PL: Everton yashindwa kutumia uwanja wa nyumbani
Everton imeshindwa kutumia uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Tottenham kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza iliyofanyika katika uwanja wa Goodson Park. Everton…
Everton imeshindwa kutumia uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Tottenham kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza iliyofanyika katika uwanja wa Goodson Park. Everton…
Winga wa Manchester United, Adnan Januzaj amejiunga na klabu ya sunderland kwa mkopo. Uhamisho huo umemuunganisha na meneja wake wa zamani, David Moyes pamoja na wachezaji wenzake wa Manchester United,…
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Zambia yanaonyesha mgombea wa chama kikuu cha upinzani, Hakainde Hichilema anaongoza kwa ushindi wa kura chache. Takwimu za Tume ya uchaguzi zinaonyesha…
Wakuu 70 wa chama cha Republican wamesaini barua na kuituma kwa mkuu wa kamati ya kitaifa ya chama hicho wakimtaka aache kusaidia kampeni za mgombea urais kupitia chama hicho, Donald…
Staa wa mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James atakuwa mchezaji anayepokea mkwanja mrefu kwenye ligi ya NBA msimu ujao baada ya kukubaliana na timu yake ya Cleveland Cavaliers kusaini…
Serikali ya Uganda imekiondoa kwenye maktaba za shule za nchi hiyo kitabu ‘LOVE LESSONS’ kilichoandikwa na mwandishi maarufu wa vitabu vya watoto wa Uingereza Jacqueline Wilson. Waziri wa maadili wa…
Serikali ya Tanzania kupitia kwa wizara ya habari, utamaduni sanaa na michezo imelifungia gazeti la kila wiki la MSETO kwa tuhuma za kuchapisha habari za uongo. Waziri wa wizara ya…
Mastaa wa Bongo fleva, Ali kiba na Mr Blue wanatarajiwa kumrudisha Abby Sklillz kwenye anga ya muziki wa Bongo fleva baada ya kushirikishwa na msanii huyo kwenye nyimbo mpya itakayotoka…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameutaka uongozi wa mkoa wa Mwanza kuhakikisha kuwa watu waliopora mali za Chama cha Ushirika cha Nyanza (NCU), wanapatikana na…
Staa wa Bongo fleva, Ali Kiba ametoa mchango wa milioni 21 kwa GSM Foundation kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo za kutoa huduma ya upasuaji wa watoto wenye…
Staa wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameanza kufanya mazoezi mepesi na klabu yake baada ya kupona majeraha ya goti. Ronaldo aliumia goti wakati akiitumikia timu yake ya taifa…
Kocha wa timu ya riadha ya Kenya inayoshiriki michuano ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro, John Anzrah amerudishwa nyumbani kwa kosa la udanganyifu. Mkuu wa timu ya Olimpiki ya Kenya,…
Mahakama nchini Kenya imetoa uamuzi kwamba polisi wa utawala waliwateka nyara wakili Willie Kimani, mteja wake na dereva wa texi na kuauwa, tukio ambalo lilisababisha maandamano nchini Kenya dhidi ya…
Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetangaza orodha mpya ya viwango vya kila mwezi kwa timu za mataifa yote duniani. Timu ya Argentina inaendelea kushika namba moja kwa timu bora zaidi…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewatangazia walimu wa mkoa wa Dar es Salaam kuanza kusafiri bure kwenye treni baada ya kuingia makubaliano na Shirika la Reli…
Mshambuliaji wa Simba SC, Mussa Hassan "Mgosi" amestaafu rasmi soka na sasa anakuwa Meneja wa timu hiyo yenye maskani yake maeneo ya Msimbazi jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Idara…
Kingo wa Arsenal, Jack Wilshere amesema hatoshangazwa na mashabiki nchini Uingereza endapo watafikia hatua ya kuwazomea wachezaji waliokuwa wanaunda kikosi cha nchi hiyo katika fainali za Euro zilizofanyika Ufaransa. Wilshere…
Shrikisho la soka Barani Afrika "CAF" limewateua waamuzi kutoka nchini Algeria kuchezesha pambano la kuhitimisha ratiba kati ya Tanzania na Nigeria ambapo mechi hiyo itachezwa nchini Nigeria. Waamuzi watakaochezesha pambano…
Mwanamuziki mongwe wa miondoko ya Hip-Hop nchini, Kalama Masoud "Kalapina" amesema kwamba watu wanaukubali wimbo mpya wa Profesa Jay ambayo amechanganya hip hop na singeli lakini kwa upande wake amesema…
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohamed Mpinga amesema jeshi hilo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi kavu SUMATRA wameanza mchakato wa kumtafuta mtoa…
Makundi mawili ambayo yalifuzu kushiriki hatua ya robo fainali katika shindano la Dance100% mwaka huu yameondolewa kushiriki katika shindano hilo kutokana na utovu wa nidhamu na kukiuka kanuni za shindano…
Jeshi la polisi limefanikiwa kumtia nguvuni tabibu Juma Mwaka, maarufu Kama Dokta Mwaka, baada ya kumsaka Kwa siku kadhaa bila mafanikio. Jeshi la polisi lilikuwa likitekeleza agizo la Naibu…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza bei ya viingilio katika mechi ya marudiano kundi A kombe la Shirikisho kati ya Yanga SC na MO Bejaia kutoka Algeria. Viingilio vitakuwa Sh…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewapiga marufuku mawakala wanaotoza faini za kuegesha magari vibaya katika kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo hadi hapo yatakapotengenezwa…
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kwamba hatma yake katika klabu hiyo ya Emirates inategemea jinsi matokeo ya klabu hiyo msimu huu yatakavyokuwa. Wenger amesema kwamba mkataba wake utakamilika Juni…
Vikosi vya mapigano vinavyounga mkono serikali ya Libya vimesema vimedhibiti makao makuu ya wapigani wa dola la kiislam (IS) katika mji wa Sirte. Vikosi hivyo vikiongozwa na wapiganaji wa mji…
Everton imekamilisha usajili wa beki wa kati kutoka klabu ya Swansea City, Ashley Williams ambapo ada ya uhamisho paundi milioni 12 baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili mfanyabiashaa Mohamed Mustapha na mwenzake Samwel Lema wanaodaiwa kuiibia serikali shilingi milioni saba kwa kila dakika, kesi hiyo imetajwa…
Staa wa Hip-Hop nchini Marekani, Tyga ameingia matatani mara baada ya Jaji wa mahakama moja nchini humo kutaka akamatwe na aadhibiwe ikiwezekana kupewa kifungo jela. Jaji huyo amesema mwanamuziki huyo…
Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya amemsimamisha kazi aliyekuwa mkuu wa chuo cha Maendeleo ya Jamii, Bunamhala Bw. Ramadhani Said katika Halmashauri ya mji wa…