Harmonize adai bado kidogo afunge ndoa
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amesimulia namna ilivyobaki kidogo sana kumuoa mwanamke ambaye alikuwa mpenzi wake. Harmonize ameendelea kwa kusema kuwa chochote atakachosema mzazi (Mama au Baba) wasikilize sana hata…