Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka na kuweka wazi tarehe rasmi ya kuachia albam yake mpya baada ya kukamilika kabisa.
Alikiba ametaja Rasmi Mwezi Ambao Album Yake Itatoka Rasmi Mwishoni Mwa Mwezi August Ambayo Itakuwa Ni Album Yake Ya Tatu Tangu Aanze Muziki,.
Kiba amesema kuwa Album Yake Itakuwa Na Kolabo Na Wasanii Wakubwa Barani AFRIKA Lakini Pia Kufanya Media Tour Kwa Baadhi Ya Nchi Hapa AFRIKA.
Mwanamuziki huyo kwasasa yupo nchini Kenya kwa ajili ya maadalizi ya albam yake hiyo ambayo itakuwa na colabo za wasanii tofauti wa kubwa wa Afrika.