Fujo zaibuka wakati wa hotuba ya Zuma Bungeni
Wabunge wa Bunge la Afrika kusini wamefanya vurugu Bungeni kuipinga hotuba ya Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma alipokuwa anahutubia Bunge hilo hapo jana. Rais Zuma alipata wakati mgumu baada…
Wabunge wa Bunge la Afrika kusini wamefanya vurugu Bungeni kuipinga hotuba ya Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma alipokuwa anahutubia Bunge hilo hapo jana. Rais Zuma alipata wakati mgumu baada…
Zaidi ya magari 200 yaliyokuwa yanatumiwa na rais nchini Ghana yamepotea na hayajulikani yalipo baada ya serikali mpya kuingia madarakani. Chama tawala kilihesabu magari hayo mwezi mmoja kabla ya kuingia…
Mahakama ya Rufaa nchini Marekani imetupilia mbali rufaa ya marufuku iliyowekwa na Rais Donald Trump ya wasafiri kutoka nchi saba za kiislamu na Wakimbizi wote kuingia nchini humo. Jopo la…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepewa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi baada ya kukizi vigezo vya dhamana na kutoa milioni 20. Tundu Lissu alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya…
Rais Vladimir Putin wa Urusi ametuma salamu za rambirambi baada ya ndege ya kivita ya Urusi kuwaua kwa bahati mbaya wanajeshi watatu wa Uturuki kaskazini mwa Syria. Wanajeshi hao ambao…
Maafisa usalama wa kinyuklia nchini Ufaransa wamethibitisha kutokuwepo kwa tishio lolote la nyuklia kufuatia mlipuko na moto kutokea kwenye kinu cah nyuklia cha Flamanville, nchini humo. ‘Ni tukio muhimu la…
Shirikisho la soka barani Ulaya Uefa linatarajia kuwasilisha pendekezo kwa timu za bara hilo kupewa nafasi 16 kwenye mashindano ya kombe la dunia la mwaka 2026 ambapo timu zitakazoshiriki zitakuwa…
Rais wa Gambia, Adama Barrow amesema kuwa nchi hiyo haitajiondoa kutoka mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai, (ICC). Barrow amebadili uamuzi wa mtangulizi wake Yahya Jammeh, ambaye alikuwa anapinga…
Staa wa Pop, Madonna amethibitisha kuasili watoto wawili mapacha nchini Malawi kupitia akaunti yake ya Instagram. ‘Nimefurahi sana na ninashukuru kwa kila mmoja miongoni mwa wamalawi aliyepelekea kufanikiwa kwa jambo…
Rais wa Marekani, Donald Trump ameamua kuvunja ukimya juu ya uhusiano na nchi ya China kwa kumuandikia barua rais wa nchi hiyo Xi Jinping. Rais Trump amemshukuru rais Xi kwa…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesogeza mbele kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo na mwenzake Mike Mushi hadi Machi 9 mwaka huu. Kesi hiyo imeghairishwa kwa kile kilichoelezwa…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameviagiza vikosi vya kijeshi vipatavyo 440 kulinda usalama katika majengo ya bunge wakati wa hotuba yake leo. Hotuba za hapo awali za Zuma, zilikumbwa…
Kiongozi wa chama kipya cha upinzani nchini Zimbabwe ilichoanzishwa na makamu wa zamani wa rais na aliyekuwa mshirika mkubwa a rais Mugabe, Joice Mujuru, amewafuta uanachama wanachama tisa wa juu…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameendelea kusota rumande kwa zaidi ya saa 48 bila kufikishwa mahakamani. Wakili wa mbunge huyo, Peter Kibatala ameamua kukimbilia Mahakama Kuu Kanda ya Dar…
Mahakama Kuu nchini Kenya imebatilisha uamuzi wa serikali ya nchi hiyo kufunga kambi ya wakimbizi ya Daadab. Mahakama hiyo imesema kuwa waziri wa usalama wa ndani, Meja Jenerali mstaafu Joseph…
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amefika kituo kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam kusikiliza tuhuma zinazomkabili za kujihusisha na madawa ya kulevya. Manji ni miongoni mwa watu 65…
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho wa mabalozi sita watakaowakilisha nchi zao hapa nchini. Mabalozi hao ambao hati zao zimepokelewa na…
Watu 500 wa familia moja nchini China wamepiga picha ya familia wakiwa wote pamoja na kuleta gumzo n mitandaoni. Picha hizo zilichukuliwa wakati wa kusherehekea mwaka mpya nchini humo ambao…
Aliyekuwa mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan amesema kuwa tuhuma kwamba anahusika na biashara ya dawa za kulevya zilianza toka mwaka 2013. Azzan amesema hayo baada ya kutajwa katika orodha ya…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametakiwa kufika mbele ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai ya…
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' amesema kuwa yeye ni mmoja kati ya watu ambao wamewahi kutuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya. Mzee…
Wabunge nchini Uingereza wamekubali serikali ya nchi hiyo kuanza mjadala, kuzungumzia, kujitoa katika Umoja wa Ulaya. Muswada huo umeidhinishwa kwa kupigiwa kura na Wabunge 494, huku wengine 122 wakukataa kuupigia…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa amesitikishwa na gharama kubwa ya ujenzi wa jengo jipya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu…
Waziri mkuu wa zamani wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo amechaguliwa kuwa rais mpya wa Somalia baada ya kumshinda aliyekuwa rais wa nchi hiyo Hassan Sheikh Mohamed kwenye uchaguzi uliofanyika jana.…
Mwanasiasa na kiongozi mkuu wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amekutwa na hatia ya matumizi mabaya ya fedha na kuhukumiwa kutoshiriki siasa kwa miaka mitano. Hukumu hiyo inamfanya mwanasaisa huyo…
Jumla ya watu 116 raia wa Nigeria wameuawa nchini Afrika Kusini kwa njia ya kiholela kwa muda wa miaka miwili iliyopita, kwa mjibu wa gazeti la Daily Trust lililomnukuu afisa…
Wakili wa Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Sheck Mfinanga amewasilisha notisi ya mdomo kwa nia ya kukata rufaa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kupinga uamuzi uliotolewa…
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa akijafurahi jinsi mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alivyomtaja mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwenye orodha ya watuhumiwa…
Kikosi maalum cha jeshi la Ivory Coast ambacho kinaripoti moja kwa moja kwa rais wa nchi hiyo kilichopo kwenye mji wa Adiake uliopo kusini – mashariki mwa nchi hiyo imeanzisha…
Kesi iliyowasilishwa kwenye mahakama ya kikatiba nchini Zimbabwe na kiongozi wa maandamano Promise Mkwananzi, ya kupinga utawala wa Rais Robert Mugabe imetupiliwa mbali. Kundi la Tajamuka lilitaka kuonyesha kuwa raia…