NEC yafafanua matokeo ya uchaguzi jimbo la Dimani
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Ramadhani Kailima ametoa ufafanuzi juu ya matokeo ya uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani Zanzibar uliofanyika Januari 22 mwaka huu. Kailima amesema…
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Ramadhani Kailima ametoa ufafanuzi juu ya matokeo ya uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani Zanzibar uliofanyika Januari 22 mwaka huu. Kailima amesema…
Mtandao maarufu wa WikiHow umeaomba radhi na kukiri kuwa umefadhaishwa na kujiskia aibu baada ya kuweka picha ya rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama, Jay Z na Beyonce wakipnekana ‘wazungu’.…
Serikali ya India imetangaza nia ya kutuma wataalamu wake kufanya uchunguzi wa urefu mlima mrefu zaidi duniani, mlima Everest kwa mara ya pili ili kupima endapo urefu wake ulipungua. Mpango…
Msichana wa miaka saba kutoka Aleppo ambaye kwasasa anaishi nchini Uturuki, Bana Alabed amemuandikia barua ya wazi Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akimtaka kuchukua hatua kuhusu watoto wa Syria.…
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump ametoa mwaliko kwa waziri mkuu wa India Narendra Modi kutembelea nchini Marekani baada ya kufanya mazungumzo kwa njia ya simu. Ikulu ya Marekani imemuelezea…
Uongozi wa juu wa chama cha ZANU-PF umepuuza maneno ya mwanasiasa kijana wa Adrika Kusini Julius Malema aliloyatoa kupitia mtandao wa Facebook kwa kusema anashukuru kwa msaaa mkubwa ambao ‘Babu…
Mbunge wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood amekabidhi Sh milioni 48 kwa ajili ya kulipia ada wanafunzi wa elimu ya juu, shule za sekondari na shule za msingi waliopo ndani ya…
Chombo kinachosimamia usalama nchini Sudani Kusini kimeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuharakisha kutuma wanajeshi wake wa kulinda amani ili kukabiliana na matukio ya mauaji na uvunjifu wa…
Maeneo yote yaliyounganishwa kwenye mfumo wa taifa wa kusambaza umeme Tanzania asubuhi yameathiriwa na kukatika kwa ghafla kwa umeme. Shirika la Umeme nchini Tanesco limesema tatizo hilo limesababishwa na hitilafu…
Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kimeiomba serikali kuhakikisha matumizi ya tiketi za elektroniki katika sekta ya usafirishaji nchini yanakuwa ya lazima. Ofisa Msimamizi wa chama hicho anayesimamia Mkoa wa…
Rais wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kutia saini amri kuu kuweka masharti kuhusu wahamiaji wanaoingia nchini humo. Taarifa kutoka Marekani inasema kuwa ataanza kwa hatua ya kuimarisha usalama katika mpaka…
Serikali ya Kenya inatarajia kununua ndege 14 za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 418 kutoka nchini Marekani. Ndege hizo zitatumika katika vita dhidi ya wapiganaji wa al-Shabab wenye makao…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ameshiriki zoezi la kuteketeza silaha haramu 5,608 zilizokamatwa kwenye matukio ya kihalifu na zingine kusalimishwa hapa nchini. Waziri Nchemba ameandika katika ukurasa wake…
Kiongozi wa upinzani nchini DR Congo Etienne Tshisekedi ameelekea nchini Ubelgiji kwa matibabu ya kiafya. Hatua hiyo inajiri wakati ambapo chama chake kinaendelea na mazungumzo ya kugawana mamlaka kufuatia hatua…
Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amewashuru watanzania kwa kuipa ushindi CCM kwenye uchaguzi wa ubunge wa jimbo la Dimni Zanzibar pamoja Udiwani. Kiongozi huyo amesema…
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Vitu Laini linalofanya safari zake kutoka vijiji vya Kilolo kwenda Iringa Mjini kugongana na lori la mbao…
Raia wa Palestina wanaoishi kwenye meneo yanayotambuliwa kama maeneo ya waizraeli wamefanya maandamano hadi kwenye bunge la Israel ‘Knesset’ lililopo Jerusalem Magharibi kupinga uvunjwaji wa makazi ya wapalestina. Maandamano hayo…
Rais wa Gambia, Adama Barrow amemteua Fatoumata Jallow-Tambajang kuwa makamo wa rais ambaye amekidhi vikezo vya kuwa na umri miaka 65. Fatoumata Jallow-Tambajang mwenye ushawishi mkubwa ambaye aliwahi kuwa mshirika…
Idadi ya wakimbizi na wahudumu wa misaada ya binadamu waliofariki baada ya kushambuliwa kwa bahati mbaya na majeshi ya Nigeria kwa kudhaniwa ni Boko Haram imeongezeka. Tukio hilo lililotokea wiki…
Utata mkubwa umeibuka nchini Sierra Leone baada ya mamilioni ya Dola za Marekani zilizotolewa msaada kwaajili ya kupambana na ugonjwa wa Ebola kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Ikiwa sasa ni…
Kumeibuka mvutano nchini Marekani kuhusiana na kauli ya msanii Madonna aliyoitoa hivi karibuni kuhusiana na rais mpya wa nchi hiyo Donald Trump. Wakati akiwa kwenye maandamano ya kumpinga rais huyo…
Serikali imesema kuwa itafanya kila liwezekanalo kuhakikisha vita dhidi ya mafisadi inafanikiwa kwani kuna kila dalili kuwa vita hiyo wataishinda kutokana na kuanzishwa kwa mahakama maalumu ya ufisadi. Kauli hiyo…
Makamu wa zamani wa rais wa Zimbabwe Joice Mujuru ameanza kuonja joto ya jiwe ya kisiasa baada ya chama chake kipya alichokianzisha kuangushwa vibaya na chama tawala cha ZANU-PF kwenye…
Wafugaji zaidi ya 200 wa kijiji cha Mswaki kilichopo kata ya Masanja wilayani Kilindi Mkoani Tanga wamewazuia watoto wao kwenda shule kwa sababu ya kuhofia usalama wao kutokana na vitendo…
Mamlaka inayoshughulika na wanyamapori nchini Kenya, Kenya Wildlife Service (KWS) imeamua kuwaweka vifaa vya kuwafuatilia Simba waliopo kwenye mbuga ya wanyama pori iliyopo kwenye viunga vya jiji la Nairobi. Hatua…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amesema asilimia 61 ya nchi ina hatari ya kuwa jangwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo uharibifu wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk. John Pombe anatarajia kufanya uzinduzi rasmi wa huduma ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam siku ya kesho. Uzinduzi huo…
Mbunge mteule wa Jimbo la Dimani Visiwani Zanzibar, Juma Ali Juma ameahidi kuzibeba kero za wananchi wa jimbo hilo na kuwasilisha serikalini kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi wa haraka. Ametoa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema ushindi wa CCM wa ubunge na madiwani katika Uchaguzi Mdogo uliofanyika juzi nchini ni ishara ya ushindi wa chama…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kujiondoa katika mpango wa Ushirikiano wa kiuchumi wa nchi zinazounganishwa na bahari ya Pasifiki. Trump ameyaonya makampuni ya nchi hiyo yanayopeleka kazi nje ya…