Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Baba Levo amefunguka na kusema kuwa anatarajia kufanyiwa operation ya pua pamoja na kitambi kutokana na kuzidi sana.

Baba Levo amesema kuwa yupo Tayari Kwenda Uturuki Kwa Ajili Ya Kufanya Surgery Ya Pua Pamoja Na Kitambi Kwa Ajili Ya Kuwa Na Muonekano Mzuri.

”Naenda Uturuki Kuhakikisha Nafanya Surgery Ya Pua Maana Nimechekwa Vya Kutosha, Sasa Ni Muda Umefika Niende Kufanya Surgery Niende Nikate Pua Niwe Handsome Boy,Itagharimu Kama Milioni 46 Za Kitanzania Kwasababu Ni Pua Na Kitambi”.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa atafanya kwa kuwa pesa anayo na atafanya hivyo nje ya nchi kwa kuwa anapenda sana kuwa na muonekanao mzuri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *