Kiungo wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Manchester United, Paul Pogba ametumia siku ya jana kusheherekea siku ya kuzaliwa baba yake mzazi ambaye amelazwa hospitali.

Pogba mwenye umri wa miaka 24 ameonyesha kwamba tabasamu ndio kitu cha muhimu katika maisha yake kwa kusherehekea siku ya kuzaliwa Baba yake.

Kiungo huyo ambaye ni watu kuzaliwa akiwa na kaka zake ambao ni mabacha ambao pia ni wachezaji mpira.

Pogba ameamua kufariji baba yake ambaye kwasasa anaumwa na amelazwa akwa ajili ya matibabu.

Kupitia kurasa yake ya Instagram, Paul Pogba alishare picha akiwa na baba yake mzazi baada ya  kutimiza umri wa miaka 79 huku akiweka caption ya kamba  “Happy birthday dear Dad, I feel blessed to be your son #pogdaddy #fighter #pogbance.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *