Waziri Nape aruhusu Online TV
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amepinga zuio la TCRA kuzisimamisha Online TV kwa kuwa kanuni zinazotoa muongozo bado zipo kwenye mchakato hazijakamilika. Nape ametengua katazo hilo…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amepinga zuio la TCRA kuzisimamisha Online TV kwa kuwa kanuni zinazotoa muongozo bado zipo kwenye mchakato hazijakamilika. Nape ametengua katazo hilo…
Viongozi saba wa chama cha Madaktari chini Kenya (KMPDU) wamehukumiwa jela mwezi mmoja baada ya kukaidi agizo la Serikali la kumaliza mgomo wa madaktari nchini humo. Hukumu hiyo imetolewa na…
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limetaja majina ya watu 47 wanaotuhumiwa kuhusika na usafishaji, kuuza na utumiaji wa dawa za kulevya huku wakikamata misokoto ya baingi zaidi ya 269. Kukamatwa…
Raia wameandamana nchini Mexico kupinga sera za uhamiaji za rais wa Marekani, Donald Trump pamoja na mpango wake wa kujenga ukuta katika mpaka wa mataifa hayo mawili. Waandamanaji hao wameandamana…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt . John Magufuli ameweka wazi sababu ya kuteua mwanamke katika nafasi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kuwa ni kutokana na kwamba wanawake wengi…
Zaidi ya watu 130,000 katika jimbo la California nchini Marekani wametakiwa kuhama makazi yao baada ya bwawa refu zaidi Marekani, Oroville kukabiliwa na hatari ya kubomoka. Wahandisi waligundua kwamba vipande…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa majina ya awamu ya tatu wanaojihusisha na biashara haramu za dawa za kulevya imekamilika. RC Makonda amesema hayo kupitia…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kuhakikisha vinasimamia sheria…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli amewapangia vituo vya kazi Mabalozi wapya watatu ambao aliwateua tarehe 03 Desemba 2016. Mabalozi hao waliopangiwa vituo ni Joseph…
Nchi ya Korea Kaskazini kwa mara nyingine tena imefyatua kombora na kulielekeza upande wa pwani ya Japan. Maafisa wa kijeshi kutoka Korea kusini wamekadiria kombora hilo limesafiri umbali wa kama…
Mamia ya wahamiaji wasiokuwa na nyaraka za kubaki Marekani, wamekamatwa nchini humo katika siku chache zilizopita. Maafisa wa uhamiaji walifanya msako katika miji ya Los Angeles, Atlanta, Chicago, New York,…
Zaidi ya Watu 17 wamefariki na wengine 60 kujeruhiwa vibaya baada ya mkanyagano kutokea kwenye uwanja wa mpira wakati wa mechi ya ligi nchini Angola. Tukio hilo limetokea katika mji…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa ni kinyume na sheria wabunge kukamatwa wanapokuwa katika vikao vya Bunge. Ndugai amesema kama kuna kiongozi…
Waziri mkuu wa Japan, Shinzo Abe amefanya ziara nchini Marekani na kupokelwa na mwenyeji wake Donald Trump ambapo watasafiri kwenda Florida wakitumia ndege yake Air wikiendi hii. Katika mazungumzo yao…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amevunja ukimya baada ya kuongelea sakata la dawa za kulevya linaloendelea nchini. Mwigulu ameongelea suala hulo la madawa ya kulevya wakati…
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia mtu mmoja, Hemed Kesi mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa Kanyerere kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya aina ya heroine kiasi…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa amesema kuwa Serikali itapambana na janga la madawa ya kulevya kwa dhati bila kumuonea mtu yoyote na kuzingatia misingi, sheria…
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Zanzibar limesema kuwa linahitaji jumla ya Sh bilioni 5 ili kukarabati na kuzifanyia matengenezo nyumba 26 zilizopo katika hali mbaya kunusuru maisha ya wananchi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rogers William Sianga kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (Drug Control…
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza hali ya ukame kuwa janga la kitaifa nchini humo kutokana na hali ya jangwa. Hali hiyo inafuatia ukame uliokithiri nchini humo kwa zaidi ya…
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na kusema kuwa anaamini Mbunge huyo wa Hai hajawahi kujihusisha na dawa za kuleva kwa namna yoyote. Zitto…
Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa China Xi Jinping kuhusu kutambua sera ya "China Moja" ambapo ni elimu ya kidiplomasia, kwamba kuna serikali moja…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amewataka watu wote waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuhusika na dawa za kulevya,…
Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya ziara ya kushtukiza katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA) kukagua ujenzi wa uwanja huo sehemu ya Teminal 3…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa hawezi kwenda kituo cha Polisi kutokana na Makonda kutokuwa na mamlaka ya kumuita kwenda Kituoni. Mbowe ameyasema hayo…
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amefanya mabadilko katika mradi wa ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es…
Baaada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwataka wahusika wa madawa ya kulevya kulipoti kituo kikuu cha polisi leo hatimaye baaadhi ya wathumiwa hao wamewasili kituo…
Nyangumi 400 wamekwama kwenye ufukwe wa bahari nchini New Zealand baada ya kushindwa kurudia baharini. Nyangumi 300 wamekufa usiku katika ufuo wa Farewell Spit, katika kisiwa cha Kusini, katika kisa…
Kampuni ya teksi 'Uber' inatarajia kutengeza magari yanayoruka baada ya kukamilika kwa utafiti unaofanywa na kampuni hiyo kuhusu gari hizo. Muhandisi wa zamani wa shirika la maswala ya angani Nasa,…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema atamuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuchunguza ukusanyaji wa mapato ya Shirika la Ndege la…