Viongozi wa AU wairudishia Moroko uanachama wa Umoja huo
Hatimaye Umoja wa Afrika (AU) umefikia makubaliano ya kuirudisha nchi ya Moroko kwenye uanachama wa Umoja huo. Moroko ambayo ilijitoa kwenye uanachama wa Umoja huo mwaka 1984 baada ya AU…
Hatimaye Umoja wa Afrika (AU) umefikia makubaliano ya kuirudisha nchi ya Moroko kwenye uanachama wa Umoja huo. Moroko ambayo ilijitoa kwenye uanachama wa Umoja huo mwaka 1984 baada ya AU…
Baada ya kuikacha Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametangazwa rasmi kuwa Katibu Mkuu wa klabu Yanga. Mkwasa mwenye taaluma ya ukocha daraja la kwanza la CAF, amewahi kuzifundisha klabu mbalimbali…
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Sekondari, Kidato cha Nne kwa mwaka 2016, mtihani ambao ulifanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo ufaulu umeongezeka…
Afrika bado inaendelea kutafakaria juu ya hatua itakayofuata ya Mkuu wa zamani wa Tume ya Umoja wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma. Akiwa na uzoefu mkubwa unaotokana na miaka zaidi ya ishirini…
Rais mstaafu wa Marekani, Barrack Obama amesema kuwa hafurahishwi na maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kumpinga Trump. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya rais huyo wa zamani Barack…
Idara ya Habari Maelezo imetoa masaa 24 kwa Gazeti la MwanaHALISI kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kutokana na kuchapisha habari yenye kichwa cha…
Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa utaendelea kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Umoja huo na Tanzania. Katika maongezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres na Rais…
Mkutano wa Sita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kuanza leo na kumalizika tarehe 10 Februari 2017 Mjini Dodoma. Mkutano huo utakuwa ni mahususi kwa ajili ya…
Waziri wa mambo ya nchi za nje nchini, Chad Moussa Faki amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa tume ya Muungano wa Afrika AU. Faki amechukua nafasi ya Dlamini Zuma kutoka Afrika…
Rais wa Marekani, Donald Trump amemfukuza kazi kaimu mwanasheria mkuu, Sally Yates baada ya kupinga kauli ya Trump ya kuwawekea vikwazo raia wanaotoka baadhi ya nchi za kiislamu. Kaimu mwanasheria…
Kesi inayomkabili raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa Meno ya Tembo na wenzake imeahirishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Kisutu kutokana na wakili wa serikali, Faraja…
Wanajeshi wa Kenya wanatarajia kujiunga tena na Ujumbe wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini baada ya kujiondoa mwaka jana kutokana na utata. Taarifa kutoka Ikulu ya…
Sudan imepinga vikali katazo la rais wa Marekani, Donald Trump kuwapiga marufu raia wa nchi hiyo ambao wengi wao ni waislamu kuingia nchini Marekani. Wizara ya mambo ya nchi za…
Kauli ya rais wa Marekani dhidi ya raia kutoka nchi saba za Kiislam ambao amewapiga marufuku imeanza kumtokea puani. Baada ya kuzungumzia sana suala la kuwapiga vita waislam na kisha…
Meli mpya ya kisasa 'AZAM SEALINK 2' aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga kwa mara…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili mkoani Dodoma leo asubuhi kwa ajili kuhudhuria vikao vya bunge ambavyo vinatarajiwa kuanza kesho Jumanne. Waziri Mkuu ameongozana na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewashukuru viongozi wote wa Umoja wa Afrika (AU) kwa kuamua jengo la umoja huo kuitwa jina la Mwalimu Julius…
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa mgogoro wa Zanzibar wa siasa visiwani humo utamalizika endapo viongozi wa vyama vyote wa siasa watakaa chini…
Treni ya abiria yenye mabehewa tisa aina ya Deluxe, iliyokuwa ikitoka mkoani Kigoma kwenda Dar es Salaam imeanguka mkoani Pwani na kujeruhi watu kadhaa. Katika mabehewa hayo, manne yameanguka, matatu…
Jengo la upasuaji kwa wanawake wajawazito limezinduliwa katika Hospitali ya Mwananyamala wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Jengo hilo limezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul…
Wachimbaji madini 15 waliofukiwa na udongo mwekundu wa mgodini mkoani Geita wameokolewa wakiwa hai. Miili yao haikuwa na nguvu, tumboni hakukuwa na kitu na njaa ya siku nne ilikuwa imewatafuna…
Jengo la Amani na Usalama lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia limetangazwa rasmi kuwa litaitwa Mwalimu Julius Nyerere. Jengo hilo limepewa jina hilo…
Jaji wa Marekani amesitisha matumizi ya sheria mpya iliyosainiwa na rais mpya wa Marekani, Donald Trump ambayo imeanza kutumikana kuathiri mamia ya raia wa kigeni wanaoishi nchini humo. Chama cha…
Uchunguzi dhidi ya boss wa zamani wa kampuni ya magari ya Ujerumani ya VW, Martin Winterkorn huenda ukaanza hivi karibuni kuhusiana na udanganyifu uliokuwa ukifanyika wakati wa uongozi wake. Mwendesha…
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Google imewawaita wafanyakazi wake waliokuwa safarini nje ya Marekani kurejea haraka nchini humo kufuatia rais Trump kusaini sheria ya kuwazuia raia kutoka nchi 7 duniani…
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa ufafanuzi juu ya mkutano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPCC) unaotarajiwa kufanyika nchini Malawi mapema mwezi…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuwaambia raia wa nchi yake kuwa yeye si mtumishi wao. Rais Museveni alidai kuwa yeye ni…
Mataifa ya Afrika Magharibi yaliyosaidia kuondoka madarakani kwa rais wa zamani wa Gambia, Yahya Jammeh kisha kujitolea kulinda usalama nchini Gambia yamepanga kupunguza idadi ya wanajeshi hao nchini humo. Hatua…
Mahakama ya Kenya imetoa amri kwa idaya ya uhamiaji ya nchi hiyo kuhakikisha kuwa wanachama wawili wa upinzani nchini Sudani Kusini waliopotea kwa siku nne sasa hawarudishwi nchini kwao bila…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameishukuru Serikali ya India kwa ufadhili wake wa miradi ya maji katika miji 17 nchi ambayo inalenga kupunguza tatizo…