EWURA yapandisha bei ya Petroli na Dizeli kuanzia leo
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei elekezi za mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi Machi mwaka huu ambapo mafuta ya petroli na disel…
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei elekezi za mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi Machi mwaka huu ambapo mafuta ya petroli na disel…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura juu ya rasimu ya azimio linalolenga kuiwekea vikwazo Syria kutokana na hatua yake ya matumizi ya silaha za sumu. Rasimu ya…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa anaamini Barack Obama ndiye anahusika na maandamano dhidi ya uongozi wa Republican. Trump amesema kuwa anafikiri Obama anahusika kwa sababu ni watu wake…
Mwanasheria mkuu wa Malaysia amesema wanawake wawili wanaodaiwa kumuua ndugu wa rais wa Korea kaskazini Kim Jong Un watashtakiwa kwa makosa ya mauaji. Wawili hao, raia wa Indonesia na Vietnam…
Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imesema kuanzia kesho atakayekutwa na pombe aina ya viroba atachukuliwa hatua. Tamko hilo lililotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyoagiza…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefungua mkutano wa siku moja wa watendaji wakuu na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma, unaojadili nafasi za mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango…
Jeshi la Polisi mkoani Tanga linawashikilia watu kumi (10) kwa tuhuma za kukutwa na kilo zaidi ya 200 za dawa za kulevya aina ya heroin, mirungi na bangi. Pia Jeshi…
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuwa yeye ndiyo rais wa visiwa hivyo na Uchaguzi Mkuu mwingine utafanyika mwaka 2020. Dk Shein amesema kuwa yeye ndio Rais wa…
Rais wa Gambia, Adama Barrow amemfuta kazi mkuu wa majeshi Jenerali Ousman Badjie ambaye alikuwa chini ya uongozi wa rais Yahya Jahmmen. Jenerali Badjie ametangaza utiifu wake kwa rais aliyeondoka…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa ataongeza bajeti ya jeshi la Marekani mpaka kufikia dola bilioni 54 ili kuimarisha jeshi hilo. Maafisa wa ikulu ya White House wanasema…
Jumla ya askari 14 wa Jeshi la Polisi Zanzibar wanatuhumiwa kushirikiana na waingizaji wa dawa za kulevya visiwani humo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohamed…
Nyumba ya Mama mzazi wa Wema Sepetu iliyopo maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam imepigwa mawe juu ya bati kwa muda wa saa moja na nusu na watu…
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekuwa akiwasiliana na kujuliana hali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa,…
Wafanyakazi wawili wa kampuni ya Quality Group iliyo chini ya Yusuf Manji wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kujibu mashtaka matatu likiwemo la kufanya kazi nchini bila ya…
Serikali ya mkoa wa Mtwara imeendelea kupokea misaada kwa ajili ya kusaidia baadhi ya watanzania walioondolewa nchini Msumbiji kinyume na taratibu ili warudishwe makwao. Akipokea msaada wa shilingi laki tano…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema watamchukulia hatua muwekezaji aliyetoa ardhi kwa serikali ya mkoa wa dar es Salaam kwa ajili ya ujenzi wa viwanda…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mazungumzo ya kusitisha mapigano nchini Syria yaliyofanyika Astana mwaka huu yamesaidia kufungua njia ya mazungumzo ya amani yanayosimamiwa na Umoja wa Mataifa mjini Geneva.…
Shirika la Ndege za Kenya (Kenya Airways) limepewa kibali cha usalama na maafisa wa Marekani kuanza safari za ndege za moja kwa moja hadi Marekani. Waziri wa Uchukuzi wa Kenya,…
Mahakama ya Rufani nchini, imefuta rufaa mbili za Jamhuri dhidi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), baada ya Mawakili wa Jamhuri kudai hawana nia ya kuendelea na rufaa…
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimetuma maombi Serikalini ilikupandishwa hadhi na kuwa Chuo Kikuu kutokana na kukidhi vigezo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amemuapisha Thobias Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Andengenye anachukua nafasi ya Kamishna Jenerali Pius…
Mbunge wa jimbo la Babati mjini, Paulina Gekul amenusurika kifo baada ya gari lake kupinduka mkoani Manyara. Gari lake lenye namba za usajili T 189 BHQ kuacha njia na kupinduka…
Mwanamke kutoka Indonesia, aliyekamatwa kwa kuhusika na mauaji ya ndugu wa kambo wa kiongozi wa Korea Kaskazini, amesema alilipwa dola 90, kushiriki katika kile alichofikiri, ni kitendo cha mzaha. Wanabalozi…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hatahudhuria dhifa ya chakula cha jioni inayoandaliwa na chama cha waandishi wa habari wanaoripoti matukio ya Ikulu. Tangazo la Trump linakuja siku moja baada…
Tanzania imesema kuwa itaimarisha biashara na nchi ya Uganda kwa lengo la kuinua uchumi wa raia wa mataifa hayo mawili. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe…
Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Posta Tanzania, imetengua nafasi tatu za mameneja na ofisa mwandamizi kutokana na vitendo vya umangimeza, urasimu, kufanya kazi kwa mazoea, ubadhirifu na wizi. Mameneja…
Maafisa wa polisi nchini Tanzania wamesema kuwa wamemkamata kiongozi wa ulanguzi wa dawa ya kulevya aina ya heroine anayefanya shughuli zake kati ya Afrika mashariki na China. Maafisa hao wanaokabiliana…
Mtoto wa Muhammad Ali, Muhammad Ali Jnr amezuiliwa na kuhojiwa kwa saa mbili katika uwanja wa ndege wa Florida baada ya kuwasili kutoka Jamaica mapema mwezi huu kutokana na jina…
Jeshi ya Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewataka madereva bodaboda katika Jijini la Dar es salaam, kuacha kufanya shughuli hiyo ifikapo majira ya saa 6 usiku ili kupunguza…