Kesi ya aliyekuwa kamishna wa TRA, Harry Kitilya yapigwa kalenda hadi januari 20
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake, imeahirishwa hadi Januari 20 mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika. Wakili Mwandamizi wa…