Makamo wa rais azindua nembo ya Fahari ya Tanzania
Makamo wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua nembo ya Fahari ya Tanzania pamoja na kutoa tuzo kwa kampuni 50 za hapa nchini zinazofanya vyema…
Makamo wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua nembo ya Fahari ya Tanzania pamoja na kutoa tuzo kwa kampuni 50 za hapa nchini zinazofanya vyema…
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imezifuta shule nyingine za awali na msingi nchini ambazo hazijasajiliwa zaidi ya 10 kuanzia Desemba mwaka jana. Shule tano kati ya…
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kuwa wataendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano katika kupambana na ufisadi na kujenga uwajibikaji. Zitto amesema kuwa wanaamini…
Kocha wa muda wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amepata ushindi wa kwanza toka akibidhiwe mikoba baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Malta kwenye mechi ya kufuzu…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Chris Brown amevunja simu ya shabiki mmoja mara baada ya kuwasili nchini Kenya kwa tamasha la muziki mjini Mombasa. Shabiki huyo mwanamke anamtuhumu Chris Brown ameivunja…
Leo jumamosi mechi za kufuzu kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi zinaendelea barani Ulaya kwa michezo tisa. Ratiba ipo kama ifuatavyo England vs Malta Northern Ireland vs San Marino Scotland vs Lithuania Azerbaijan…
Chama cha wafanyabiashara cha Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kimetangaza kurejea kuitumia bandari ya Dar es Salaam siku chache baada ya ziara ya rais wa nchi hiyo Joseph Kabila aliyoifanya…
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesema kuwa mkataba wa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kukodishwa klabu hiyo ni batili. Tamko hilo limetolewa jana na Kaimu Katibu Mkuu wa BMT,…
Mwanamke anayedaiwa kumng'ata ulimi kijana Saidi Mnyambi (26) siku 28 zilizopita, kwa kile kilichodaiwa kutaka kufanya naye mapenzi kwa nguvu, hatimaye amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Singida. Mwanamke huyo,…
Navy Kenzo wamesema kuwa ameshindwa kuachia kwa wakati kolabo yao na AliKiba kutokana na muimbaji huyo huyo kuwa busy mpaka kushindawa kuachia video. Wasanii wanaounda kundi hilo Aika na Nahrel…
Mtayarishaji mkongwe wa muziki wa Bongo fleva, Hermy B kutokea studio za 'B Hits' amefunguka na kusema kuwa watayarishaji wengi wa muziki nchini ni masikini na maisha yao hayafanani kabisaa…
Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Nobel ya amani kwa mwaka 2016. Rais huyo anaingia kwenye orodha ya viongozi wengine duniani waliowahi kushinda tuzo…
Serikali ya Burundi inayoongozwa na rais Perre Nkurunzinza imetangaza dhamira yake ya kujiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya makossa ya uhalifu dhidi ya binadamu ya ICC. Baraza la mawaziri la…
Madaktari wa hospitali ya taifa ya Muhimbili waliomfanyia uchunguzi wa kina kijana Said Ally aliyejeruhiwa sehemu mbalimbai za mwili wake ikiwemo machoni, wametoa majibu kuhusu uchunguzi huo ambao ulilenga kutafuta uwezekano…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Alicia Keys ametangaza kuachia albamu yake ya sita itakayoitwa kwa jina ‘Here’ ifikapo Novemba 4 mwaka huu. Alicia Keys alitangaza ujio wa albamu hiyo kupitia akaunti…
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Deogratius Ndejembi amekifunga Chuo cha Ualimu cha Nkuruma kilichopo Mkoka na kuagiza uongozi wa chuo kurudisha fedha zote za ada walizolipa wanafunzi ili ziwasaidie kulipia…
Katibu mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Celestine Mwesigwa amesema bado hawajapata taarifa rasmi ya ukodishwaji wa Yanga kwa Mwenyekiti wake Yusufu Manji. Mwesigwa amesema TFF inasubili barua rasmi…
Benki ya Dunia inatarajia kuipatia Tanzania ruzuku na mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.6 (Sh trilioni 3.5). Fedha hizo ni kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali…
Karamoko Dembele ni mchezaji wa klabu ya Celtic Under 21 aliyezaliwa nchini Uingereza na wazazi kutoka Ivory Coast. Mchezaji huyo amezaliwa mwaka 2003 na mpaka sasa ana umri wa miaka…
Kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema pamoja na naibu wake wamefikishwa mahakamani nchini humo ambapo wameshtakiwa makosa ya uchochezi wa maasi pamoja na kufanya mkutano kinyume cha sheria. Viongozi…
Msajili wa Vyama ya Siasa, Jaji Francis Mutungi ametoa orodha ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu na viongozi wa vyama hivyo ambako inasisitiza kuwa Profesa Ibrahim Lipumba ndiye…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Uledi Mussa afuatilie malipo ya kiwanja kilichouzwa na CDA…
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametangaza kuwafukuza chuo walimu ambao ni wanafunzi walioshiriki kitendo cha kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametoa muda wa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara, viongozi na wawekezaji, wanaohodhi ardhi bila kuiendeleza na kuwataka waendeleze maeneo hayo ndani…
Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, Mwigulu Nchemba ametoa tamko rasmi juu ya kitendo cha kupigwa kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Sebastian Chinguku wa shule ya sekondari Mbeya Day,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameitaka TANESCO kuhakikisha linafikisha umeme wa uhakika mkoani Pwani katika eneo ambalo lililotengwa maalum kwa ajili ya viwanda. Magufuli amezungumza…
Muigizaji wa Bongo movie, Daudi Michael 'Duma' amefunguka kwa kusema kwamba tamthilia ya Siri ya Mtungi imemsaidia sana kwa kumpa fursa nyingi ndani na nje ya nchi kutokana na uigizaji…
Mohammed Dewji maarufu kwa jina la 'MO' amefanikiwa kushinda tuzo kutoka Taasisi ya Choiseul ya nchini Ufaransa kama mfanya biashara kijana ambaye anasaidia kukuza uchumi wa bara la Afrika. Dewji…
Mashabiki wa nyota wa filamu za Kichina Bruce Lee wamekosoa filamu mpya ya nyota huyo inayoelezea maisha yake. Filamu hiyo 'Birth of the Dragon' inaonyesha maisha ya nyota huyo alipokuwa…
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewapa siku sitini wakurugenzi wa halmashauri na wale wa hospitali za umma nchini wawe wamewalipa posho za wauguzi za kununua…