo, mitaa au minara ya kumbukumbu kupewa jina la mwanamapinduzi mkongwe nchini humo Fidel Castro ambaye alifariki dunia mwezi uliopita. Mwanamapinduzi huyo alikataa…
Maafisa wa Maliasili mkoani Ruvuma wanaushikilia mwili wa nyoka wa maajabu ambaye aliuawa na wananchi wenye hasira baada ya kumsababishia majeraha dereva wa bodaboda aliyekuwa amempakiza mmiliki wa nyoka huyo…
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameitaka Serikali kutatua na kukomesha migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima inayoendelea nchini. Ridhiwani amesema kuwa licha ya kuishauri Serikali bungeni lakini bado…
Aliyekuwa mfadhili wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia (Wazee wa Ngwasuma, Ndama Shaaaban Hussein 'Pedeshee' leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ndama anatuhumiwa kutenda…
Rais mteule wa Gambia Adama Barrow amemtaka mtangulizi wake Yahya Jammeh aondoke madarakani kwa mani kama walivyofanya wakoloni wa nchi hiyo, Waingereza mwaka 1965. Bwana Barrow amedai kuwa hayuko tayari…
Mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe na mke wake wamepata mtoto wa kike ambaye wamempa jina la Josina – Umm Kulthum. Zitto Kabwe…
Watanzania wanane wamekamatwa na serikali ya Malawi wakituhumiwa kufanya upepelezi katika mgodi wa madini ya Uranium uliopo Kayelekera, wilayani Karonga nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo vya habari…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amelikashfua shirika la Umoja wa Mataifa (UN) kwa kuliita baraza la kupiga gumzo. Trump kupitia akaunti yake ya Twitter amesema shirika hilo linamsikitisha kwa…