Mbunge wa Chalinze mkoani Pwani, Ridhwani Kikwete ametumia ukurasa wake wa Twitter kuandika ujumbe kwa jamii kuhusu masauala yanayoendelea nchini.
Kupitia Twitter akaunti yake Twitter Ridhawani ameandika maneno hayo yenye sentesi mbili lakini yana maana kubwa.