Mwanamitindo maarufu wa Marekani, Amber Rose amekanusha taarifa za kuachana na mpenzi wake ambaye ni rapa 21 Savage.

Amber Rose amesema kuwa habari hizo hazina ukweli wowote kwasababu hawajaachana na wanaendelea kama kawaida ila wameamua kumchafua kwa kusambaza habari hizo.

Habari za wawili hao kuachana zilisambaa katika mitandao ya kijamii mpaka kupelekea mashabiki wake kumjua juu kutokana na suala hilo.

Ambar Rose amekanusa tuhuma hizo za kutemana na rapper 21 Savage zilizotolewa na mtandao wa ‘The Shade Room’.

Wawili hao kwasasa sio marafiki katika mtandao wa kijamii wa Instagram na wamefuta picha za kila mmoja wao kwenye akaunti yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *