Wapinzani wasusia kusoma hotuba Bungeni
Msemaji wa upinzani katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Ally Salehe amesusa kusoma hotuba yake ya upinzani kuhusu wizara hiyo. Hayo yameibuka baada ya kulazimishwa kuacha kusoma…
Msemaji wa upinzani katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Ally Salehe amesusa kusoma hotuba yake ya upinzani kuhusu wizara hiyo. Hayo yameibuka baada ya kulazimishwa kuacha kusoma…
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imekanusha kuwepo kwa taarifa zinazotoa tahadhari dhidi ya matumizi ya mafuta ya alizeti kutokana na mbegu za alizeti kuchafuliwa na sumukuvu. Akizungumza katika taarifa…
Naibu waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla amemwagia sifa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya kuzindua Perfume yake yenye jina la 'Chibu Perfume'. Kupiptia akaunti…
Serikali kupitia Wizara ya Habari imetoa tamko la kulaani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF). Serikali imepokea kwa masikitiko taarifa za kushambuliwa na kujeruhiwa…
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amefunguka na kusema kitendo cha Tanzania kushindwa kutumia fursa ya kilimo cha umwagiliaji ni kitu ambacho kinamuumiza. Rungwe amesema yeye…
Jeshi la Polisi limetakiwa kutenda haki kwa wananchi wake na si kuwaongoza watu kama wanyama. Agizo hilo limetolewa juzi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, wakati…
Watu wasiojulikana jana walivamia mkutano wa chama cha wananchi (CUF) na kusababisha taharuki ndani ya mkutano huo maeneo ya Mabibo jijini Dar es Salaam. Tazama baadhi ya picha ya kijana…
Mwanamazingira na mwandishi mzoefu mzaliwa wa Italia, Kuki Gallmann amepigwa risasi na kujeuhiwa nchini Kenya na watu wasiojulikana. Amepigwa risasi ya tumbo akiwa kwenye shamba lake kaunti ya Laikipia nchini…
Jeshi la polisi mkoani Pwani limewaua kwa kuwapiga risasi watu watatu wanaodhaniwa kuhusika na mauaji ya viongozi wa vijiji na vitongoji na askari polisi katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na…
Baada ya Chama cha wananchi (CUF) kuvamiwa katika mkutano wake maeneo ya Manzese Jijini Dare es Salaam, mbunge wa Mtama Nape Nnauye ametoa ya moyoni kuhusu sakata hilo. Katika mkutano huo…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo ameongoza wabunge katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Dkt. Elly Macha. Akizungumza katika tukio hilo…
Queen Elizabeth II ni kiongozi wa taifa la Uingereza ambaye anaongoza nchi hiyo yenye uchumi mkubwa duniani. Kiongozi huyo wa Uingereza ni tofauti sana na baadhi ya viongozi wengine duniani…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA). Katika mazungumzo hayo Rais Magufuli amewahakikishia…
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum ( Chadema) marehemu Dkt. Elly Marko Macha unaagwa leo katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa…
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Lipumba na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wa chama hicho, Thomas Malima wamefungua maombi Mahakama Kuu wakiomba waunganishwe kwenye kesi iliyofunguliwa na Bodi…
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Agustino Mrema amemwomba Rais John Pombe Magufuli amruhusu kutoa wafungwa wenye sifa ya kupata msamaha. Mrema amesema kuwa kama wafungwa hao wakitoka kutoka watasaidia kufichua…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa video queen Agnes Gerald maarufu kama Masogange baada ya kushindwa kufika mahakamani kwa mara ya pili kesi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa Tanzania ipo tayari kutoa walimu wa kwenda kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Rwanda. Taarifa iliyotolewa Dar es…
Shirika la ndege la Emirates limetangaza kupunguza safari za ndege katika miji mitano nchini Marekani kuanzia mwezi ujao. Shirika hilo la ndege la Dubai limesema mabadiliko hayo yanatokana na kushuka…
Mkazi wa Mbande Mbagala jijini Dar es Salaam, Asma Juma ambaye ni mzazi anayedai kujifungua watoto mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke aeleza kilichotokea. Asma Juma…
Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA umesema kuwa utamtangaza atakayeshikilia bendera yake ya urais mnamo tarehe 27 mwezi Aprili 2017. Akizungumza katika mkutano wa kumlaki gavana wa kaunti ya Bomet…
Waziri Mkuu wa Jamuri ya Muugano wa Tanzania, Kassim Majliwa amewataka watanzania kuwa watulivu na kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili waweze kubaini wahusika wa matukio ya uhalifu yanayotokea…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere ahakikishe anaweka utaratibu wa kukutana na wafanyabiashara…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kufungua kongamano la maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza kwa niaba ya Mufti wa…
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nasari na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe jana walichafua hali ya hewa bungeni na kusababisha mzozo mkubwa katika mjadala…
Viongozi wawili wa vyama vya upinzani nchini Zimbabwe wamekubaliana kuunda umoja kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini humo. Kiongozi wa Movement for Democratic, Morgan Tsvangirai na aliyekuwa makamu wa…
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imetoa siku 90 kwa wageni kufanya uhakiki wa vibali vya ukaazi ili kuimarisha udhibiti wa wageni wanaoishi nchini pamoja na kuzuia mianya ya upotevu wa…
Sakata la watumishi wa umma kushughi vyeti vya elimu limezidi kuchukua sura mpya na sasa wamefikia zaidi ya 10,000. Hatua hiyo, inatokana na uhakiki uliofanywa na Sekretarieti ya Ajira katika…
Jeshi la Uganda limesema kwamba maafisa wake wa kijeshi wameanza kuondoka katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati ambapo wamekua wakikabiliana na waasi kutoka Uganda wa kundi la 'Lord's Resistance Army'-LRA.…
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea ajali ya basi la abiria kugonga treni leo majira ya asubuhi. Basi hilo (T 435 DGG) lilikuwa linatoka Gongo la Mboto kwenda Mnazi…