Dkt. Slaa akanusha taarifa za kujiunga CUF
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Cha Democrasia na Maendeleo (Chadema) Wilbroad Slaa amekanusha taarifa za kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF). Akizungumza kwa njia ya simu, Dk Slaa alisema taarifa…
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Cha Democrasia na Maendeleo (Chadema) Wilbroad Slaa amekanusha taarifa za kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF). Akizungumza kwa njia ya simu, Dk Slaa alisema taarifa…
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro amewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mikononi badala yake waviachie vyombo husika ili viweze kufanya kazi yake.…
Kesi ya kujeruhi na unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’, anayedaiwa kumjeruhi kwa kumchoma visu na kumsababishia upofu Said Mrisho, jana imeshindwa kuendelea baada ya shahidi upande wa…
Waziri MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelitaka Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), lianze kufanya tathmini ya kisayansi kuhusu manufaa ya Mifuko yote ya uwekezaji nchini…
Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini amri ya kupitia upya mpango wa Visa zinazotumika kuwaruhusu wageni kufanya kazi maalum nchini Marekani. Amri hii inayataka mashirika kufuata taratibu za Serikali…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO), kuongeza kasi ya usambazaji wa huduma ya…
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama cha siasa ACT – Wazalendo, Anna Mghwira amesema kuwa atagombea ubunge jimbo la Singida katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2020. Mwanamama…
Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May ameitisha uchaguzi mkuu nchini humo ambao utafanyika tarehe 8 Juni mwaka huu. Bi. May ameliomba Bunge la Commons kuunga mkono pendekezo lake hilo hapo…
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kupitia akaunti yake ya Twitter ameandika kuwa baada ya kupitia magazeti makuu leo amebaini uzito wa usalama wa maeneo ya Mkuranga, Kibiti…
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amosi Makalla amewataka watendaji wa vijiji, kata na wataalamu wa halmashauri kufuata taratibu, kanuni na sheria za uhamishaji wa makao makuu ya ofisi za Serikali,…
Mkazi wa Mbande jijini Dar es Salaam, Asma Juma kuishutumu Hospitali ya Wilaya ya Temeke kumuimbia mtoto mmoja, baada ya kujifungua pacha. Mwanamke huyo amesema kabla ya kwenda kupewa rufaa…
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), umefanya mabadiliko ya makatibu wa wilaya, ambapo baadhi ya watumishi wake ambao ni madiwani wa viti maalumu wamejikuta wakipelekwa nje ya halmashauri…
Rais wa Marekani, Donald Trump amempigia simu Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na kumpongeza kufuatia ushindi wake kwenye kura ya maoni iliyofanyika Jumapili kwa ajili ya kumuongezea mamlaka. Rais…
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeanika madudu ya mkataba wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwenye mradi wa Mlimani City. Madudu hayo…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn amesema kuwa tume ya kitaifa ya haki za Kibinadamu tayari inachunguza vifo vya watu nchini humo. Mapema mwezi huu mjumbe maalum wa Muungano wa…
Mtoto wa pili wa Princess Diana, Prince Harry wa Uingereza amesema kuwa alitafuta ushauri nasaha miaka minne iliyopita kukabiliana na huzuni ya kumpoteza mama yake mzazi. Harry amesema kumpoteza mama…
Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani, Park Geun-hye ameshtakiwa kuhusiana na kashfa ya rushwa iliyopelekea kung'atuliwa kwake uongozini. Viongozi wa mashtaka wanasema kuwa mashtaka yanayomkabili ni kupokea hongo, utumizi…
Mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Nnauye kupitia akaunti yake ya Twitter amesema kuwa ipo haja kama Taifa kuangalia vipaumbele vyetu. Nape amesema kuwa anapokumbuka shida wanazozipata wananchi…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amewaonya waumini wa dini mbalimbali nchini kutotumia mwamvuli wa dini kufanya vitendo vya uhalifu. Nchemba ametoa kauli hiyo jana alipokuwa mgeni rasmi katika…
Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence amesema kuwa Marekani haitaivumilia vitendo vya Korea Kaskazini. Pence alisema hayo alipozuru eneo ambalo haliruhusiwi kuwa na wanajeshi katika mpaka wa Korea Kaskazini…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Ernest Mangu amesema jeshi hilo linawasaka watu wanaofurahia mitandaoni na kukebehi baada ya askari wake kuuawa. IGP ameyasema hayo wakati Miili ya Askari…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jonh Pombe Magufuli leo ameshiriki Ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema timu aliyoiunda ichunguze tuhuma za ubadhirifu kwenye Chama Kikuu cha Ushirika wa Tumbaku (WETCU) imekamilisha kazi yake na imebaini…
Duka la GSM Mall lililopo barabara ya Nyerere limeungua moto ambapo hadi sasa chanzo cha moto huo akijajulikana. Magari ya Zimamoto yaliyokuwepo maeneo hayo ili kusaidia kuzima moto huo ulioleta…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema kuwa anaisubiri ripoti ya wafanyakazi wa Serikali zaidi ya elfu tisa ambao wanavyeti feki vya kufoji ili aifanyie kazi.…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwingulu Nchemba leo ameongoza waombolezaji waliojitokeza kuaga miili ya askari nane waliouawa wilayani Kibiti mkoani Pwani. Akizungumza wakati wa kuaga miili hiyo, Nchemba…
Ethiopia imeondoa majeshi yake katika mji muhimu katikati mwa Somalia. Dhusamareb sasa unadhibitiwa na wapiganji walio na msimamo wa kadri, wa Ahlu Sunna Waljama'a. Kundi la Ahlu Sunna limekuwa likikabiliana…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amezindua mabweni mapya ya chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dar es…
Baba mzazi wa Ben Saanane, Focus Saanane ameiomba Serikali pamoja na vyombo vya dola kusaidia juhudi za kumtafuta mtoto wake kwani juhudi zao zimegonga mwamba na suala hilo lipo nje…
Korea Kaskazini imeionya Marekani kutoanzisha vitendo vya uchokozi katika eneo la Korea ikisema kuwa iko tayari kulipiza kisasi kupitia mshambulio ya kinyuklia. Taifa hilo limesema hivyo wakati ambapo kiongozi wa…