Mwanamuziki na video vixen Bongo, Amber Lulu amefunguka kusema kuwa anatamani siku moja asainiwe na lebo ya WCB inayomilikuwa na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.

Amber Lulu ambaye alijulikana kutokana na kuuza Mushi kwenye video za wasanii mbali mbali wa Bongo fleva na vituko vyake. Hivi sasa Amber Lulu kwa hivi sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya jini kisirani.

Amber Lulu amefunguka na kuweka wazi kuwa anatamani sana kufanya kazi chini ya lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond.

Hivi sasa Amber Lulu anafanya vizuri na wimbo wake wa jini kisirani na amekiri msanii anayetamani sana kufanya naye kazi ni Rayvanny kutoka WCB.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *