NI IPI NGOMA ILIYOANDIKWA KWA MUDA MREFU ZAIDI?
Unadhani ni nyimbo gani ambayo imechukua muda mrefu zaidi kuandikwa kwenye Bongo Fleva? Bado IshiKistaa inafanya utafiti huo lakini maneno ya hivi karibuni ya staa wa zamani wa THT, Pipi kuwa ngoma…
Unadhani ni nyimbo gani ambayo imechukua muda mrefu zaidi kuandikwa kwenye Bongo Fleva? Bado IshiKistaa inafanya utafiti huo lakini maneno ya hivi karibuni ya staa wa zamani wa THT, Pipi kuwa ngoma…
Zaidi ya mara moja, msanii Zuwena Mohamed a.k.a Shilole a.k.a Shishi Baby amewahi kuweka hadahrani kuwa yeye hajui Kiingereza cha Waingereza, yeye anaweza kuzungumza Kiingereza cha ku-unga- unga ili mradi mawasiliano yapatikane na…
Muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Ijumaa hii amepelekwa Life and Hope & Rehabilitation Centre (Sober House) iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuanacha na matumizi ya…
Kila sifa iliyo njema inamstahiki Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani na nje yake ambaye ndiye mkamilifu kwa kila hali. Sisi binadamu ni viumbe ambao licha ya kupewa…
Mbunge wa Mikumi ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Joseph Haule ‘Professor Jay’ Jumatatu hii alitembelea ofisi ya WCB na kujionea uwekezaji uliyofanywa na rais wa label…
Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joachim Kimaryo ‘Master Jay’, ameweka wazi mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Sara Kaisi ‘Shaa’. Master J amesema Shaa atakuwa…
Hekima na uungwana kamwe havina utwana, Faraja ya Maulana daima huviandama, Sifa hizi ziwe zetu wenye kupendana sana, Tunaotaka umoja tuje kuzikana bwana…….. Hongera Nahreel, mwerevu na muungwana….. Hakuna mfuatiliaji…
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anaonekana kuchukua kasi kubwa ya kuwachukua wasanii wachanga na wakongwe ambao wamekosa menejimenti za uhakika za kuwasaidia kufika mbali zaidi. Hivi karibuni lebo ya Diamond Platnumz,…
Belle 9 amesema kuwa pamoja na mashabiki kuponda mtindo wake mpya wa nywele (bleach) amejifunza kuwa anaangaliwa sana na kila anachokifanya kina impact kubwa kwa mashabiki wake. Amedai kuwa licha…
Harmonize na Jacqueline Wolper tupisheni kidogo, sasa ni zamu ya Ruby na Aslay wa Yamoto Band. Imekuja kama surprise kwa wengi na kama wasemavyo waswahili ‘penzi ni kikohozi kulificha huliwezi’…
Imekuwa ni kawaida ya mastaa wa fani mbalimbali za burudani hapa nchini kujiingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi miongoni mwao (wenyewe kwa wenyewe); sio tatizo kabisa as long as wao pia ni binadamu…
Rapper Nay wa Mitego amesema wasanii wachanga wanajisikia ufahari kutoka kimapenzi na mastaa wa kike wenye umri mkubwa. Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television Alhamisi hii, Nay…
Wiki iliyopita msanii Diamond Platnumzalikiri kufurahishwa na kitendo cha mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu kutoa sapoti kwa msanii Rich Mavoko. Kitendo cha miss Tanzania (2006) kutoa sapoti hiyo kwa msanii…
Wasanii wa Tanzania wamekuwa (kwa miaka mingi) wakifanya jitihada kubwa sana ya kuhakikisha kuwa kazi zao zinafika kwenye nchi za nje ili nao waweze kutambulika kimataifa. Juhudi hizo zinajumuisha mbali ya mambo…
Kuna msemo wa hekima ya hali ya juu kabisa unasema: Ukitaka kudhihirisha aibu ya mwenzako basi kwanza dhihirisha aibu zako. Kwa bahati mbaya sana, msanii na mkongwe wa Bongo Fleva, Madee…
Unalifahamu jambo kubwa linalowasumbua wasanii karibu wote ulimwengu? Huwezi amini wasanii wengi hufanya jitihada kubwa sana ya kazi zao za kisanii lakini huishia kupotea muda mfupi sana baada ya kupata umaarufu. Tatizo hilo mpaka…
Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti. “Mimi nimeshaapprochiwa…
Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa Bongo Flava Linah Sanga, Nagar aka Nagarico amefunga ndoa wiki iliyopita. Nagar pia aliwahi kuhusishwa kuwa na uhusiano na Wema Sepetu. Alifunga ndoa na mpenzi…
Msanii wa muziki ambaye yupo chini la ya kampuni ya filamu ya Wema Sepetu ‘Endless Film’, Mirror, amesema kukaa ndani ya kampuni hiyo kwa muda mrefu kumemfanya atamani kuigiza. Akiongea…
Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake. “Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi…