Manchester United yapigwa 1-0 na Feyenoord
Manchester United imefungwa 1-0 dhidi ya Feyenoord kwenye mechi ya kundi A kombe la Europa ligi iliyoafanyika katika uwanja wa Stadion Feijenoord nchini Uholanzi jana usiku. Kabla ya dakika 90…
Manchester United imefungwa 1-0 dhidi ya Feyenoord kwenye mechi ya kundi A kombe la Europa ligi iliyoafanyika katika uwanja wa Stadion Feijenoord nchini Uholanzi jana usiku. Kabla ya dakika 90…
Madereva wa malori wa Tanzania waliotekwa na waasi wa kundi la Mai Mai katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo. Taarifa…
Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini 'TATOA' kimeripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi…
Timu ya taifa ya Wales imepanda hadi nafasi ya 10 kwenye viwango vya ubora wa shirikisho la soka duniani (FIFA) kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya Moldova kwenye mechi ya…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Mataaluma amesema kuwa anatarajia kurudi kwenye game baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na kujihusisha na masuala ya biashara. Mwanamuziki huyo alitamba sana kwa miondoko…
Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta leo anatarajiwa kuiongoza tena KRC Genk katika mchezo wa kwanza wa Kundi F Europa Ligi dhidi ya wenyeji, Rapid Viena nchini Austria. SK Rapid Wien…
Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Human Rights Watch limeituhumu Kenya pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi (UNHCR) kwa kutofuata sheria katika kuwarejesha wakimbizi Somalia. Shirika…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Dogo Janja 'Janjaro' leo Septemba 15 anasheherekea siku yake ya kuzaliwa. Mkali huyo wa wimbo wa "Kidebe" alizaliwa tarehe kama ya leo jijini Arusha ambapo ni…
Tamasha la Sanaa na Maonesho 'siku ya msanii' linatarajiwa kufanyika Septemba 24 mwaka huu katika kijiji cha Makumbusho kilichopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ni maalumu kwa ajili…
Klabu ya Yanga SC imeondoka leo kuelekea Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa Jumamosi wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mwadui. Kikosi cha Yanga kilichokwenda Shinyanga ni Makipa; Ally…
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imesema kuwa haihusiki kumtafutia mnufaika wa mkopo ajira badala lake inahusika kumpatia mwanafunzi mkopo na akishamaliza muda wa masomo atatakiwa kurejesha mkopo wake.…
Aleksander Ceferin amechaguliwa kuwa rais mpya wa shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) baada ya kumshinda mpinzani wake Michael van Praag kwenye uchaguzi uliofanyika jana. Rais huyo anachukua nafasi ya…
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete amemualika nyumbani kwake staa wa Bongo fleva, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' pamoja na wanamuziki wa lebo yake ya WCB wakiongozana na…
Ligi ya klabu bingwa barani ulaya imeendelea kutimua vumbi usiku wa kuamkia leo ambapo kulikuwa na michezo tisa ikipigwa katika viwanja tofauti. Manchester City wakiwa nyumbani wameibuka na ushindi wa…
Rais wa zamani wa Brazil, Luiz Inacio Lula da Silva amefunguliwa mashtaka ya rushwa na wizi wa fedha wakati akiwa rais wa nchi hiyo ambapo amefunguliwa mashtaka hayo pamoja na…
Staa wa muziki wa RnB hapa nchini, Ben Pol amesema anatarajia kuachia remix ya wimbo wake 'Moyo Mashine' akiwa na mwanamuziki wa Nigeria, Chidinma ambapo maandalizi ya kazi hiyo imeshaanza.…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), George Simbachawene amewapa somo wakurugenzi wapya walioteuliwa hivi karibu na kuapishwa jana mjini Dodoma. Waziri huyo amewataka…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Juma Kasimu "Nature" amesema kwamba yupo tayari kumpokea aliyekuwa member mwenzake katika kundi la TMK Wanaume Halisi, KR Mullah kama atakubali kurudi. Kauli hiyo ya…
Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney ameondolewa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya mechi ya Europa ligi dhidi ya Feyenoord kesho. Mshambuliaji huyo amefanya mazoezi na timu hiyo…
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amesema kuwa tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi wizara yake pamoja na kamati ya ulinzi mkoa na wilaya zinaimarisha ulinzi katika…
Waziri wa nchi ofisi ya rais, utumishi na utawala bora, Angela Kairuki amesema serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na madaktari, matabibu pamoja na wauguzi nchini. Ameyasema hayo bungeni…
Timu ya Maji maji imeitaka Bodi ya Ligi pamoja na Shirikisho la Soka nchini TFF kusikiliza ombi lao la uwekaji sawa wa ratiba ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara…
Mkali wa Bongo fleva, Barakah Da Prince amesema kuwa lugha ya Kingereza kwake ni tatizo kwahiyo anataka kutafuta mwalimu wa kumfundisha lugha hiyo. Baraka Da Prince amesema katika interview yake…
Kiungo wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu za PSG, Barcelona na AC Milan, Ronaldiho Gaucho ametangaza kustaafu soka kwa ujumla mwishoni mwa msimu baada ya kudumu…
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kutoa Vitambulisho vipya vya Taifa vyenye saini kwa wananchi wote waliokamilisha taratibu za usajili na utambuzi na kuchukuliwa alama za kibaiolojia (Alama za…
Serengeti Boys imeshinda 1-0 dhidi ya Northern Dynamo kwenye mechi ya kirafiki iliyofanyika katika mji wa Viktoria katika visiwa vya Shelisheli. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Shelisheli,…
Staa wa Bongo fleva, Harmonize amefunguka kwa kusema Master J alimuambia hajui kuimba baada ya kujitokeza kwenye shindano la BSS mwaka 2012 na kutoendelea tena kwenye shindano hilo. Harmonize amesema…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amerudisha pesa zilizotumiwa kukarabati nyumba yake binafasi jinsi ilivyoamriswa na mahakama. Msemaji wa wizara ya fedha amethibitisha kuwa pesa hizo zimepokelewa katika wizara hiyo.…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, King Crazy GK amewataka mashabiki wa muziki huo kuendelea kusubiria kazi mpya za kundi la East Coast Team ambapo wapo kwenye maandalizi ya kazi mpya.…
Ripoti ya kamati ya bunge nchini Uingereza imekosoa hatua ya Uingereza na Ufaransa kuingilia kati na kusaidia kuondolewa madarakani kwa Kanali Muammar Gaddafi nchini Libya mwaka 2011. Kamati hiyo ya…