Mourinho ampa ‘second chance’ Schweinsteiger
Kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger amejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa klabu hiyo kwa ajili ya ligi kuu nchini Uingereza iliyoanza mwezi Agosti mwaka huu. Hapo awali kiungo…
Kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger amejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa klabu hiyo kwa ajili ya ligi kuu nchini Uingereza iliyoanza mwezi Agosti mwaka huu. Hapo awali kiungo…
Staa wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella amesema amepata shida sana wakati wa kurekodi wimbo wa msanii wa Hip Hop, Fid Q unaoitwa 'Roho' kutokana na ugumu wa mashairi…
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameviagiza vyombo vya dola kufanya doria katika bahari ya India ili kudhibiti uvuvi haramu ambao umekuwa ukiathiri uchumi wa mkoa wa Pwani na taifa zima…
Viongozi wa mashtaka nchini Uswizi wameanzisha uchunguzi wa uhalifu kuhusu mchezaji wa zamani nchini Ujerumani, Franz Backenbauer na wengine watatu kuhusu ombi la Ujerumani la kombe la dunia la mwaka…
Baraza la Usalama la umoja wa mataifa (UN) limetoa wito kwa wagombea wakuu na wafuasi wao nchini Gabon kujizuia kufanya fujo na badala yake kutatua mzozo wa sasa kupitia njia…
Timu ya taifa ya Brazil imefanikiwa kuitandika Ecuador 3-0 kwenye mechi ya kufuzu kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi iliyofanyika jana usiku. Mshambuliaji wa Barcelona, Neymer junior alikuwa wa…
Yamoto Band wapo jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania kwenye msimu wa nne wa Coke Studio Africa. Yamoto Band wataonekana kwa mara ya kwanza kwenye show hiyo…
Kampuni ya Acer imezindua laptopu ya kwanza ilio na kioo kilichojipinda tofauti kabisa na laptopu za hapo awali za kampuni hiyo. Kmpuni hiyo imesema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha kucheza michezo…
Vikosi vya usalama nchini Gabon vimevamia makao makuu ya chama cha mgombea urais aliyeshindwa Jean Ping. Bwana Ping amekiambia kituo kimoja cha redio kutoka Ufaransa RMC kwamba amekimbia mafichoni kufuatia…
Muigizaji na mchekeshaji maarufu wa Bongo Movie, Steven Mangere (Steve Nyerere) anatarajia kufanya show yake ya uchekeshaji jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi. Steve Nyerere amesema show hiyo ameipa…
Baada ya tetesi kuenea mitaani kwamba muimbaji wa Bongo fleva, Mwasiti Almas anachukia mafanikio ya mwanamuziki mwenzake, Vanessa Mdee, mwanamuziki huyo amekanusha taarifa hizo. Mwasiti amesema kwamba taarifa hizo si…
Waziri wa fedha na mipango nchini, Dr Philip Mpango ameagiza kuondolewa kazini kwa wafanyakazi wanne wa mamlaka ya mapato Tanzani (TRA) katika kituo kidogo cha Forodha cha Manyovu kilichopo mpakani…
Kiungo wa zamani wa Simba SC na Azam FC, Abdulhalim Humud amejiunga na klabu ya Real Kings FC ya Ligi Daraja la Kwanza nchini Afrika Kusini. Humud ambaye msimu uliopita…
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limesema kuwa limebaini kundi kubwa la vijana walio chini ya umri wa miaka kumi na minane kutumika katika matukio ya wizi pamoja na uporaji wa…
Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika ya shirika la fedha duniani IMF, Abebe Selassie amesema kwamba kushuka kwa bei ya mafuta katika miaka miwili iliyopita imesababisha nchi nane za Afrika…
Nahodha wa Ujerumani, Bastian Schweinsteiger amecheza mechi yake ya mwisho kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya Finland baada ya kutangaza kustaafu soka la kimataifa. Kiungo huyo wa Manchester United alianza…
Rais Mpya wa Brazil, Michel Temer amesema nchi yake inaingia katika enzi mpya ya matumaini baada ya kuondoshwa madarakani kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dilma Rousseff. Rais Temer ametoa…
Vilabu vya soka barani ulaya vimefanya usajili wa kumarisha vikosi vyao katika siku ya mwisho ya usajili uliofungwa usiku wa kuamkia Septemba mosi. Chelsea wamemrejesha beki wao kisiki David Luiz…
Staa wa muziki nchini Marekani, Chris Brown ameachiwa kwa dhamana baada ya kukamatwa kwa kosa la kumtishia bunduki mwanamke aliyejulikana kwa jina la Baylee Curran. Staa huyo ametoka kwa dhamana…
Serikali imewataka waganga wa tiba asili nchini kuhakikisha wanapata vibali kutoka Baraza la Tiba Asilia kabla ya kupeleka matangazo yao katika vyombo vya habari. Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya…
Fujo zimezuka katika mji mkuu wa Gabon, Libreville baada ya tume ya uchaguzi nchini humo kumtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi. Mgombea wa upinzani…
Klabu ya Chelsea imemsajili kwa mara ya pili beki wa kimataifa wa Brazil, David Luiz kutoka Paris St-Germain kwa ada ya uhamisho paundi milioni 30 kwa mkataba wa miaka mitatu. David…
Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo, hivi karibuni alionekana kuvaa jezi zenye namba mbili tofauti kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika mchezo dhidi ya JKT Ruvu uliofanyika Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango akichukua nafasi ya Dkt. Servacius…
Beki wa Brazil na klabu ya PSG, David Luiz uwenda akarejea Chelsea msimu huu baada ya klabu hiyo kuonesha nia ya kutaka kumsajili ambapo wameweka paundi milioni 30 kumrudisha Darajani…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kisitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike nchi nzima kesho Septemba Mosi yaliyopewa jina la UKUTA. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema kuwa wamefanya mazungumzo…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Afande Sele amedai kuwa anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa madai anagawa pesa kwa watu ili kuwashawishi wajitokeze katika maandamano ya UKUTA ambayo…
Jukwaa la Wahariri nchini 'TEF' limepinga uamuzi wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo baada ya kuvifungia vyombo vya habari viwili vya Radio 5 ya Arusha na…
Klabu ya Manchester City imekubali kumruhusu kiungo wake Samir Nasri kujinga na Sevilla kwa mkopo wa muda mrefu. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 29 anatarajia kuelekea Hispania kwa ajili…
Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki ambaye alilazwa kwa ajili ya matibabu nchini Afrika Kusini kwa kipindi cha wiki moja ameruhusiwa kuondoka hospitalini hapo. Taarifa kutoka kwa familia yake ilisema…