Kesi ya kupinga sheria ya huduma za vyombo vya habari yafunguliwa
Kesi ya kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya huduma za vyombo vya habari imefunguliwa na Baraza la Habari Tanzania, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Mtandao…
Kesi ya kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya huduma za vyombo vya habari imefunguliwa na Baraza la Habari Tanzania, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Mtandao…
Daktari aliyemtibu Said Mrisho aliyetobolewa macho na Scorpion ameshindwa kufika mahakamani kutoa ushahidi mpaka kupelekea kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili Salum Njwete 'Scorpion' kushindwa kuendelea leo. Scorpion alifikishwa…
Nchi ya Norway imekuwa nchi ya kwanza duniani kuzima mawimbi ya redio ya analogia ambayo yanajumuisha pia masafa ya FM. Mawimbi hayo yataanza kuzimwa saba na dakika kumi na moja…
Mahakama ya wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro imemhukumu mbunge wa jimbo la Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali kwenda jela miezi sita bila faini baada ya kukutwa na hatia ya kuwafanyia fujo…
Mkuu wa Wilaya ya Serngeti mkoani Mara, Nurdin Babu amesema kuwa wilaya hiyo inahitaji zaidi ya tani 4.1 za chakula ili kunusuru maisha ya kaya zaidi ya 32,000 kutokana na…
Mfanyabiashara nchini, Mohammed Dewji (MO) ametajwa kwenye orodha ya mabilionea 21 wa Afrika huku akiwa Mtanzania pekee kwenye orodha hiyo iliyotolewa na Jarida la Forbes. Jarida maarufu la uchumi duniani,…
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Frederick Sumaye wanatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa Viktoria na Serengeti. Kwa mujibu…
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala amezindua kifaa kipya cha kugundua ugonjwa wa selimundu ambacho kinatoa majibu ndani ya dakika tano. Naibu…
Watu 12 wanahofiwa kufariki dunia baada ya mashua iliyokuwa safarini kutoka mji wa wa Tanga ikielekea visiwa vya Pemba kuzama Jumatatu usiku. Kamanda polisi eneo la kaskazini mashariki, Benedict Wakulyamba…
Wasanii wa maigizo na muziki nchini wamepata somo kuhusu masuala ya kodi kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TRA imeendelea na mpango mkakati wake wa kuhakikisha inatoa elimu ya kodi…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua mwanawe Meja Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa mshauri mkuu wa rais kuhusu operesheni maalum. Mke wa Museveni, Janet Kataaha Museveni ni Waziri wa Elimu na…
Eneo la jengo la Billicanas lililokuwa likimilikiwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe linatarajiwa kujengwa maduka ya kisasa na shirika la Nyumba la Taifa (NHC) baada ya kulichukua jengo hilo.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Msingi Chato alikosoma darasa la kwanza hadi la saba na kuzungumza na walimu…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amemteua mume wa mtoto, Jared Kushner kuwa mshauri mwandamizi wa Ikulu ya nchi hiyo. Kushner mwenye umri wa miaka 35 ambaye amemuoa mtoto mkubwa…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeghairisha kesi inayowakabili wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambao wanadaiwa kumfanyia shambulio la kudhuru mwili katibu tawala wa mkoa wa Dar es…
Waziri mkuu wa Ivory Coast, Daniel Kablan Duncan amejiuzulu na kuvunja serikali yake katika hatua ambayo ilitarajiwa kufuatia kuidhinishwa kwa katiba mpya na uchaguzi wa ubunge wa mwezi uliopita. Upinzani…
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anatarajia kuongoza mazungumzo ya kutatua mgogoro uliopo nchini Gambia baada ya rais wake Yahya Jammeh kukataa kung'oka madarakani licha ya kushindwa kwenye uchaguzi mkuu. Rais…
Wanajeshi wa Ivory Coast wameondoka kwenye barabara za mji wa pili kwa ukubwa, Bouake ambako walianza kuasi Ijumaa iliyopita wakitaka kuboreshwa kwa mishahara yao. Hatua hiyo inafuatia tangazo la Rais…
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa kimya chake kinamaana na siyo kama baadhi ya wanasiasa wanavyosema. Kauli hiyo ameitoa jana mjini Unguja, alipokuwa…
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto ameitaka serikali iboreshe sekta ya madini ili kuisaidia nchi kunufaika na madini yaliyopo nchini. Zitto ambaye ni kiongozi wa ACT - Wazalendo ametoa kauli…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni watu wote wanaoishi ndani ya visiwa hivyo. Dk Shein…
Rais wa zamani wa Iran, Akbar Hashemi Rafsanjani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Rafsanjani alikuwa akimuunga mkono rais wa sasa Hassan…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Kampuni ya Tan Coal Energy inayochimba makaa ya mawe katika mgodi wa Ngaka itimize masharti ya mkataba iliouingia na…
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara amesema kuwa maafikiano yametimizwa ili kumaliza uhasama ndani ya jeshi la taifa hilo. Ouattara, amesema kuwa wanajeshi waliokuwa wakishinikiza kulipwa marupurupu yao, watalipwa huku…
Rais mpya wa Ghana, Nana Akuffo-Addo jana ameapisha rasmi kuchukua wadhifa huo baada ya kushinda uchaguzi uliopita nchini humo. Maelfu ya wageni walialikwa kwenye sherehe katika Medani ya Uhuru mjini…
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi ambaye ni kaimu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amekabidhi mifuko 100 ya saruji ambayo ni sawa na tani tano kwa Jeshi…
Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa baada ya kutokea ajali ya basi la kampuni ya Mohemed Trans lililogonga lori na kupoteza mwelekeo katika mji wa Manyoni mkoani Singida.…
Rais mpya wa Ghana, Nana Akuffo-Addo anatarajiwa kuapishwa leo kushika wadhifa huo baada ya kumshinda aliyekuwa rais wa taifa hilo lenye demokrasia bora zaidi barani Afrika, John Dramani Mahama kwenye…
Kampuni inayotayarisha michezo ya kompyuta ya Razer imezindua laptop mpya yenye skrini tatu kwenye maonyesho ya teknolojia mpya jijini Las Vegas, Marekani. Kampuni hiyo imesema laptop hiyo ambayo imeundwa kupitia…
Mwanamke tajiri zaidi barani Afrika Isabel dos Santos, mtoto wa rais wa Angola amejiongezea utajiri baada ya kununua hisa katika benki kubwa zaidi nchini humo. Bi Santos amechukua udhibiti wa…