Manyara: Wamiliki wa kiwanda cha mbolea watakiwa kuandika barua kwa rais Magufli
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wamiliki wa kiwanda cha kutengeneza mbolea cha Minjingu mkoani Manyara kumuandikia barua Rais Magufuli baada ya kubaini wanatumia mifuko yenye nembo ya Kenya. Majaliwa amesema…