Azam FC kupewa kombe jipya
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema lipo kwenye mpango wa kuwakabidhi kombe jipya la Ngao ya Jamii timu ya Azam FC kutokana na kukabidhiwa kombe ambalo halikuwa lenyewe. Azam walipata kombe…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema lipo kwenye mpango wa kuwakabidhi kombe jipya la Ngao ya Jamii timu ya Azam FC kutokana na kukabidhiwa kombe ambalo halikuwa lenyewe. Azam walipata kombe…
Staa wa Bongo fleva, Kassim Mganga amesema hapendezwi na tabia za baadhi ya wasanii ambao wanawadanganya mashabiki kwa kusema wanamiliki vitu vya thamani ambapo siyo kweli. Staa huyo amesema wasanii…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inalinda amani ya nchi kwa gharama yeyote na haitoruhusu mwanasiasa yeyote kusababisha uvunjifu wa amani hiyo. Waziri…
Kundi la Tatanisha Crew limesema linaridhishwa na majaji wa shindano la Dance100% kwani wanatoa alama vizuri bila kuwa na upendeleo wowote kulingana na uwezo wa kundi. Mwenyekiti wa kundi hilo…
Mabingwa wa soka nchini, Yanga imeshindwa kulipiza kisasi dhidi ya TP Mazembe baada ya kukubali kichapo cha 3-1 kwenye mechi ya kombe la Shirikisho Afrika kundi A iliyofanyika katika uwanja wa…
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na…
Utafiti mpya uliofanywa na kuchapishwa kwenye jarida la BMC Public Health Journal umeonyesha kuwa matumizi ya dawa za kukabiliana na bakteria ni mabaya barani Afrika. Utafiti huo unaonyesha kuwa madaktari…
Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.2 katika vipimo vya Richter limetikisa eneo la Umbria katikati mwa Italia na kufukia watu chini ya vifusi. Tetemeko hilo lilitokea mida ya saa…
Aliyekuwa mpiga tarumbeta katika bendi ya mwanamuziki wa rege nchini Jamaica, Bob Marley aitwae Headley Bennett amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Headley Bannett alishiriki katika wimbo wa…
Kiongozi wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria, Aboubakar Shekau amejeruhiwa kwenye shambulio la angani lililotekelezwa na jeshi la nchi hiyo huku makamanda wengine wakuu wa kundi hilo wameuawa. Taarifa…
Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi amesema masuala yote ya siasa yanayoendelea miongoni mwa vyama hapa nchini yatatuliwa katika meza ya majadiliano na si vinginevyo. Jaji Mutungi amesema…
Staa wa Bongo fleva, Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amefunguka sababu zilizomfanya anunue nyumba nchini Afrika Kusini. Staa huyo amesema sababu iliyomfanya anunue nyumba nchini humo ni yeye mwenyewe…
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro amewataka wananchi kuondoa hofu na kuendelea na shughuli zao kama kawaida kwani hakuna atakayeandamana Septemba 1. Kamanda…
Wachezaji, Gareth Bale wa Real Madrid na Wales, Antoine Griezmann wa Atletico Madrid na Ufaransa na Cristiano Ronaldo wa Real Mdrid na Ureno wamechaguliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora…
Muogeleaji wa Marekani, Ryan Lochte amepoteza mikataba yake yote minne ya udhamini baada ya wenzake watatu kudanganya kuwa waliibiwa na wezi waliokuwa na silaha katika michuano ya Olimpiki iliyofanyika mjini…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant) kinachotarajiwa kujengwa katika…
Staa wa Hip Hop nchini, Darasa amesema kuwa kwa sasa anafanya vizuri kwenye game ya muziki kutokana na changamoto alizopitia kwenye maisha yake ambazo zimempelekea kufanya kazi kwa kujituma. …
Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC leo inashuka dimbani dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye mechi ya mwisho kombe la shirikisho Afrika kundi A. Yanga…
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema chama chake kipo tayari kusitisha mikutano na maandamano ya Septemba mosi endapo yataanzishwa mazungumzo kutafuta muafaka. Mwenyekiti huyo amesema…
Mwanamuziki maarufu nchini Malaysia, Wee Meng Chee maarufu kama 'Namewee' amekamatwa na polisi baada ya malalamiko kutoka kwa raia kuhusiana na wimbo wake wa hivi karibuni unaokisiwa kuwatusi waislamu. Mwanamuziki…
Aliyekuwa Rais wa Kenya, Mwai Kibaki amelazwa hospitali nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu maalum baada ya kuugua mwishoni mwa wiki. Kiongozi huyo wa zamani nchini Kenya aliugua akiwa nyumbani kwake…
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza, Sam Allardyce anatarajiwa kutangaza kikosi chake kwa mara ya kwanza baada ya kumalizika kwa mechi za ligi kuu nchini Uingereza siku ya…
Rapa maarufu nchini Marekani, Young Thug amesema kuwa albamu yake mpya aliyoipa jina la 'Jeffery' itakuwa na nyimbo zenye maudhui kama alizokuwa akiimba mkali wa Pop, Michael Jackson. Staa huyo…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeanza kupeleka fedha za miradi ya maendeleo katika Halmashauri mbali mbali hapa nchini. Waziri Mkuu amesema kwamba ni…
Kocha mkuu wa Azam FC, Zeben Rodriguez amesema kwamba Ligi Kuu ya msimu huu itakuwa ngumu na anahitaji muda zaidi ili kutengeneza timu ya ushindani kwenye kikosi hiko. Kocha huyo…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Ruby amesema kwamba hakwenda mkaoani Mwanza kutumbuiza kwenye tamasha la Fiesta licha ya kusajiliwa na Clouds Media kwasababu waandaji hulipa fedha ndogo. Ruby amedai kuwa kutolewa…
Mbwana Samatta anaendelea kung'ara nchini Ubelgiji baada ya kuisaidia timu yake ya Genk kuibuka na ushindi wa magoli 3-0, yeye akifunga goli mbili dhidi ya Lokeren. Samatta aliifungia timu yake…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Abdulaziz Abubakari maarufu kama Dogo Janja amesema kwasasa hayupo tayari kutoa albamu mpya siku za hivi karibuni mpaka hapo soko la kuuza muziki kwa mfumo wa…
Bingwa wa Olimpiki wa mchezo wa tennis, Andy Murray ameshindwa kudhibitisha ubora wake mbele ya Marin Cilic baada ya kufungwa kwa seti 6-4 7-5 katika fainali iliyofanyika mjini Cincinnati. Hii…
Serikali ya Zambia imeahirisha sherehe za kuapishwa Rais mteule wa nchi hiyo, Edgar Lungu hadi wakati mwingine baada ya chama kikuu cha upinzani cha Muungano wa Ustawi na Kitaifa (UPND)…