AFCON: Uganda ‘uso kwa uso’ na Ghana
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limechezesha droo ya makundi kwa ajili ya michuano ya Mataiafa ya Afrika maarufu kama AFCON itakayofanyika nchini Gabon kuanzia Januari mwakani. Katika makunid hay…
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limechezesha droo ya makundi kwa ajili ya michuano ya Mataiafa ya Afrika maarufu kama AFCON itakayofanyika nchini Gabon kuanzia Januari mwakani. Katika makunid hay…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa Rais Magufuli amemuhakikishia kuwa yeye ndiyo mkuu wa mkoa wa Arusha. Hatua hiyo inakuwaja baada ya kuenea kwa taarifa kwenye mitandao…
Donald Trump na Hilary Clinton ambao ni wagombea urais nchini Marekani wamechuana tena katika awamu ya tatu na ya mwisho ya mdahalo mjini Las Vegas. Katika mdahalo huo wawili hao…
Mechi za klabu bingwa barani Ulaya zimeendelea jana usiku kwa michezo nane kupigwa katika viwanja tofauti. Arsenal wakiwa nyumbani waliifunga Ludogorets Razgrad kutoka Bulgaria jumla ya 6-0, huku Mesut Ozil…
Maofisa 14 wa utumishi wa Halmashauri za Momba, Tunduma, Mbozi na Ileje katika Mkoa wa Songwe wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuzalisha watumishi hewa na kuisababishia serikali hasara ya mamilioni…
Jumla ya watu sita wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi katika eneo la Mbezi kwa Yusuf Makondeni katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kaimu…
Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama ameuomba uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuwasaidia kutengeneza viti na meza kwa ajili ya walimu baada ya kukamilisha madawati.…
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam itaanza kusikiliza hivi karibuni kesi ya Bodi ya Baraza la Wadhamini la CUF dhidi ya Jaji Francis Mutungi baada ya kuisajili…
Aliyekuwa makamu wa rais Congo, Jean-Pierre Bemba amepatikana na hatia katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC ya kuwahonga mashahidi. Mapema mwaka huu Bemba alipatikana na hatia ya uhalifu wa…
Watu 4 wamepoteza maisha na wengine 22 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria aina ya Coaster linalofanya safari zake Mbeya na Chunya kupinduka katika Kijiji cha Majimazuri, Wilaya ya…
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesikitishwa na kitendo cha kutoelewana kati ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema. Zitto kupitia…
Biashara zimefungwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Kinshasa na hakuna magari barabarani kufuatia wito wa upinzani kwa watu wakae ndani ili kushinikiza uchaguzi mkuu nchini ufanyike Novemba…
Staa mkongwe wa Bongo fleva, Juma Nature amefunguka kwa kusema kuwa kuna baadhi ya watu wanahonga katika vituo vya redio nchini ili nyimbo zake za TMK Wanaume Halisi zisipigwe katika…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, King Crazy GK amefunguka na kutoa ushauri kwa msanii Diamond Platnumz na kumtaka kuwa na kitu kingine kwa sasa nje ya muziki kwa kuwa muziki…
Shirikisho la Soka England (FA) limemwandikia barua Meneja wa Manchester United Jose Mourinho likimtaka ajieleze kuhusu matamshi yake juu ya mwamuzi Anthony Taylor ambaye Jumatatu alichezesha pambano la Liverpool na…
Jaji David Maraga ameapishwa kuwa Jaji Mkuu mpya wa Kenya baada ya kustaafu kwa jaji mkuu wa awali Dkt Willy Mutunga. Jaji Maraga atakuwa jaji wa pili kuhudumu nchini Kenya…
Kampuni ya Songoro Marine Transport Boatyard imeihakikishia Serikali kuwa meli mpya mbili za mizigo zinazoendelea kujengwa katika Bandari ya Itungi wilayani Kyela mkoani Mbeya zitakuwa zimekamilika ifikapo mwishoni mwa mwezi…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Irene Uwoya amesema kuwa ametoa nafasi kwa vijana wawili kuigiza katika Tamthilia yake mpya ya ‘Drama Queen’ itakayotoka mwishoni mwa mwaka huu. Mwigizaji amesema kuwa…
Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu kama VPL inatarajia kuendelea leo Jumatano pamoja na kesho Alhamisi kwa mchezo mmoja. Ruvu Shooting ya Pwani ambayo itaikaribisha Mwadui ya Shinyanga kwenye Uwanja wa…
Rais wa Marekani, Barack Obama amemshutumu mgombea Urais nchini humo kupitia chama cha Republican Donald Trump kwa madai anayotoa kwamba kuna hila dhidi yake zinazofanywa katika uchaguzi nchini humo. Amesema…
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemfutia shtaka linalomkabili Salum Njwete 'Scorpion' baada ya upande wa mshtaka kuomba shitaka hilo liondolewe mahakamani kwa sababu hawana nia ya kuendelea na kesi. Kutokana…
Nchi ya Burundi imekuwa taifa la kwanza kujiondoa rasmi katika mkataba wa Roma unaosimamia mahakama ya kimataifa uhalifu wa kivita (ICC). Hatua hiyo inajiri baada ya rais wa taifa hilo…
Shirika la Viwango nchini (TBS) limefafanua kuwa halijaanzisha tozo mpya kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango (TBS), Dk Egid Mubofu amesema…
Mtoto aliyetambuliwa kwa jina la Isack Ernest (16) anayetuhumiwa kuwa miongoni mwa vijana wa kikundi cha uhalifu cha ‘panya road’ amezinduka katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Temeke,…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira kuongeza kasi ya kuwaelimisha wananchi kuhusu sheria ya ardhi…
Ligi ya Mabingwa barani Ulaya leo inaendelea tena kwa michezo minane itakayochezwa katika viwanja tofauti barani humo. Ratiba ya mechi hizo ipo kama ifuatavyo Bayer Leverkusen vs Tottenham Leicester City vs FC…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Emmanuel Mkumbo. Taarifa ya Ikulu jijini Dar es Salaam…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemchagua Mhe. Naghenjwa Kaboyoka Mbunge wa Same Mashariki (Chadema) kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo. Tangu kuundwa kwa Kamati hiyo…
Mtayarishaji wa muziki kutoka katika studio za AM Records, Manecky amefunguka na kusema kuwa yeye anapenda sana kufanya kazi na wasanii chipukizi. Amesema kupitia wasanii hao yeye kama producer anaweza…
Kesi iliyofunguliwa na Mbowe Hotels Ltd dhidi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) imefutwa na mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Sivangilwa…