Trump ameapishwa kuwa rais wa Marekani
Donald Trump ameapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani kwa kipindi cha miaka minne baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana nchini humo. Sherehe za kuapishwa rais huyo zimefanyika…
Donald Trump ameapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani kwa kipindi cha miaka minne baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana nchini humo. Sherehe za kuapishwa rais huyo zimefanyika…
Rais wa Gambia, Yahya Jammeh amekubali kung'atuka na kuondoka nchini humo baada ya kushauriwa na viongozi wa Ukanda wa Magharibi. Adama Barrow ambaye ndiyo mshindi wa kiti cha urais nchini…
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini kuanzia tarehe 22 na 23 Januari mwaka huu. Rais Erdogan ambaye ataambatana na Mkewe, na kuongoza ujumbe…
Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza viongozi wa Idara ya Uhamiaji kuandaa semina za mafunzo ya elimu ya uraia kwa wahudumu ya hoteli na nyumba…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufungaji wa kampeni wa uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani Mjini Unguja…
Benjamin Samweli Sitta amethibitishwa kuwa meya wa Kinondoni na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Mahakama hiyo imetupilia mbali upande wa pili wa Ukawa waliofungua kesi…
Ratiba ya Serikali kuhamia Dodoma ipo pale pale kwa mawaziri, manaibu, makatibu wakuu wa wizara na manaibu. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,…
Muuzaji wa madawa ya kulevya maarufu nchini Mexico, Joaquin "El Chapo" Guzman amehamishwa na kukabidhiwa kwa maafisa wa serikali nchini Marekani. Guzman ambaye huenda akafungwa jela maisha nchini Marekani amekuwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Abdallah Possi kuwa Balozi. Kituo cha kazi na tarehe ya kuapishwa kwa Dkt. Abdallah Possi itatangazwa baadaye.…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amezitaka halmashauri za mkoa huo kutumia vizuri fursa ya Serikali kuhamia hapo badala ya kuiachia manispaa pekee. Rugimbana amewaeleza viongozi katika wilaya ya…
Makamu wa rais nchini Gambia, Isatou Njie-Saidy amejiuzulu saa chache kabla ya muda wake wa kuongoza kumalizika. Waziri wa mazingiura na elimu ya juu pia alijiuzulu,ikiwa ni msururu wa mawazuri…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na waziri wa Maendeleo wa Denmark Martin Bille Herman ikulu jijini Dar es salaam. Katika…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amevitaka vyombo habari kuwa chachu ya mabadiliko katika kipindi hiki nchi inaelekea katika uchumi wa kati. Nape ameyasema hayo wakati wa…
Kijana Baraka Elias ambaye ni mrefu mwenye futi saba anayesumbuliwa na ugonjwa wa nyonga anatarajia kwenda kutibiwa nje baada ya jopo la madaktari kufikia uamuzi huo kutokana na ukosefu wa…
Mbunge wa Dodoma Mjini, Athony Mavunde amekabidhi vitanda vya hospitali na vyandarua vyenye thamani ya shilingi 3,500,000 kwa zahanati na vituo vya Afya 20 katika jimbo la Dodoma Mjini. Mbunge…
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehukumiwa na Mahakama ya Lindi kwenda jela miezi nane baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mkusanyiko bila ya kibali. Mathew ambaye…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemuapisha Jaji Ibrahimu Juma kuwa kaimu Jaji mkuu wa Tanzania. Profesa Ibrahimu anachukua nafasi ya Jaji Othuman Chande ambaye…
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa atabadilisha uongozi wa juu wa shirika la Posta nchini kutokana na kushindwa kuendeleza shirika hilo kwa kasi inayotakiwa. Mbarawa…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Dk Lu Young Ofisi ndogo ya Chama hicho maeneo ya Lumumba…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imeshindwa kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu. Hakimu Mkazi, Godfrey Mwambapa, mwendesha mashtaka wa…
Kampuni ya ndege ya Air India imezindua ndege itakayokuwa na viti vya wanawake pekee kwa lengo la kukabiliana na unyanyasaji wa kingono . Wanawake kadhaa akiwemo muhudumu mmoja wa ndege…
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itawachukulia hatua watumishi wa mamlaka hiyo wote ambayo wanajishughulisha na michezo michafu wakishirikiana na wafanyabiashara katika minada inayofanyika bandarini. Mkurugenzi Mkuu wa…
Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne ambapo mkoa wa Mtwara umekuwa mkoa wa mwisho kwa matokeo hayo, Waziri Mkuu,…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto , Ummy Mwalimu amewasilisha Muswada wa Sheria kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, unaolenga…
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema na mkewe Neema Lema leo wanatarajiwa kupandishwa kizimbani kwa kosa la kumtukana mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Hakimu Mfawidhi wa Mahakama…
Rais wa Marekani, Barrack Obama amebatilisha kifungo cha mwanajeshi wa nchi hiyo Chelsea Manning aliyehukumiwa kifungo cha miaka 35 jela kwa kosa la kufichua nyaraka za siri. Taarifa kutoka ikulu…
Wenyeviti wa Serikali za mitaa na vijini nchini wameruhusiwa kutumia mihuri ya serikali kama zamani wakati serikali inaendelea kutafuta namna sahihi watakavyoitumia mihuri hiyo. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es…
Mkuu wa mkao wa Mtwara, Halima Dendego amesema kuwa mkoa huo kupata matokeo mabaya kwenye mitihani ya kidato cha pili si jambo la bahati mbaya bali walistahili kutokana na suala…
Mawaziri watatu nchini Gambia wamajiuzulu wakati Rais Yahya Jammeh akipuuza wito wa kumtaka aondoke madarakani wakati muhula wake utakapokamilika siku ya Alhamisi. Mawaziri hao waliojiuzuru ni waziri wa masuala ya…
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amesema kuwa wanasiasa wa vyama vingine ambavyo siyo CCM wamekuwa na jihudi kubwa ya kuwachonganisha wananchi na kuwafitinisha na serikali. Humphrey Polepole amesema hayo…