Kesi ya kupinga ubunge wa Ester Bulaya yafunguliwa upya jijini Mwanza
Ubunge wa Ester Bulaya ambaye ni mbunge wa Bunda upo mashakani baada ya Wapiga kura wanne wa Jimbo hilo kufungua shauri kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita kwenye jimbo la…
Ubunge wa Ester Bulaya ambaye ni mbunge wa Bunda upo mashakani baada ya Wapiga kura wanne wa Jimbo hilo kufungua shauri kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita kwenye jimbo la…
Mke wa Rais, Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wametoa wito kwa Watanzania kujenga utamaduni wa kutembelea vituo vya wazee na watu wenye mahitaji maalumu…
Waziri wa fedha na bajeti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pierre Kangudia amesema kuwa nchi hiyo haitaweza kutafuta fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa rais mwaka huu.…
Rais wa Marekani, Donald Trump amemtaka waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kusitisha ujenzi wa makazi unaoendelea ili kuleta amani kati ya Israel na Palestina. Trump amesema kuwa pande zote…
Zaidi ya watanzania 132 wanaoishi nchini Msumbiji wamefukuzwa nchini humo huku wengine wasiojulikana wakidaiwa kukamatwa kufuatia operesheni ilioanzishwa na serikali ya taifa hilo. Kulingana na serikali ya Msumbiji operesheni hiyo…
Polisi nchini Jamhuri ya Dominica inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya watangazaji wawili waliouawa wakati wakiendesha kipindi cha redio. Kwenye mkasa huo, mwandishi mmoja wa habari…
Polisi nchini Malaysia wamemkamata mwanamke mmoja kuhusiana na mauaji ya ndugu wa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un. Polisi wanasema mwanamke huyo amekamatwa katika uwanja wa ndege uliopo katika…
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amempongeza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kupiga vita dawa za kulevya. Ridhwani ameishauri serikali kuifikisha mwisho vita hiyo ili kulimaliza…
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imewaachia huru viongozi wa chama cha madaktari waliokuwa wamefungwa jela mwezi mmoja kutokana na kuendeleza migomo. Viongozi hao saba walifungwa jela siku ya Jumatatu baada…
Nchi ya India imeweka rekodi ya kurusha setilaiti nyingi angani kwa wakati mmoja baada ya kurusha setilaiti 104 kwa pamoja. Rekodi ya awali iliwekwa na Urusi mwaka 2014, ambayo ilikuwa…
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro ameitaka marekani kuomba msamaha na kuondoa vikwazo dhidi ya makamu wake wa rais, Tareck El Aissami. Markani inamshutumu Tareck El Aissami kwa kuhusika na ulanguzi…
Raia saba wa China wametakiwa kuondoka nchini kutokana na kukiuka taratibu za ukazi, huku raia mmoja wa Uganda akishikiliwa kwa kuwa na hati 15 za kusafiria za Burundi na Madagascar…
Ndugu wa kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, anayeitwa Kim Jong Han amefariki dunia akiwa nchini Malysia baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana. Taarifa zilizosambaa sehemu mbali mbali zinasema…
Watu 11 wamenusurika kifo baada ya kufukiwa na kifusi mgodini wakati wakichimba dhahabu kwenyemgodi wa Buhemba wilayani Butiama mkoaoni Mara. Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Annarose Nyamubi amesema kazi ya…
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewakamata watuhumiwa 80 wanaojihusisha na mtandao wa dawa za kulevya mkoani humo. Katika watuhumiwa hao yupo askari Polisi mmoja mwenye namba 6978 Koplo zakayo, ambaye anashikiliwa…
Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu na mke wake Anna Jacob wametoa ushauri kwa wanandoa kufuatia Siku ya Wapendanao'(Valentine's Day) leo Februari 14 kila mwaka. Wawili hao wameonesha jinsi wanavyopendana…
Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa Quality Plaza na Mwenyekiti wa Yanga, Yusufu Manji ametakiwa kuripoti katika ofisi za uhamiaji mkoani Dar es Salaam kutokana na kuajiri raia wa kigeni wasiokuwa…
Raia 58 wa Tanzania waliokuwa wanaishi nchini Msumbiji wamefukuzwa nchini humo na kurudishwa Tanzania huku wakidai kunyang’anywa mali zao, vitambulisho pamoja na hati za kusafiria na askari wa Msumbuji pasipo…
Kamishna wa Mamlaka ya kuthibiti Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga amesema kuwa majina ya mahakimu na majaji ambao wamevuga kesi za watu wanaotuhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya kukabidhiwa…
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari leo amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kukabiliana na ugaidi nchini Nigeria. Buhari ambaye yuko mjini London kwa…
Aliyekuwa mbunge wa Kinondoni, Iddy Azzan amefunguka kwa kusema kuwa amezungukwa na maadui wengi baada ya kutuhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya. Idd Azzan amesema kuwa watu wanaweza kusema lolote…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepongezwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Daniel Kidega kwa kazi kubwa ya kujenga uchumi wa Tanzania. Spika…
Mshauri mkuu wa ikulu ya White House kuhusu usalama wa taifa Michael Flynn amejiuzulu kuhusiana na uhusiano wake na maafisa wa Urusi. Flynn anadaiwa kujadili vikwazo vya Marekani dhidi ya…
Wake wa viongozi Mama Janeth Magufuli pamoja na mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa wamewataka Watanzania kujenga tabia ya kusaidia watu wasiojiweza na wenye mahitaji maalumu nchini. Wamewataka watumishi wanaofanya…
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jumla ya watuhumiwa waliokamatwa kwa kujihusisha na madawa ya kulevya ni 311. Kamanda Sirro amesema hayo…
Balozi wa Kenya nchini Tanzania Chirau Ali Mwakwere amejiuzulu nafasi hiyo ili apate nafasi ya kuwania uongozi kwenye uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka huu. Mwakwere, ambaye amekuwa balozi wa Kenya…
Walimu wilayani Korogwe mkoani Tanga wameshindwa kuishi kwenye shule walizopangiwa kutokana na uhaba wa nyumba za Walimu Wilayani humo. Hayo yalisemwa na Kaimu Ofisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Korogwe,…
Mkuu wa Mkoa wa Da es Salaam, Paul Makonda amemkabidhi Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana dawa za kulevyaorodha ya majina 97 wanaotuhumiwa kuhusika na madawa ya kulevya…
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametoa onyo kali kwa watendaji wa serikali wasio waaminifu ambao wana dhamira ya kujinufaisha kwa namna yoyote na hali ya ukase iliyolikumba taifa hilo. Rais…
Mfanyabiashara na mwanasiasa milionea wa Congo - DRC, Moise Katumbi ameahidi kurejea nyumbani kusindikiza mwili wa mwanasiasa wa upinzani, Etienne Tshisekedi . Katumbi aliyepo uhamishoni baada ya kukimbia nchini Congo…