Aingiwa na chatu mtoto kwenye tundu la sikio
Mwanamke mmoja wa jimbo la Oregon nchini Marekani amenusurika baada ya chatu mtoto kuingia kwenye tundu la kuvalia hereni la sikio lake. Mwanamke huyo, Ashley Glawe amepost picha yake kwenye…
Mwanamke mmoja wa jimbo la Oregon nchini Marekani amenusurika baada ya chatu mtoto kuingia kwenye tundu la kuvalia hereni la sikio lake. Mwanamke huyo, Ashley Glawe amepost picha yake kwenye…
Pikipiki 16 zimetolewa matairi baada ya kukaidi agizo la Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dk. John Pombe Magufuli la kukataza magali ya kawaida na piki piki kutotumia bara bara ya…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema kuwa baadhi ya wizara zitatumia majengo ya chuo cha Kikuu cha Dodoma…
Vyuo vikuu nchini vimeagizwa kuacha mara moja kutoza ada kwa fedha za kigeni kwa wanafunzi ambao ni watanzania. Agizo hilo limetolewa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na…
Wapinzani nchini Kenya wamehairisha maandamano ya mtaani na badala yake wameamua kuweka mkazo katika kuwahamasisha wafuasi wao kujiandikisha katika daftari la kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Katika mkutano…
Mtandao wa facebook umeongeza faida zaidi ya dola bilioni tatu na nusu kutokana na ripoti ya robo ya kwanza ya mwaka 2016. Hisa zake zilipanda thamani kwa asilimia 2 baada…
Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Etienne Tshisekedi amefariki dunia mjini Brussels nchini Ubelgiji akiwa na umri wa miaka 84. Tshisekedi alikwenda mjini Brussels mwishoni mwa mwezi…
Waziri wa Afya wa eneo la Gauteng, nchini Afrika Kusini, Qedani Mahlangu, amejiuzuru kazi kufuatia ripoti ya vifo vya wagonjwa wa akili 94 vilivyotokea kwenye jimbo la Gauteng mwaka jana.…
Chama tawala nchini Zimbabwe cha Zanu-PF kimeanza kukusanya michango kwaajili ya kusherehea kutimiza miaka 93 kwa rais wa nchi hiyo na mwenyekiti wa chama hicho, Robert Mugabe. Mugabe anatarajia kutimiza…
Bajeti ya mwaka wa fedha 2016/17 serikali imetenga jumla ya Sh bilioni 13.9 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu 1,157 kwa shule za msingi na Sh bilioni 11.14…
Kesi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph waliorudishwa nyumbani kwa kukosa sifa kutokana na vigezo vya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kufanyika Februari 15 mwaka huu. Mahakama…
Wizara ya Maji na Umwagiliaji imebainisha kuwa iko kwenye mchakato wa kuondoa tozo ya huduma kwenye mita za maji kama ilivyofanyika kwenye huduma za umeme. Tayari wizara hiyo imeanza kufanya…
Mwanajeshi wa Uingereza anayepigana vita nchini Syria, anadaiwa kujipiga risasi na kujiua kwa kuogopa kukamatwa mateka na wapiganaji wa kundi la IS. Mwanajeshi huyo Ryan Lock aliyekuwa na umri wa…
Rais wa Baraza la muungano wa Ulaya, Donald Tusk amesema kuwa maamuzi yanayofanywa na Donad Trump ni miongoni mwa chanagmoto zinazokumba muungano huo. Amesema kuwa mabadiliko yaliofanyika nchini Marekani ni…
Aliyekuwa mgombea wa wadhifa wa mwenyekiti kutoka Kenya katika tume ya Umoja wa Afrika AU, Amina Mohammed ametaja usaliti miongoni mwa mataifa jirani ya Afrika Mashariki kuwa sababu ya yeye…
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ametoa siku 14 kwa Halmashauri zote za mkoa huo kuwaondoa watu wote waliovamia hifadhi ya misitu pamoja hifadhi ya msitu wa mto Mbeya.…
Marais wa Afrika walikutana makao makuu mwa umoja wa nchi hizo mjini Adis Ababa nchini Ethiopia ambapo walijadili mambo mbali mbali likiwemo suala la kubadilishana uongozi na kujiondoa mahakama ya…
Watu 13 wamekamatwa wakiwemo wakulima na wafugaji wilayani Malinyi kutokana na kukaidi agizo la serikali la kusitisha shughuli za kibinadamu katika bonde la mto Kilombero mkoani Morogoro. Kamati ya Ulinzi…
Umoja wa Afrika (AU) umeunga mkono mpango wa kujiondoa kwa pamoja katika mahakama ya ICC ambayo mataifa mengi ya Afrika yanahisi inawalenga viongozi wa bara la Afrika pekee. Uamuzi huo…
Mwanafunzi Alfred Shauri wa sekondari ya Feza Boys ya jijini Dar es Salaam ameongoza kwa kufanya vizuri Tanzania nzima katika ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka…
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Akinwumi Adesina amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli huku akiahidi kuwa benki hiyo itaizalishia Tanzania umeme wa…
Baada ya Idara ya Habari Maelezo kutoa masaa 24 kwa Gazeti la MwanaHALISI kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kutokana na kuchapisha habari yenye…
Rais wa Marekani, Donald Trump amemteua Neil Gorsuch kuwa jaji wa mahakama kuu kwa mwaka mmoja. Gorsuch mwenye umri wa miaka 49 ni jaji katika mahakama ya rufaa mjini Denver…
Serikali ya India imekiri kuwa uamuzi wake ‘tata’ wa kuziondoa noti za rupia zenye thamani kubwa kwenye mzunguko mwishoni mwa mwaka jana kumekuwa na athari mbaya kwa uchumi wa nchi…
Mamlaka ya Mapato nchini TRA imesema kuwahaitaongeza muda wa zoezi la uhakiki wa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi kwa jiji la Dar es Salaam. Hiyo ni baada ya muda wa…
Jumla ya tani 35,491 za chakula zinahitajika ili kukabiliana na hali ya upungufu wa chakula na lishe kati ya mwezi Februari na mwezi Aprili mwaka huu unaowakabili watu 1,186,028. Taarifa…
Wachimbaji wadogo 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi kwenye Mgodi wa RZ, Nyarugusu mkoani Geita jana wameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya hali zao kuendelea vizuri. Siku ya Jumapili, ilikuwa siku ya…
Majeshi ya maalum ya usalama ya Ecowas yaliyopo nchini Gambia, yamemkamata mkuu wa majeshi ya nchi hiyo aliyekuwa akiongoza vikosi wakati wa utawala wa rais Yahya Jammeh. Majeshi hayo pia…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya baadhi ya viongozi kulumbana na kuibua migogoro ambayo hurudisha nyuma maendeleo ya Chama hicho. Kauli hiyo imesemwa na katibu mkuu wa chama hicho,…
Mwendesha mashtaka maarufu wa Afrika Kusini, ambaye alisimamia na kufanikiwa kumfungulia mashtaka ya mauaji mwanariadha mlemavu wa nchi hiyo, Oscar Pistorius na mkuu wa zamani wa polisi Jackie Selebi amejiuzuru.…