Aunty Ezekiel anajipendekeza kwa Diamond na Zari?
Mkali wa muziki wa Bongo fleva, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' amekuwa na "kismati' cha kupendwa na baadhi ya mastaa nchini mpaka watu wanasema kuwa baadhi ya mastaa hao wanajipendekeza kwa…
Mkali wa muziki wa Bongo fleva, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' amekuwa na "kismati' cha kupendwa na baadhi ya mastaa nchini mpaka watu wanasema kuwa baadhi ya mastaa hao wanajipendekeza kwa…
Rais wa Gabon Ali Bongo ameapishwa kwa muhula wa pili wa miaka saba kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata ambapo watu kadhaa waliuawa. Kuapishwa huku kunafanyika siku tatu baada ya mahakama…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Alikiba ametajwa kuwania tuzo za mwaka huu za zijulikanazo kama 'MTV Europe Music Awards' (EMA) akiwa katika kipengele cha Best African Act. AliKiba mekuwa mwanamuziki…
Papa Francis amekutana na kufanya mazungumzo ya faragha na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye makazi ya Papa Francis yaliyoko jijini Vatican. Kwenye…
Rais wa Jamhuri ya Muunga wa Tanzania, Dkt John Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili za Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) zilizonunuliwa kwa kutumia kodi za wananchi. Katibu Mkuu…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Tunda Man amesema kuwa anatarajia kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi ifikapo Novemba 12 mwaka huu. Tunda amesema kuwa ndoa hiyo ilikuwa inafanyike miezi…
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad leo amefanya mkutano na wanachama wa chama hicho katika eneo ya Vuga kisiwani Unguja kwa ajili ya kuzungumzia mustakabali…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imemhukumu mwanamgambo wa Kiislamu raia wa Mali, Ahmad Al Faqi Al Mahdi kifungo cha miaka tisa jela. Al-Mahdi ameshtakiwa kwa makosa ya…
Naibu waziri wa mambo ya ndani, Hamad Masauni amelitaka jeshi la polisi na wasimamizi wa sheria kutofumbia macho wanaovunja sheria za barabara nchini ili kupunguza ajali. Naibu waziri, Masauni amesema…
Zamalek ya Msri itamenyana na Mamelodi Sundowns katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu. Zamalek imeingia fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-5, baada ya awali kushinda 4-0…
Naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Susan Kolimba amepokea msada wa chakula kutoka kwa waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi, Leontine Nzeyimana. Msaada huo…
Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane ataendelea kuuguza jeraha lake la kifundo cha mguu wakati ambapo timu yake inakabiliana na CSKA Moscow katika kombe la klabu bingwa Ulaya leo usiku. Harry…
Dawa ya kwanza duniani ya kutibu ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto inatarajiwa kuzinduliwa leo jijini Nairobi nchini Kenya. Kwasasa watoto hutumia dawa zinazotumiwa na watu wazima ambazo hugawanywa kusagwa…
Wakala wa Majengo nchini (TBA) umesema unatarajia kuanza ujenzi wa nyumba za kisasa katika eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam Septemba 29 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa…
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limesema Shindano la Dance100% lililomalizika Jumamosi katika viwanja vya Don Bosco Jijini Dar es salaam limewafanya vijana kuwa wamoja na kujenga urafiki. Mkuu wa Matukio…
Klabu bingwa barani Ulaya leo inaendelea kwa michezo minane itakayofanyika katika viwanja tofauti barani humo. Ratiba kamili itakuwa kama ifuatavyo. CSKA Moscow vs Tottenham Leicester City vs FC Porto…
Kocha mkuu wa Yanga SC, Hans van Pluijm amesema kuwa sasa wanaelekeza nguvu zao katika michezo inayofuata ili kubadili matokeo yaliyo mazuri ukiwemo dhidi ya Simba mwishoni mwa wiki hii.…
Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Taban Deng Gai amekiri kuwa machafuko yaliyoibuka miezi ya hivi karibuni yamezorotesha uchumi kwa kiwango kikubwa hali iliyopelekea taifa hilo kuwa katika hali ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, H- Baba amefunguka na kusema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa Simba wameonesha nia ya kumuhitaji kwenye kikosi chao. H- baba ambaye alikuwa nahodha wa timu…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Alikiba amesema kuwa tayari ameshajisajili kushiriki kwenye tuzo za East Africa Televison 'EATV Awards' zilizoandaliwa na kituo cha TV cha EATV. Alikiba amesema ni jambo…
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, sera, bunge, kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu, Jenista Muhagama, amewaagiza wadaiwa wote wa shirika la hifadhi ya jamii NSSF, kulipa madeni wanayodaiwa mara moja…
Beki wa kulia wa Paris St Germain, Serge Aurier ambaye ni raia wa Ivory Coast amehukumiwa kwenda jela miezi miwili kutokana na kukutwa na kosa la kumfanyia fujo askari polisi…
Klabu ya Simba imeingia rasmi kambini kujiandaa kwa ajili ya mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi Yanga SC siku ya Jumamosi Oktoba mosi katika…
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Marekani, Drake ameachia filamu yake mpya fupi yenye dakika 23 ya Please Forgive Me ambayo imetokana na albamu yake ya ‘Views’. Filamu hiyo imetengenezwa kwenye…
Kampuni ya Samsung imechelewesha uuzaji wa simu aina ya galaxy Note 7 nchini Korea Kusini kwa sababu kampuni hiyo inahitaji muda zaidi wa kuzirudisha simu kama hizo ambazo zilikuwa na…
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Vodacom Tanzania imesema imefurahishwa sana na namna ambavyo washiriki wa Dance100 wamekuwa na ubunifu wa hali ya juu na kufanya fainali za Dance100 kuwa…
Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo la kutaka madai sugu ya walimu katika Jiji la Arusha yalipwe ndani ya siku 14 limezaa matunda, kwani madai yao yote…
Taifa Stars inatarajiwa kucheza na Ethiopia katika mechei ya kirafiki itakayofanyika jijini Adis Ababa Oktoba 8 mwaka huu. Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa atakuwa na nafasi ya…
Makampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan Africa Power Solutions (PAP) Tanzania Limited, yameungana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupinga uamuzi uliotolewa hivi karibuni na Mahakama ya…
Yanga SC jana imepokea kichapo cha 1-0 kutoka kwa Stand United kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara iliyofanyika katika Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Yanga ni bingwa mtetezi wa…