Rais Magufuli amekubali kuwasaidia Kenya madaktari 500
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Pombe Magufuli amekubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia utoaji tiba baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo. Rais…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Pombe Magufuli amekubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia utoaji tiba baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo. Rais…
Ndege zimegongana katika anga la eneo moja la shughuli nyingi za kibiashara nchini Canada kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya. Rubani mmoja amefariki na mwengine kureruhiwa vibaya sana kutokana…
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa baadhi ya watu wanaohusishwa na tuhuma za biashara ya dawa za kulevya wanaodaiwa kuwa marafiki zake, ni watu anaokutana nao 'bila kupanga' katika…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 15 waliokaidi amri ya kuhama katika maeneo ya mabondeni. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Simon Sirro alisema watu hao…
Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wanafanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao. Uchaguzi huo unafanyika mjini Arusha…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Alhaj Majid Mwanga kuwasaka, kuwaka mata na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wafugaji…
Mgombea ugavana jijini Nairobi (half-London of Africa) Michael Sonko Imemlazimu kuonesha vyeti vyake vya kitaaluma kuanzia elimu ya Sekondari mpaka chuo kikuu baada ya kutuhumiwa amegushi vyeti vyake. Tuhuma hizo…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesomewa mashtaka matano katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10 leo. Tundu Lissu anakabiliwa na mashtaka matano…
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda, Felix Kaweesi amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana. Kaweesi ameuawa baada ya gari lake kumiminiwa risasi na watu wasiojulikana alipokuwa anaondoka kwake…
Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Robert Boaz amesema kuwa ofisi yake imetoa taarifa kwa kutumia mfumo wa kiuchunguzi wa Jeshi la Polisi la kimataifa (Interpol) kumsaka…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelifuta agizo lililotolewa jana tarehe 16 Machi, 2017 na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe linalotoa sharti…
Mstahiki Meya wa Ubungo (CHADEMA) Boniphace Jacob amesema Jumanne wiki ijayo atafungua kesi ya jinai dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutokana na madai ya…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amevunja Bodi ya WETCU pamoja na Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) kwa sababu ya kushindwa kusimamia zao hilo pamoja na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana ametembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma na kuwahakikishia wananchi kuwaatahamia Dodoma hivi karibuni. Rais Magufuli…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Swaziland kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini…
Ndege ya shirika la ndege la Malawi inayoongozwa na wanawake watupu imefanikiwa kutua salama jijini Dar es Salaam nchini Tanzania leo. Shirika hilo limefanikiwa kukamilisha safari ya ndege iliyosimamiwa na…
Serikali imepiga marufuku watu kufunga ndoa bila kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia Mei Mosi, mwaka huu. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe amesema hayo leo akiwa katika…
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Dk Jesca Msambatavangu amekiri kumuunga mkono, Edward Lowassa ndani ya CCM kabla ajahama chama. Dk. Jesca amesema kuwa walimuunga mkono…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) amekamatwa na Polisi asubuhi ya leo nyumbani kwake mkoani Dodoma. Lissu baada ya kukamatwa amepelekwa Ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoani humo kwa…
Mjane wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, marehemu Nelson Mandela, Graca Machel, amekemea ndoa za utotoni na ukeketaji kwa watoto wa kike, unaoendelezwa na baadhi ya mila za makabila hapa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa hakuna mtu yoyote hatakayemnyamazisha katika mapambano ya vita ya dawa za kulevya. Makonda ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza…
Serikali ya Kenya imesema itapunguza mishahara ya wabunge na maafisa wakuu kutokana na viwango vya juu vya mishahara yao kusababisha migomo ya wafanyakazi wa sekta nyingine. Hayo yamesemwa na Rais…
Marufuku ya kuzuia wahamiaji yaliyotangazwa na Rais wa Marekani, Donald Trump imepigwa marufuku na mahakama moja katika jimbo la Hawaii. Marufuku hayo yalizuiwa saa chache kabla ya kuanza kutekelezwa saa…
Rais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe Spunda amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi juu ya utata wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Uledi Mussa mjini Dodoma jana. Taarifa ya…
Kesi inayomhusu Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ya juu ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya Heroine, inatarajiwa kusikilizwa tena kesho Alhamisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada…
Shirika la ndege la Malawi, Malawi Airlines limetangaza kufanya safari ya ndege itakayosimamiwa na wanawake pekee kuanzia kesho. Safari hiyo ya ndege, ambayo itakuwa na marubani na wasaidizi wa abiria…
Wiki iliyopita Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha mabadilko ya Katiba ya Chama hicho kwenye mkutano mkuu maalum uliofanyika katika ukumbi wa Dodoma Convetion Center sasa Jakaya Kikwete Hall. Mabadiliko hayo…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wafuasi wa chama hicho kulinda ofisi kuu ya Zanzibar dhidi ya uvamizi unaotarajiwa kufanyika. Maalim Seif amesema amepata…
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameagiza kuvunjwa kwa baadhi ya nyumba maeneo ya Buguruni kwa Mnyamani zilizojengwa karibu ya mto Msimbazi ambazo zilikumbwa na mafuriko. Makonda…