Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi baada ya kuruka ukuta wa Ikulu ya Kenya
Mtu mmoja amaeuawa kwa kupigwa risasi na wailinzi wa Ikulu ya Kenya baada ya kujaribu kuruka ukuta na kuingia ndani ya Ikulu hiyo. Mtu huyo asiyefahamika na mwenye umri wa…
Mtu mmoja amaeuawa kwa kupigwa risasi na wailinzi wa Ikulu ya Kenya baada ya kujaribu kuruka ukuta na kuingia ndani ya Ikulu hiyo. Mtu huyo asiyefahamika na mwenye umri wa…
Rais wa Marekani, Donald Trump amedai kuwa taifa hilo litko tayari ‘kutatua’ tishio la nyuklia kutoka Korea Kaskazini kwa ushirikiano au bila ushirikiano na China. ‘Endapo China itashindwa kutatua suala…
Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Muheza, Rwebangira Mathias Karuwasha ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kutokana na chama hicho kupoteza dira na mwelekeo. Lakini…
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2017 zimezinduliwa rasmi leo katika uwanja wa Kumbukumbu Mjini Mpanda mkoani Katavi na unatarajiwa kuzunguka katika mikoa yote 31. Katika sherehe hizo za…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, kupiga kambi katika Kata ya Miono wilayani Bagamoyo ili kuwasaka wafugaji wanaodaiwa kuwapiga wakulima. Kwa mujibu wa taarifa…
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Yaendayo Mikoani (Taboa), kimetangaza mgomo usio na kikomo kuanzia kesho, huku kikiwataka mawakala wanaotoa huduma za kukatisha tiketi kutofanya hivyo kuanzia leo. Mgomo huo unalenga…
Watu zaidi 250 wamefariki dunia na 400 wamejeruhiwa baada ya kufukiwa na maporomoko ya ardhi nchini Colombia. Hata hivyo idadi hiyo huenda ikaongezeka kwani bado kuna zaidi ya watu 200…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Lipumba anatumiwa kukihujumu chama ili kishindwe kudai haki iliyopata kwenye uchaguzi wa…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn ameondoka nchini jana kurejea nchini mwake Ethiopia baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya kiserikali. Ziara hiyo ilikuwa maalum kwa mwaliko wa Rais wa…
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ally Hassan Mwinyi amemuomba kiongozi wa dini ya Wahindu ya Swaminarayan Duniani, Mahant Swami Maharaji kuiombea Tanzania amani na umoja viweze kudumu na kusiwepo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha wajumbe wa kamati maalum ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kufuatia kifo cha…
Waziri wa Fedha mpya wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba amesema wakati umefika wa kubadilisha sana uchumi. Amesema kwa muda mrefu Afrika Kusini inahodhiwa na wawekezaji wa nchi za nje kwenye…
Waandamanaji nchini Paraguay wamevamia majengo ya bunge na kuchoma moto majengo hayo. Wanapinga hatua ya bunge la senate la nchi hiyo kukutana kwa faragha na kupitisha mswada wa kufanyia marekebisho…
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemzuia Msajili wa Vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutoa fedha za ruzuku kwa Chama Cha Wananchi (CUF). Taarifa kwa vyombo vya…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn amemhakikishia Rais Magufuli kuwa nchi yake ipo tayari kuimarisha na kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania utakaosaidia kuleta manufaa makubwa zaidi kiuchumi…
Madaktari nchini Kenya, wamefanikiwa kuishawishi mahakama nchini humo kuzuia kuajiriwa kwa madaktari 500 kutoka Tanzania. Madaktari hao walienda mahakamani kuizuia serikali ya nchi hiyo kutoa ajira hizo wakidai kuwa kuna…
Mshauri wa zamani wa usalama wa rais Donald Trump, Michael Flynn ameomba kupatiwa kinga ya kutoshtakiwa ili aweze kutoa ushahidi kuhusiana na tuhuma za Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani. Kwa…
Mbunge wa Kilombero (Chadema) Peter Lijualikali baada ya kuachiwa huru na mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, ametoa ya moyoni na kusema kuwa alichofanyiwa ni uonevu. Ameyasema hayo leo…
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Viti Maalum (CHADEMA) akiwakilisha walemavu Dkt. Elly Macha amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa…
Usiku wa kuamkia leo, rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alifanya mabadiliko ya baraza la mawaziri la nchi hiyo kitendo ambacho kimezua maneno mengine dhidi yake. Rais Zuma ambaye juzi…
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dkt. Willbrod Slaa amepongeza utendaji kazi wa Serikali ya Rais Magufuli. Mbunge huyo wa zamani wa Karatu amesema kuwa watu…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali haitavumilia wakandarasi wasio na uwezo na ambao wanapewa kazi lakini wanashindwa kuzimaliza katika muda uliopangwa. Waziri Mkuu ametoa…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn leo anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ajili ya kufanya ziara ya kitaifa ya siku mbili ikiwa ni mwaliko wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amemfukuza Waziri wa fedha Pravin Gordhan pamoja na naibu wake Jonas Mkabisi ambao ndio waliokua sababu kuu ya kuwepo mabadiliko ya sasa. Taarifa kutoka…
Waziri mkuu wa Malaysia, Najib Razak amesema kuwa itasafirisha mwili wa ndugu wakiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong - nam kwenda nchini humo kwa maziko. Waziri mkuu huyo amesema kuwa…
Bodi ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) imekutana jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kujadili mwenendo wa vyombo vya habari ndani ya wiki moja tangu tulipotoa msimamo wa…
Hoteli ya kifahari nchini Kenya, inayomilikiwa na raia wa Italia na mwandishi wa vitabu Kuki Gallmann, imechomwa moto na watu wanaokisiwa kuwa wafugaji. Hilo ndilo shambulizi la hivi punde katika…
Rubani wa ndege iliyokuwa safarini kutoka Dallas kwenda Albuquerque New Mexico amefariki. Ndege hiyo aina ya Boeng 737-800, ilikuwa imesalia karibu kilomita tatu kabla ya kutua, wakati nahodha alitangaza suala…
Aliyekuwa Mbunge wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji amelalamika jina lake kukatwa katika kinyang'anyiro cha kutetea nafasi hiyo bila kuhojiwa juu ya tuhuma zilizopeleka jina lake kukatwa. Bhanji pia ametumia fursa hiyo…