Maandamano kumpinga Mugabe yafanyika Zimbabwe
Maafisa wa polisi wa kikosi maalum cha kupambana na ghasia nchini Zimbabwe wametumia gesi ya kutoa machozi na maji ya muwasho ili kutawanya mamia ya waandamanaji katika mji mkuu wa…
Maafisa wa polisi wa kikosi maalum cha kupambana na ghasia nchini Zimbabwe wametumia gesi ya kutoa machozi na maji ya muwasho ili kutawanya mamia ya waandamanaji katika mji mkuu wa…
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU). Taarifa zinaelezwa kuwa Takukuru wanamshikilia Aveva kwa tuhuma za rushwa ingawa haijaelezwa…
Aliyekuwa kocha wa Everton, Roberto Martinez ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ubelgiji akichukua nafasi ya Marc Wolmosts aliyejiuzuru baada ya kufungwa na kutolewa na Wales katika…
Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba hakuna mgawanyiko kwenye kambi yake ya kampeni, licha ya taarifa kudokeza kwamba kuna mzozo mkubwa katika chama hicho.…
Aliyekuwa kiongozi wa wapiganaji wa Kiislamu wa Boko Haram nchini Nigeria Abubakar Shekau amepinga tangazo la kundi la Islamic State kwamba kundi hilo limepata kiongozi mpya. Kundi la IS hapo…
Rais wa Nicaragua, Daniel Ortega amemtaja mkewe kama mgombea mwenza na makamu wa rais wakati huu ambapo anawania kuchaguliwa kwa muhula mwengine. Mkewe Rosario Murillo tayari ana wadhfa maarufu wa…
Staa wa Bongo movie upande wa filamu za mapigano, Jimmy Mponda maarufu kama J.Plus anatarajia kuachia filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la "The Foundation" hivi karibuni. J.Plus amesema Kwanza…
Serikali ya Burundi imepinga kutumwa kwa kikosi cha polisi wa umoja wa mataifa katika taifa hilo, katika juhudi za kumaliza machafuko ya kisiasa yaliodumu kwa mwaka mmoja sasa. Baraza la…
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kuwa vyuo 5 vimefungwa kuendesha mafunzo na kufutwa kwenye rejista ya vyuo vya ufundi nchini Pia Baraza limetangaza kuwa vyuo 41…
Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, amewatangazia wanachama na wapenzi wa klabu hiyo kwamba kutakuwa na mkutano mkuu wa timu utakaofanyika Jumamosi Agosti 6. Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka…
Korea Kaskazini imefanya majaribio ya makombora ya masafa marefu mashariki mwa pwani ya nchi na kuzua shtuma za kimataifa. Korea Kusini imesema kuwa hiyo ilionyesha tamaa ya Korea Kaskazini kushambulia…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema hadi sasa linamtambua Kocha wa Azam FC, Zeben Hernandez, kufuatia kupokea kibali chake cha kufanya kazi nchini huku wakiwa hawatambui uwepo wa kocha, Joseph Omog…
Ni mara ngapi kwenye maisha umeona watu wenye utajiri, mali, fedha na dhamana kubwa ya madaraka wameweza kuishi maisha yanayofanana na watu wasio katika hadhi zao? Ni viongozi wachache duniani…
Staa wa Bongo movie, Gabo Zigamba amesema wasanii wa movie wanapaswa wasome ili kufanya kazi zenye uhakika zaidi na kuwaletea kipato. Gabo ameyasema hayo wakati akimuongelea muigizaji, Rachel Bithulo ambaye…
Mchezaji tennis namba nne kwa ubora upande wa wanaume, Stan Wawrinka amejiondoa kushiriki michuano ya Olimpiki. Mchezaji huyo amejiondoa kushiriki mashindano hayo makubwa duniani baada ya kupata majeraha katika michuano…
Idadi ya wakimbizi wa Sudani Kusin wanaoingia kwenye kambi nchini Uganda imeongezeka maradufu ndani ya kipindi cha siku 10 tu. Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema…
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia tiketi ya Republican, Donald Trump ameanza kuonyesha wasiwasi wake kuwa huenda uchaguzi mkuu wa mwezi Novemba mwaka huu ukagubikwa na wizi wa kura. Akiongea…
Madaktari na watoa misaada nchini Syria, wameituhumu helikopta moja inayopdaiwa kudondosha mapipa yaliyokuwa na gesi ya sumu ya krolaini kwenye mji wa kaskazini mwa Syria. Takribani watu 30 wametaarifiwa kuathirika…
Swansea City imekataa dau la pauni milioni 10 lilitolewa na Everton ili kumsajili beki na nahodha wa timu hiyo Ashley Williams. Beki huyo raia wa Wales alikua anakaribia kufikia makubaliano…
Umoja wa Mataifa (UN) umetahadharisha kuwepo kwa hali mbaya ya kibinaadam nchini Sudan kusini kutokana na mapigano kuanza tena upya na maelfu ya watu wakiyakimbia makazi yao kutokana na machafuko.…
Mfanyabiashara Mohammed Dewji ametoa Tsh milioni 100 kuchangia mfuko wa usajili wa klabu ya Simba ambaye ana dhamira ya kununua asilimia 51 ya hisa kwenye timu hiyo. Katika mkutano wake wa…
Serikali ya Marekani imeahidi kuipatia Tanzania dola milioni 407 fedha za msaada miezi kadhaa baada kukatiza ufadhili kama huo kufuatia uchaguzi unaodai ulikiuka demokrasia. Shirika la Marekani Millenium Challenge Corporation…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetangaza kuanza kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kuanzia Agosti 28 mwaka huu. Tundu Lissu amefikishwa mahakamani hapo akituhumiwa kwa kosa la…
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole ambaye pia ni Mwenyekiti wa wa chama cha TLP, Augustino Mrema amemtaka Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akubali kwamba alishindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka…
Aliyekuwa mshindi wa tuzo la Miss World Kenya 2016 , Roshanara Ebrahim, amepokonywa taji hilo baada ya kukumbwa na sakata. Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya, Roshanara mwenye…
Staa wa Hip-Hop nchini, Nay wa Mitego amesema kwamba amemalizana na Baraza la Sanaa nchini (BASATA) baada ya kutangaza kumfungia asijihusishe na masuala ya muziki kutokana na kuimba nyimbo zisizokuwa…
Meneja wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na kundi la Tip Top Connection, Hamis Tale Tale maarufu kama Babu Tale amefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.…
Mgombea wa urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amemwita mpinzani wake wa chama cha Democratic Hillary Clinton kuwa ni 'shetani'. Akizungumza kwenye mkutano huko Pennsylvania bwana Trump…
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), katika utafiti wao, wamebaini ugonjwa uliobuka katika mikoa ya Dodoma na Manyara hivi karibuni na kuua watu, unasababishwa na sumu ya kuvu inayoshambulia ini.…
Kiungo wa Ujerumani, Leroy Sane amekamilisha usajili wa kujiunga na Manchester City kutoka klabu ya Shalke 04 kwa ada ya paundi milioni 37 baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano.