Mkutano wa nne wa Bunge la 11 umeanza leo Dodoma
Mkutano wa nne wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo mjini Dodoma huku miswada sita ukiwemo wa sheria ya upatikanaji wa habari ukitarajiwa kuchukua nafasi…
Mkutano wa nne wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo mjini Dodoma huku miswada sita ukiwemo wa sheria ya upatikanaji wa habari ukitarajiwa kuchukua nafasi…
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha kuchelewa kwa mvua za vuli na kusema hata zitakazonyesha, zitakuwa ni za wastani au chini ya wastani katika maeneo mengi ya nchi katika…
Rais wa Marekani, Barack Obama amevunja mkutano wake na Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Ufilipino. Hapo awali Obama amesema kwamba angemuuliza kiongozi huyo…
Mwanamuziki wa hip hop nchini, Nikki Mbishi amesema kuwa meneja wa wasanii, Babu Tale ni jipu ambalo rais Magufuli pamoja na waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo, Nape Nnauye…
Waziri wa haki nchini Gabon, Seraphim Moundounga amejizulu kulalamikia utata ambao umegubika matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo wiki moja iliyopita. Waziri huyo amemuonya Rais Ali Bongo ambaye…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa atasimamia kwa nguvu zote masuala yote yanayohusu maendeleo, kudumisha Muungano wa Tanzania Bara na…
Naibu Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jafo amepata ajali eneo la Katela Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe Mbeya. Ajali hiyo imehusisha gari dogo aina ta Corola iliyokuwa ikotokea Mbeya kwenda…
Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic amechaguliwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kupitia tovuti ya Eurosport kwa mwezi Agosti barani Ulaya. Ibrahimovic alifanikiwa kupata kura nyingi…
Serikali ya Somalia imesitisha kwa muda ndege zote zinazoingiza miraa kutoka taifa jirani la Kenya na kuingia nchini mwao. Biashara hiyo ina thamani ya mamia ya mamilioni ya madola kila…
Ukitaka kutumia kiki kwa kumtumia Mr. Blue jiulize ‘nahatarisha ndoa yake?’ kama hujajiuliza swali hilo ‘sahau kutumia jina la staa huyo’. Staa huyo wa muda mrefu kwenye gemu ya Bongo…
Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi wa kituo kipya kikubwa cha kuzalisha umeme unaoanzia mkoani Iringa hadi Shinyanga. Asilimia 99% ya ujenzi huo umekamilika na kiinategemewa…
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imetenga eneo la biashara la Kariakoo Jijini Dar es salaam kuwa Mkoa Maalum wa Kodi kutokana na kuwa kitovu cha biashara hapa nchini. Mkurugenzi wa…
Aliyekuwa meneja wa kundi la N.W.A, Jerry Heller amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari siku ya Ijumaa na amefariki akiwa na miaka 75. Baada ya ajili hiyo alikimbizwa…
Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama ameiagiza Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kutoa taarifa haraka kuhusu…
Mwananmuziki maarufu nchini Marekani, Lil Wayne ametangaza kustaafu muziki anaofanya kwasasa. Kupitia ukurasa wake wa Twitter mwanamuziki huyo aliandika: "Sasa sijiwezi tena, haka kiakili, na naondoka kwa staha na nashukuru…
Nchi za Marekani na China ambazo kwa pamoja huzalisha gesi chafu ya kaboni duniani kwa 40% zimekubali change mkono makubaliano yaliyopo kwenye mkataba wa hali ya hewa uliosainiwa kwenye mji…
Mgombea wa urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amezuru kanisa moja la watu weusi mjini Detroit katika jaribio la kuchukua kura za watu walio wachache kutoka kwa…
Umoja wa Mataifa umesema lazima zifanywe juhudi zaidi za kulinda uhuru wa vyombo vya habari nchini Somalia baada ya waandishi wa habari 30 kuawa katika miaka mine iliyopita. Shirika la…
Mechi za mwisho za kufuzu kombe la Mataifa ya Afrika zimehitimishwa jana ambapo timu 16 zimekata tiketi ya michuano hiyo mikubwa barani Afrika itakayofanyika Gabo mwakani. Timu 16 ambazo zitashiriki…
Serikali mkoani Dodoma inatarajia kufanya operesheni ya kuwaondoa watoto wa mitaani, ambao wamekuwa kero kwa wapita njia na wateja wanaokula hotelini, ambao huwanyang’anya chakula na hata vinywaji wateja. Mkuu wa…
Makundi matano yamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Mashindano ya Dance 100% baada ya mchuano mkali wa makundi kumi kuonesha uwezo wa hali ya juu, katika hatua ya nusu fainali.…
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amewalaumu mahakimu wanaoruhusu maandamano dhidi ya serikali ambayo yanandelea nchini humo. Mugabe amesema mahakimu wanadharau amani, na akawaonya kutothubutu kuonesha dharau wanapofikia uamuzi. Wafuasi wa…
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Said Fella amesema anatarajia kumuachia Temba kuwasimamia kundi la Yamoto Band pamoja na Foundation ya Mkubwa na Wanawe. Fella amesema…
Taifa stars imehitimisha mechi za Kundi G kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kufungwa bao 1-0 na wenyeji Nigeria jioni ya leo Uwanja wa Uyo Akwa Ibom.…
Kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger ameachwa kwenye kikosi cha wachezaji 27 kwa ajili ya mashindano ya Europa Ligi msimu huu. Jana kiungo huyo alijumuishwa kwenye kikosi cha Manchester United…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa maduka ya nguo hapa nchini. Sherehe za ndoa hiyo zimefanyika nyumbani kwa…
Waziri Mkuum wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kufanya linalowezekana ili kupunguza msongamano wa watu wanaofika katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kupata matibabu. Waziri mkuu amesema…
Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale anasema kuwa hashtushwi na hatua ya kupoteza taji la kuwa mchezaji ghali zaidi duniani alilopoteza kwa Paul Pogba. Bale alipoteza taji hilo kwa Pogba…
Mashindano ya urembo ya idara ya magereza nchini Kenya yalifanyika wiki hii katika jela ya wanawake iliyoko Langata mjini Nairobi. Washiriki huwa ni wanawake wafungwa pamoja na wale wako rumande,…
Muigizaji maarufu wa filamu, Jackie Chain anatarajia kupokea tuzo ya heshima ya Oscar kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu duniani. Wengine walioidhinishwa kupewa tuzo hizo za Oscar…