Bukoba yatikiswa tena
Tetemeko lingine la ardhi limetokea tena usiku wa kuamkia leo huko Kagera kwenye Manispaa ya Bukoba ambalo limewafanya baadhi ya wananchi kulala nje kuhofia usalama wao. Taarifa zilizotoka mkoani humo…
Tetemeko lingine la ardhi limetokea tena usiku wa kuamkia leo huko Kagera kwenye Manispaa ya Bukoba ambalo limewafanya baadhi ya wananchi kulala nje kuhofia usalama wao. Taarifa zilizotoka mkoani humo…
Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli amesema kujiunga na Liverpool ulikuwa uamuzi mbaya zaidi aliowahi kuufanya maishani mwake. Mshambuliaji huyo alifunga mabao manne katika mechi 28 alizochezea Liverpool baada ya kujiunga…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo ameongoza ibada ya sikukuu ya Eid Al Hajj katika viwanja vya Mwembe Yanga wilaya ya Temeke jijini Dar es…
Staa wa Bongo fleva, Nasib Abdul "Diamond Platnumz" jana amefanya show ya kufa mtu katika mji wa Mombasa nchini Kenya na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki ambao walionesha kumkubali mkali…
Takriban Mahujaji wa kiislamu milioni 1.5 wamekusanyika nchini Saudi Arabia chini ya ulinzi mkali, kabla ya kuanza rasmi ibada ya hijja ya kila mwaka. Magari yamepigwa marufuku ya kukaribia msikiti…
Mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic, Hillary Clinton amesema kuwa anasikitika kuwaita mashabiki wa mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kama kundi la watu wasiostahili heshima. Katika taarifa…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Sunday Mjeda 'Linex' amesema kuwa anatarajia kufanya kolabo na staa wa muziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone hivi karibuni. Linex amesema tayari ameshamtumia Jose Chameleone beat…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya waliokufa kwenye tetemeko la ardhi mjini Bukoba mkoani Kagera. Wananchi kwa makundi wanaelekea katika…
Mwanamuziki wa hip hop nhini Marekani, Desiigner amekamatwa na polisi kwa kosa la kukutwa na silaha na dawa za kulevya. Kwa mujibu wa mtandaa wa TMZ rapa huyo amekamatwa kutokana…
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa (magnitude) wa 5.7 limetokea jioni hii katika mikoa ya Mwanza, Kagera na sehemu za Shinyanga.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya 11. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji mmoja na Mkurugenzi wa Halmashauri…
Benki Kuu ya Tanzania imesema Tanzania iko sawia katika muelekeo wa kufikia kukua kwa uchumi kwa asilimia 7.2 mwaka huu. Benki hiyo imekanusha madai ya baadhi ya wabunge wa…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Naj amesema kuwa afanyi kazi kwa kutafuta 'kiki' kwasababu anaamini ana kipaji cha hali ya juu kwa hiyo hawezi kufanya hivyo kama baadhi ya watu wanavyosema.…
Kocha wa zamani wa Simba, James siang’a amefariki dunia nyumbani kwake eneo la Bungoma nchini Kenya usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katibu wa chama…
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanza mradi wa kutoa maji katika mto Ruvuma kwenda katika manispaa ya Mtwara…
Staa wa Bongo Movie, Jacob Stephen 'JB' amesema kuwa hawalaumu wasanii ambao wamekuwa wakiendesha maisha yao ya sanaa kwa kutafuta 'kiki' au kufanya skendo ili wapate umaarufu. Amesema kwa upande…
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe amekamata malori saba yakisafirisha madini ya chuma aina dolomite yanayotumika kutengeneza saruji. Gondwe amesema kati ya malori saba walifanikiwa kukamata matano, huku mawili madereva wakiwahi…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema itakuwa vigumu kucheza dhidi ya Manchester City wakiwa bila mshambuliaji, Sergio Aguero. Mshambuliaji huyo wa Argentina, 28, amefungiwa kutocheza mechi tatu baada ya…
Staa wa Bongo fleva, AY amewashauri watangazaji wa redio na TV hapa nchini kuchangamkia fursa kwenye vituo vya TV na redio vya kimataifa ili kuwa watetezi wa muziki wa Tanzania.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo amemteua Bw. Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara. Bw. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi iliyoachwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezitaka nchi za Sudan Kusini na Burundi kudumisha amani kwa ajili ya maendeleo ya wananchi na jumuiya ya Afrika…
Kundi la The Heroes ambalo lilishiriki Dance100% mwaka huu na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali na hatimaye kushindwa kufuzu fainali limesema litaimarisha kundi lao ili kuendelea kushiriki kazi nyingine.…
Maafisa wa uchukuzi wa ndege nchini Marekani wamewatahadharisha abiria wanaosafiri kwa ndege kutofungulia au kuchaji simu za Samsung Galaxy Note 7 wakiwa ndani ya ndege. Taasisi ya Uchukuzi wa Ndege…
Kesho siku ya jumamosi ligi kuu nchini Uingereza inaendelea katika viwanja tofauti nchini humo lakini macho na msikio ya watu yatakuwa katika uwanja wa Old Trafford ambapo Manchester United watakuwa…
Juhudi za uokoaji za kuwanasua watalii 45 ambao wamekwama kwenye magari ya kutumia kamba katika mlima wa Mont Blanc nchini Ufaransa zimeanza tena. Watalii hao walilala usiku wa Alhamisi kwenye…
Watu wanne wajeruhiwa baada ya gari moja lililokuwa kwenye msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kutoka Mtwara kwenda wilayani Tandahimba kuanguka maeneo ya…
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean John Combs maarufu kama 'P. Diddy' ameendelea kuongoza orodha ya marapa wa nchi hiyo wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi kwa kipindi cha mwaka mmoja. Kwa…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro ametoa rai kwa wakazi wa jiji hilo na wageni wanaoingia jijini humo kutoka katika mikoa mbalimbali kupuuza taarifa za…
Shirikisho la soka duniani FIFA limetupilia mbali rufaa zilizowasilishwa na klabu za Real Madrid na Atletico Madrid za Hispania baada ya kufungiwa kufanya usajili hapo Januari mwaka huu. FIFA wamekataa rufaa za timu…
Mwanamuzi maarufu wa R&B nchini Marekani, Usher Raymond amepewa tuzo ya Heshima ya Hollywood Walk of Fame. Tuzo hiyo imetokana na mafanikio, mchango na ushawishi wake kwenye muziki nchini Marekani…