Bashe: Sina hofu na timua timua ndani ya CCM
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amesema kuwa hana hofu na sakata la timua timua linaloendelea dhidi ya wanachama wasaliti ndani ya CCM huko Jijini Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum…
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amesema kuwa hana hofu na sakata la timua timua linaloendelea dhidi ya wanachama wasaliti ndani ya CCM huko Jijini Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt John Pombe Magufuli amewaomba wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM kubadili jina la ukumbi…
Mwanachama mkongwe wa CCM, Sophia Simba amevuliwa uanachama wa chama hicho huku wanachama wengine ambao ni Emmanuel Nchimbi na Adam Kimbisa wakipewa onyo kali. Chanzo cha Simba kuvuliwa uanachama na…
Treni ya kifahari ya kitalii 'Rovols Rail' kutoka Afrika Kusini leo imewasili nchini Tanzania ikiwa na jumla ya watalii 71. Treni hiyo ikiwa na watalii hao ilianza safari yake kutoka…
Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange amewataka Watanzania kuendeleza umoja, mshikamano na kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama katika kuilinda nchi. Ameyasema hayo jijini Dar…
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amewataka wananchi wa Jimbo hilo kuacha woga na waamshe mori ya kupigania haki ikiwamo kuirejesha Arusha ya Mwaka 2010. Lema ameyasema hayo jana…
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha chama hicho hapo jana. Kikao…
Kampuni Ya Saruji ya Dangote inatarajia kushiriki ujenzi wa makao makuu ya Serikali Dodoma kwa kusambaza saruji ya kutosha, ya bei nafuu na yenye ubora. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,…
Jumla ya watuhimiwa sita wanatarajiwa kufikishwa mahakamani mkoani Mbeya kwa tuhuma za kuktwa na pombe aina za viroba ambapo zimepigwa marufuku. Watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti kufuatia msako mkali…
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba amewataka watanzania wote kuungana na kujiaandaa kukabiliana na baa la njaa ambalo huenda likatokea hapa nchini. Warioba amekiri kuwa tatizo la upungufu…
Banda la utalii la Tanzania kwenye maonyesho ya Kimataifa ya ITB yanayoendelea Berlin nchini Ujerumani yamekuwa kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea maonyesho hayo. Banda hilo linavivutio mbali mbali kama vile…
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amerejea nchini mwake akitokea Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu ya Afya yake. Rais huyo mwenye umri wa miaka 74 ambaye aliwasili kupitia uwanja wa ndege wa…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetishia kuifuta kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo na mwanahisa wa kampuni ya Jamii Media Co Ltd, Mike William ikisema haifurahishwi…
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amemuagiza Ofisa Mipango Miji wa Manispaa hiyo kuhakiki majina ya wakazi wa eneo la Jangwani ili kubaini waliopewa viwanja Mabwepande na kuamua kupangisha…
Mahakama nchini Korea Kusini imeunga mkono uamuzi wa bunge wa kumuondoa rais wa taifa hilo Park Geun-hye madarakani. Mahakama hiyo ya kikatiba imesema kuwa bi Park alikiuka sheria na kuharibu…
Vinasaba vya faru John vinatarajiwa kupelekwa nchini Afrika Kusini kwa vipimo vya vinasaba (DNA ) muda wowote kuanzia wiki hii baada kupatikana kwa mfadhili wa kulipia gharama za vipimo hivyo,…
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema leo anatarajiwa kuhutubia wananchi wa jimbo lake katika uwanja wa Shule ya Msingi Ngarenaro baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya…
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema iwapo Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) litaikatia umeme Zanzibar kutokana na deni wanalodaiwa, wataweza kurudi katika matumizi ya asili ambayo ni kutumia…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres ameisifu Serikali ya Tanzania kwa jitihada zake za kutafuta amani nchini Burundi. Guterres ametoa pongezi hizo wakati aliposimama kwa muda katika…
Aliyekuwa mke wa Rais wa kwanza wa Afrika Kusini na mpingaji ubaguzi wa rangi nchini Winnie Madikizela-Mandela, amelazwa hospitalii kwa ajili kufanyiwa uchunguzi wa kiafya. Familia yake imesema kuwa alipelekwa…
Hospitali nchini Kenya zimeanza kuwafukuza kazi madaktari wanaogoma na kuwaondoa katika wa nyumba za uma nchini humo. Huduma kwenye hospitali za umma zimekosekana kutokana na mgomo ambao ulianza mwezi Disemba,…
Wajumbe wa Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF unaondelea mchana huu katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), jijini Arusha, wamelazimika kusitisha mkutano…
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa siku 14 kwa Shirika la Visiwani Zanzibar (ZECO) kulipa deni lote la ankara za umeme wanalodaiwa na endapo halitafanya hivyo basi hatua kali za kisheria…
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Bulembo amesema kuwa hatogombea tena nafasi hiyo kwenye uchaguzi ujao. Bulembo ametoa kauli hiyo leo kwenye kikao cha Baraza…
Mahakama Kuu imeamuru aliyekuwa Naibu waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana katika Serikali ya awamu ya nne, Dkt. Makongoro Mahanga kukamatwa na kufikishwa mahakamani hapo. Amri hiyo imetolewa…
Idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya Mkoa wa Mbeya imeongezeka kutoka asilimia Idadi 20 hadi kufikia asilimia 25 kwa miaka tofauti. Takwimu hizo zimetolewa jana na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Afya ya Akili,…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameongoza mazishi ya mama yake mdogo rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Bi Nuru Kikwete jana. Viongozi wengine…
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema itaitangaza Tanzania kama eneo bora la utalii katika maonyesho ya Kimataifa ya Utalii yajulikanayo kama Internationalle Tourismus Borse (ITB) yaliyoanza jijini Berlin Ujerumani. Maonyesho…
Mfanyabiashara wa pombe za viroba mkoani Dodoma, Festo Mselia amejiua baada ya Jeshi la Polisi mkoani humo kukamata shehena ya pombe kali za viroba kwenye ghala la Kampuni yake Mselia…