Waziri auawa kwa kusinzia wakati wa hotuba ya Kim jong-Un
Serikali ya Korea Kusini imesema kuwa waziri wa elimu nchini Korea Kaskazini ameuawa na maafisa wa serikali ya nchi yake. Tangazo la kifo cha Kim Yong-jin limetolewa na wizara ya…
Serikali ya Korea Kusini imesema kuwa waziri wa elimu nchini Korea Kaskazini ameuawa na maafisa wa serikali ya nchi yake. Tangazo la kifo cha Kim Yong-jin limetolewa na wizara ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaalika wafanyabiashara wa Cuba na Serikali ya nchi hiyo kuja hapa nchini kuwekeza katika uzalishaji wa sukari na kujenga…
Staa wa muziki nchini Marekani, Chris Brown amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumshambulia mtu kwa silaha hatari. Polisi walifika katika makazi ya Chris Brown baada ya mwanamke kuwapigia simu…
Simba SC inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Polisi Dodoma siku ya Ijumaa kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. Afisa habari wa klabu hiyo, Haji Manara amesema kwamba…
Mgombea urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amekubali mwaliko wa kumtembelea rais wa Mexico Enrique Pena Nieto leo. Ofisi ya rais nchini Mexico imesema mipango ya kufanyika…
Baada ya kimya kirefu wachekeshaji maarufu nchini, Tin White na Ringo wameachia filamu yao mpya inayoitwa ‘Kombando Kipensi'. Wachekeshaji hao mara nyingi wamekuwa wakiigiza pamoja wamesema filamu hiyo itakuwa ina…
Gwiji wa soka wa Argentina, Diego Maradona amemkubali mtoto wake Diego Junior ambaye alikuwa naye mwishoni mwa wiki iliyopita huko Buenos Aires. Diego Junior alizaliwa nchini Italia mwaka 1986 kutoka…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kwamba wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi wanaiathiri Serikali katika juhudi zake za kuboresha maisha ya Watanzania. Amesema Serikali haina mgogoro…
Nahodha wa Manchester United na Uingereza, Wayne Rooney ametangaza kustaafu soka la kimataifa baada ya kumalizika kombe la dunia nchini Urusi mwaka 2018. Rooney amezungumza hayo mbele ya waandishi wa…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanzisha utaratibu wa kufungua klabu za wanafunzi wa kodi vyuoni ili kurahisisha utoaji na upatikanaji wa elimu kwa mlipa kodi katika jamii. Hayo yamesemwa na…
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amewataka vijana kutumia fursa zilizopo nchini ili kuzalisha mali na kukuza vipato vyao ili kujiondoa katika lindi la umasikini na kukuza uchumi wa…
Klabu ya Al-Ittihad Alexandria ya Misri imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji wa kimataifa wa Cameroon, Samuel Nlend kutokana na kugundulika kuwa nyota huyo ana maambukizi ya HIV. Al Ittihad Alexandria…
Kiongozi wa zamani wa kundi la East Coast team, Gwamaka Kaihula a.k.a King Crazy GK ambaye aliwahi kujitamba kuwa HIP HOP anayoifanya yeye haiwezi kufikiwa na wasanii kutoka upande mwingine…
Golikipa namba moja wa timu ya taifa ya Uingereza, Joe Hart leo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya ili kujinga na klabu ya Torino ya nchini Italia kwa mkopo wa muda…
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Omo Jagabana 'YCEE' ametoa msaada wa shilingi milioni moja kwenye kituo cha kulelea watoto waishio mazingira magumu cha Kigamboni Community Center (KCC). Mratibu wa…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu sita kwa makosa mbalimbali yanayohusu ukatili na unyanyasaji wa kijinsia. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa amesema vitendo…
Klabu ya West Brom imemsajili kiungo wa Ubelgiji, Nacer Chadli kutoka Tottenham kwa ada ya uamisho ya paundi milioni 13 ambapo amesaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo. Mchezaji…
Muigizaji wa Bongo movie, Salma Jabu 'Nisha' amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa aina yake baada ya kuamua kutembelea wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam. Nisha…
Muigizaji wa filamu za vichekesho nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83. Muigizaji huyo kifo chake kimetokana baada ya kuugua ugonjwa wa kukosa fahamu kitaalamu unaitwa {…
Waziri Mkuu wa Jamhri ya muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mabadiliko ya mifumo ya ujenzi wa uchumi wa viwanda hayawezi kuletwa na Serikali peke yake bali ni lazima yahusishe…
Klabu ya Southampton imekamilisha usajili wa kiungo wa Morocco, Sofiane Boufal kutoka klabu ya Lile nchini Ufaransa kwa ada ya uamisho ya paundi milioni 16. Boufal mwenye umri wa miaka 22…
Mkongwe wa Bongo fleva, Dully Sykes amesema kwamba hupenda kusaidia wasanii ambao wana kiwango cha kati ili kujitengenezea njia katika maisha yake ya baadae ya kimuziki. Dully Sykes amesema anapoamua…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju amevionya vyama vya siasa nchini kuacha kutumia maneno yanayovunja amani na usalama wa nchi. Masaju ametolea mfano Oparesheni UKUTA iliyotangazwa kufanywa na CHADEMA na…
Lebo maarafu nchini Wasafi Classic Baby 'WCB' inayomilikiwa na mwanamuziki nyota nchini, Diamond Platnumz inatarajia kufungua ofisi mpya Kijitonyama jijini Dar es salaam ambayo itakuwa inajihusisha na masuala ya kiuongozi…
Mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga SC na JKT Ruvu uliokuwa ufanyike Jumatano hii Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam umeahirishwa. Sababu ya kuhairishwa kwa mechi…
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametangaza kuvifungia vituo viwili vya radio vya Radio 5 na Magic FM kwa muda usiojulikana kurusha matangazo yao. Waziri Nape ametangaza…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Beyonce alitawala tuzo za muziki za MTV zilizofanyika mjini New York hapo jana baada ya kupata jumla ya tuzo saba. Beyonce alijishindia tuzo kubwa katika tamasha…
Serikali imesema itaanza zoezi la kuajiri watumishi wapya punde tu itakapokalimisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa nchini. Waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na…
Mshambuliaji wa TP Mazembe, Thomas Ulimwengu amesema kwamba anatarajia kurudi uwanja hivi karibuni kwenye Kombe la Shirikisho Afrika katika hatua ya nusu fainali baada ya kukosa mechi zote za mzunguko…
Rais wa sasa nchini Gabon, Ali Bongo na mpinzani wake mkuu bwana Jean Ping kila mmoja anadai ameshinda kiti cha urais baada ya kufanyika uchaguzi mkuu wa Rais siku ya…